Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,979
- 14,400
Kabisa lakini huu uzi unaendelea kuwepo mpaka saivi ingekuwa ni kuhusu magufuli sijui>Serikali Wakikubali kufanya huo uchunguzi huru ndio tutapata jibu
Kabisa lakini huu uzi unaendelea kuwepo mpaka saivi ingekuwa ni kuhusu magufuli sijui>Serikali Wakikubali kufanya huo uchunguzi huru ndio tutapata jibu
Mnaomba poo kwa mods?Uzi huu usio na evidence kwa lengo la kichafu watu haufai, mods uondoeni.
Our country produces enough to feed us all. Alas, for lack of organization, we are forced to beg for food aid. It's this aid that instills in our spirits the attitude of beggars.Mnaomba poo kwa mods?
Vipi ! Kuna jina lako kwenye hiyo list ?Nyuzi nyingine bhana zinaweza kukuharibia siku
Hapo kuna nini cha maana kama siyo porojo za kwenye vijiwe vya kahawa.Mnaomba poo kwa mods?
Kuna kitu kwa Kiingereza kinaitwa irony. Unaweza kundika kitu lakini maana yake yakwa ni kinyume chake, nilifikiri mwenye akili yake amefahamu nimemkusudia nani kumnyooshea kidoleKabisa lakini huu uzi unaendelea kuwepo mpaka saivi ingekuwa ni kuhusu magufuli sijui
Najua sasa hivi mnahangaika na moderator kuhamisha hii post kama kawaida yenu.
Nadhani wangekuwa hao uliowataja serikali ingekubali haraka sana kuletwa wachunguzi kutoka njeHii ishu ni kweli kabsa....Mbo.we na Le.ma ni watu hatari sana...Inasemekana hata sasa WAMEISHAANDA kikundi fulani cha kufanya mchezo mchafau 26/04.....
Hivi hamjiulizi SERIKALI INAPATA WAPI UJASIRI WA KUWAKAMATA KINA MBOWE tena kipindi amabcho kuna joto la maandamno haya ya kipuuzi mitandaoni???
UPIGWAJI WA LISSU LISASI ni mbo.we na le.ma ndio walio ratibu huu MCHEZO....Nani asiye jua LISSU ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa wachagga NDANI YA chadema AS WELL AS MUSTAKABALI WA uenyekiti wa MBOWE NA lowassa URAIS kuelekea 2020...huyu mbowe kama kweli a
Kupotea kwa saanane ni hiki kikundi ndio kiliratibu huu mchezo kutoka kumtumia SANANE kumtukana RAIS magufuli mpaka kupotea kwa SAANE ni hwa jamaa wanahusika na ndio maana mpaka sasa wanatumia hili jambo kama AJENDA YAO KUU....ACHENI SIASA IITWE SIASA
Mauaji ya kiongozi wa chadema KINONDONI ni hawa JAMAA WALIRATIBU....kama plan B ya kutaka kushinda KINONDONI
Kwel mkuuuUnamuitaje huyu mjinga Mkuu?. Huyu ni lofa
Kumbe yule Police alie piga risasi inayokunja kona nae ni Chadema mkuu!??Hii ishu ni kweli kabsa....Mbo.we na Le.ma ni watu hatari sana...Inasemekana hata sasa WAMEISHAANDA kikundi fulani cha kufanya mchezo mchafau 26/04.....
Hivi hamjiulizi SERIKALI INAPATA WAPI UJASIRI WA KUWAKAMATA KINA MBOWE tena kipindi amabcho kuna joto la maandamno haya ya kipuuzi mitandaoni???
UPIGWAJI WA LISSU LISASI ni mbo.we na le.ma ndio walio ratibu huu MCHEZO....Nani asiye jua LISSU ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa wachagga NDANI YA chadema AS WELL AS MUSTAKABALI WA uenyekiti wa MBOWE NA lowassa URAIS kuelekea 2020...huyu mbowe kama kweli a
Kupotea kwa saanane ni hiki kikundi ndio kiliratibu huu mchezo kutoka kumtumia SANANE kumtukana RAIS magufuli mpaka kupotea kwa SAANE ni hwa jamaa wanahusika na ndio maana mpaka sasa wanatumia hili jambo kama AJENDA YAO KUU....ACHENI SIASA IITWE SIASA
Mauaji ya kiongozi wa chadema KINONDONI ni hawa JAMAA WALIRATIBU....kama plan B ya kutaka kushinda KINONDONI

kwanini usiwashauri serial wafanye uchunguzi huru ili mbowe aaibike kwa kuratibu mauwaji ndani ya nchi la sivyo utakuwa unapiga porojo tuNajua sasa hivi mnahangaika na moderator kuhamisha hii post kama kawaida yenu.
mbona swali rahisi huwa hamjibu - kama Lissu alipigwa risasi na viongozi wa Chadema kama unavyodai kwanini mlikimbilia kung'oa CCTV Camera za Site 3 Dodoma? Kwanini mnaogopa uchunguzi huru? Msitake tuanze kutembea na mawe mkononi kutafuta kichwa cha huyo mjinga wenu anayetamani kula nyama za Watanzania