CHADEMA na Siri za vyombo vya dola

Kama ni kweli hayo unayoyasema kwa nini serikali inakataa uchunguzi huru wa matukio haya yote yasiyo ya kawaida. Jibu hili swali.
Sio uchunguzi tu hata albadili walikataa watu wasisome kipindi tundu lisu walikataa.....yaani mtu atakama umetumwa waza basi wakati unaandika huo upupu wake...
 
Peleka ujinga wako huko Gheto kwa le mutuz na Jerry muro waliokufundisha utengeneze huu Uzushi na propaganda za kishamba toka kolomije na chato, kwa nini mmeamua kujitoa fahamu na kuwadharau watanzania kiasi hiki? Mna tengeneza ujinga huu mnadhani wataukariri kama zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM? Watanzania wameamka sana wanajua kikundi kibaya cha Nissan nyeupe ni kikundi cha Maliyamungu idd Amin Bashite na waratibu wake ni Lipumba akiwa na vijana wake toka Rwanda na uratibu wa Tz upo chini ya Jerry muro, Le mutuz na Yule mlinzi wa Maliyamungu Bashite anayevaa kapero aliyemtiishia Nape bunduki na huyo huyo ndiyo alienda Dodoma kumpiga Risasi Tundu Lisu, wananchi wanajua kila kitu hata mje na Uzushi gani dhidi ya chadema hakuna wa kuwaamini.
Doubt in every single doubt, dunia haiko wazi ktk jambo lolote, hata tarehe ya kuzaliwa kwako inaweza isiwe sahihi kwakuwa hukuwa na akili ya ufahamu.

Vipi Chacha Wangwe, maelezo yake yalifutikaje kwani? Vipi serikali ilihusishwa au tuliaminishana kuwa ni ajari tu ya kawaida? Vipi hawakuwepo wengine walio kuwa na mitazamo tofauti na ilikubalika na wengi? Doubt in everything!
 
Swali limekosa jibu!
Ungekuwa ni wewe ndiye serikali, na unajua kuwa upinzani nchini una vinasaba na mataifa makubwa ya kibepari ya Ulaya na Marekani, kwa dhamira zao za kibepari, ungeruhusu hilo jambo litukie? Au unadhani Dunia haijui yanayotukia kwa Congo huratibiwa nje na mataifa hayo? Fanya kwamba intelligensia ya taifa ilishabaini matokeo ya uchunguzi huo, ingeendelea kuruhusu tu?

Ziko wapi silaha za kinyuklia za Sadam na mengine mengi tuliyowahi kutangaziwa na mataifa hayo ktk propaganda zao za kutimiza malengo yao? Mimi naamini matukio haya plus la Lisu, yanaweza yasiwe tunavyolazimishwa tuamini na pande yoyote ile.
 
Mkuu propaganda zinaendeshwa kwa akili. Sasa kama unamtetea asiye na akili, je wewe akili zako zinakutosha? Cha ajabu unalipwa kwa kodi zetu kutokana na serikali
 
Wafuasi wa chadema wanashangaza sana!
Wakiambiwa na Lema kuwa wanajua mipango ovu ya serikali kabla ya kutekelezwa wanakubali,lakini wakiambiwa kuna genge la maharamia chadema wanakataa,serikali ikimua inaweza kupenyeza watu wake popote
 
Hii ishu ni kweli kabsa....Mbowe na Le.ma ni watu hatari sana...Inasemekana hata sasa WAMEISHAANDA kikundi fulani cha kufanya mchezo mchafau 26/04.....
Hivi hamjiulizi SERIKALI INAPATA WAPI UJASIRI WA KUWAKAMATA KINA MBOWE tena kipindi amabcho kuna joto la maandamno haya ya kipuuzi mitandaoni???
UPIGWAJI WA LISSU LISASI ni mbo.we na le.ma ndio walio ratibu huu MCHEZO....Nani asiye jua LISSU ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa wachagga NDANI YA chadema AS WELL AS MUSTAKABALI WA uenyekiti wa MBOWE NA lowassa URAIS kuelekea 2020...huyu mbowe kama kweli a
Kupotea kwa saanane ni hiki kikundi ndio kiliratibu huu mchezo kutoka kumtumia SANANE kumtukana RAIS magufuli mpaka kupotea kwa SAANE ni hwa jamaa wanahusika na ndio maana mpaka sasa wanatumia hili jambo kama AJENDA YAO KUU....ACHENI SIASA IITWE SIASA
Mauaji ya kiongozi wa chadema KINONDONI ni hawa JAMAA WALIRATIBU....kama plan B ya kutaka kushinda KINONDONI

Beni saa Nane hakuwahi kuwa rafiki wa Mbowe, kama kuna mtu alimchukia Ben ni Mbowe na kundi lake.
Mbaya zaidi ni pale Ben alipoanzisha move ya Team Lisu na uwenyekiti.......
Leo mnaisikia Team Lisu.......

Mbowe Alinusa hatari tayari.......makengeza ya naona mbali
 
Propaganda za kipuuzi. Unasubiri nini kupeleka hilo suala mahakamani kama una uhakika? Inadhihirisha udhaufu wako kufanya propaganda mitandaoni wakati nchi mnaiongoza kwa ilani ya ccm badala ya katiba.
 
Uongo mweupe...

Serikali hii ilivyo inatafuta upenyo wa kuiangamiza Chadema leo wapate fununu tu eti kuna kikundi cha kigaidi ndani ya Chadema na majina na kila kitu wazi eti wawaache tu?

Kadanganye mazezeta wewe!
 
Back
Top Bottom