CHADEMA na Siri za vyombo vya dola

CHADEMA na Siri za vyombo vya dola

Hii ishu ni kweli kabsa....Mbo.we na Le.ma ni watu hatari sana...Inasemekana hata sasa WAMEISHAANDA kikundi fulani cha kufanya mchezo mchafau 26/04.....
Hivi hamjiulizi SERIKALI INAPATA WAPI UJASIRI WA KUWAKAMATA KINA MBOWE tena kipindi amabcho kuna joto la maandamno haya ya kipuuzi mitandaoni???
UPIGWAJI WA LISSU LISASI ni mbo.we na le.ma ndio walio ratibu huu MCHEZO....Nani asiye jua LISSU ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa wachagga NDANI YA chadema AS WELL AS MUSTAKABALI WA uenyekiti wa MBOWE NA lowassa URAIS kuelekea 2020...huyu mbowe kama kweli a
Kupotea kwa saanane ni hiki kikundi ndio kiliratibu huu mchezo kutoka kumtumia SANANE kumtukana RAIS magufuli mpaka kupotea kwa SAANE ni hwa jamaa wanahusika na ndio maana mpaka sasa wanatumia hili jambo kama AJENDA YAO KUU....ACHENI SIASA IITWE SIASA
Mauaji ya kiongozi wa chadema KINONDONI ni hawa JAMAA WALIRATIBU....kama plan B ya kutaka kushinda KINONDONI
Kama wanahusika akina Mbowe kumpoteza Ben wa Saanane, kwa nini waziri Mkuu na serikali mzima inakataa kuleta wapelelezi wa nje ?
 
Nimemsikia jana mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya chama cha Demokrasia na maendeleo bwana Godbless Lema akidai kuwa kila kinachopangwa na vyombo vya dola na Watumishi wa serikali wao wanakuwa na taarifa mapema.

Hii dhana Moja kwa Moja linaondoa ukakasi uliyopo hapa nchini kuhusu watu wanaotekwa, Kupotea na wengine kudhurika Kama Bwana Tundu Lissu, Ben Saanane na wengineo kuwa serikali inahusika na masaibu yao.

Kama kweli vyombo vya serikali ingehusika tayari wangepewa taarifa akina Lema na kuwaambia kuchukua tahadhari.

Miongoni mwa wanakikundi hicho ambacho jina lake la Siri ni G-3 ikiwa na jina maarufu Kama Tume au VIP Hawa ndiyo wanaofanya uhalifu huu.

Hiki kikundi cha Tume miongoni mwa maafisa wake ni Ally Kimbau (Shetani) Zachariah Swai, Boniface Jacob, Munisi, Melkizedek (Medy), Hemed Sabula ingawa huyu siku chache kabla ya Lissu kupigwa risasi aliondolewa makao makuu ya chadema na kupelekwa ofisi za Kanda ya Pwani magomeni.

Kikundi hiki kinamiliki vifaa maalumu kinachodukua mawasiliano ya simu na internet ya viongozi wa serikali na watu Mashuhuri hapa nchini.

Vifaa ivyo vinatunzwa na Boniface Jacob, Godbless Lema na Freeman Mbowe.
Hiki kikundi ndicho kikundi hatari sana ndani ya chadema na kinaogopwa sana na viongozi na wanachama Mashuhuri wa chadema kiasi hakuna hata mtu anayeweza kuwasema tofauti na matakwa yao ndani ya chadema.

Wameruhusiwa kufanya jambo lolote dhidi ya kiongozi, mwanachama au mtu yeyote anayeenda kinyume na matakwa ya Mbowe na wapambe wake.

Kikundi hiki maarufu Kama Tume imekusanya watu mbalimbali waliyokuwa majambazi, Maskari wastaafu na wale waliyofukuzwa baadhi ya maafisa usalama wa Taifa waliyofukuzwa kazi kwa utovu wa nidhamu.

Kikundi cha Tume pia ndicho kikundi kilichopewa mamlaka ya kufanya mambo ya intelligence ndani ya chadema na kukusanya taarifa na kimepewa jukumu la kuhujumu Vyombo vya Dola.

Kikundi hiki kinafanya pia Doria na wakati mwingine kimeruhusiwa kufanya ujambazi ili kiweze kupata pesa ya kujikimu.

Mratibu wa kikundi hiki ni Ally Kimbau anayedaiwa kuwa alikuwa askari mstaafu wa JWTZ.
Ushauri wangu mdogo:

Ili kuondoa kadhia hii ya utekeji mauaji ndani ya chadema lazima kikundi kisambatishwe na viongozi wao wote.

Ninaamini kati hao niliyowasena na wakifanyiwa Dressing vizuri na vyombo vya dola watapata mambo mengine mengi kuhusu kikundi hiki na nchi wafadhili wao na walikopelekwa kufanya mafunzo ya kigaidi.
Uongo uliotukuka.Daah.!!!?
 
Huu ni uchochezi unafaa kufunguliwa mashtaka ww,,,,ukiambiwa thibitisha kauli
 
Mpumbavu mwingine huyu
 
Shida ya mijitu ambayo hata shule haina ndo hii, sasa na wewe unajiona umefikiri kweli! Kama ninyi ndo majembe ya CCM..... ndo maana hii nchi haitaendelea
 
Tukiambiwa mashetani ni sisi wanadam
Mnakataa mnataka aonejane kabisaa na kushikika haya shetani me niliyemgundua Wa kwanza ni huyu alie andika waraka Wa kishetani
 
Huyu jamaa ni mchochezi, kamateni, akatoe ushahidi.Anachafua hali ya hewa tu humu
 
Nakubaliana na wewe moja kwa moja, uzuri majina umeyaweka wazi, na jeshi la police kila taarifa kwake ni muhimu sana, tunaanzia na taarifa yako kuchunguza

Tunaofahamu fitina tunauwezo wa kuelewa lengo la uzi kama huu. Kuna post nyingi zinazowahusu cdm humu ndani, kuna watu wanajaribu kupotosha ukweli wakidhani kila mtu ni mjinga na anaweza kunasa kwenye hizo propaganda.
 
Mkuu nipo mahakamani ndani, Mbona sikuoni ? au upo kwa nje ?
 
Nimemsikia jana mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya chama cha Demokrasia na maendeleo bwana Godbless Lema akidai kuwa kila kinachopangwa na vyombo vya dola na Watumishi wa serikali wao wanakuwa na taarifa mapema.

Hii dhana Moja kwa Moja linaondoa ukakasi uliyopo hapa nchini kuhusu watu wanaotekwa, Kupotea na wengine kudhurika Kama Bwana Tundu Lissu, Ben Saanane na wengineo kuwa serikali inahusika na masaibu yao.

Kama kweli vyombo vya serikali ingehusika tayari wangepewa taarifa akina Lema na kuwaambia kuchukua tahadhari.

Miongoni mwa wanakikundi hicho ambacho jina lake la Siri ni G-3 ikiwa na jina maarufu Kama Tume au VIP Hawa ndiyo wanaofanya uhalifu huu.

Hiki kikundi cha Tume miongoni mwa maafisa wake ni Ally Kimbau (Shetani) Zachariah Swai, Boniface Jacob, Munisi, Melkizedek (Medy), Hemed Sabula ingawa huyu siku chache kabla ya Lissu kupigwa risasi aliondolewa makao makuu ya chadema na kupelekwa ofisi za Kanda ya Pwani magomeni.

Kikundi hiki kinamiliki vifaa maalumu kinachodukua mawasiliano ya simu na internet ya viongozi wa serikali na watu Mashuhuri hapa nchini.

Vifaa ivyo vinatunzwa na Boniface Jacob, Godbless Lema na Freeman Mbowe.
Hiki kikundi ndicho kikundi hatari sana ndani ya chadema na kinaogopwa sana na viongozi na wanachama Mashuhuri wa chadema kiasi hakuna hata mtu anayeweza kuwasema tofauti na matakwa yao ndani ya chadema.

Kikundi cha Tume pia ndicho kikundi kilichopewa mamlaka ya kufanya mambo ya intelligence ndani ya chadema na kukusanya taarifa na kimepewa jukumu la kuhujumu Vyombo vya Dola.

Kikundi hiki kinafanya pia Doria na wakati mwingine kimeruhusiwa kufanya ujambazi ili kiweze kupata pesa ya kujikimu.

Mratibu wa kikundi hiki ni Ally Kimbau anayedaiwa kuwa alikuwa askari mstaafu wa JWTZ.

Ninaamini kati hao niliyowasena na wakifanyiwa Dressing vizuri na vyombo vya dola watapata mambo mengine mengi kuhusu kikundi hiki na nchi wafadhili wao na walikopelekwa kufanya mafunzo ya kigaidi.
Matako!
Umekaaa n.a. kuona hii ndiyo njia ya kusafisha "nyang'au"wauaji wa watu n.a. kudai ni wakimbizi???!!!
 
Ndugu uainivishe kilemba cha ukoka Mimi Raia mwema muumini wa siasa za ujamaa na kujitegemea pia mfuatiliaji wa siasa Kama mtanzania yeyote. Lakini nataka nikuambie wahalifu wote Chadema nawafahamu akina Henry Kilewo bado wana kesi yao Igunga na watakwenda kujibu tu
Wewe mjinga tafuta kahawa ya sh. 100/= unywe ili angalau mdomo wako uchomeke! Hivi unajua kuwa unaitukana serikali hadharani tena kwa maandishi? Yaani serikali ilishasema watu wasiojulikana na hadi sasa hawajulikani kisha wewe unawaambia wanajulikana na majina umewatajia! Unaifundisha kazi? Na kwanini ulizikalia taarifa hizi kwa kipindi kirefu hivi?
Hapana kuna unalolijua zaidi ya hili na kwa heshima nikuombe uyaanike hapa hiyo delay na failure ya vyombo vya dola katika madhila yanayowapata wengine! Kinyume chake basi uhusike moja kwa moja kuwasaidia mbinu ulizozitumia kuyabaini haya!
 
Wafuasi wa chadema wanashangaza sana!
Wakiambiwa na Lema kuwa wanajua mipango ovu ya serikali kabla ya kutekelezwa wanakubali,lakini wakiambiwa kuna genge la maharamia chadema wanakataa,serikali ikimua inaweza kupenyeza watu wake popote
Na wewe tusaidie hapa! Hivi hilo genge lina nguvu na mbinu kiasi cha kuishinda serikali na vyombo vyake? Kama jibu ni ndio, ni kwanini wasikubali msaada wa vyombo vingine vya kimataifa kusaidia kuchunguza?
Wakati mwingine mnajisahau sana ninyi wapiga propaganda wa ccm na kuamini kuwa hili jukwaa limejaa watu wasioweza kutafakari na kufikiri kwa kina! Hamuoni kuwa mnavitukanisha na kuvichonganisha vyombo vya dola na wananchi? Ni kwanini mmeamua kuwatukanisha hivi?
Nape ni ccm, Malima hali kadhalika ni wa humohumo. Lakini wote hawa walishikiwa bunduki na risasi kupigwa juu na hao g-3 uliyoitaja? Polisi waliokuwepo eneo la tukio waliogopa nini kuwakamata na hata kuwajeruhi kwa silaha walizokuwa nazo?
Kule Dodoma kulikuwa na CCTV camera na kwa vyovyote zilirekodi tukio lote, ni kwanini hadi leo hakuna video au picha za wahusika wale haziwekwa hadharani?
Hebu mnapokuja humu tambueni kuwa hakuna mafala!
 
Huu ni uchochezi unafaa kufunguliwa mashtaka ww,,,,ukiambiwa thibitisha kauli
Mwache ajiburudishe pasaka hii ila ikiisha atawatambua kwa rangi zao hao aliowataja mahakamani kwani imeharibia sana muonekano wao katika jamii hasa wale waliowapoteza ndugu na wazazi wao! Ataikimbia nchi huyu!
 
Nimemsikia jana mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya chama cha Demokrasia na maendeleo bwana Godbless Lema akidai kuwa kila kinachopangwa na vyombo vya dola na Watumishi wa serikali wao wanakuwa na taarifa mapema.

Hii dhana Moja kwa Moja linaondoa ukakasi uliyopo hapa nchini kuhusu watu wanaotekwa, Kupotea na wengine kudhurika Kama Bwana Tundu Lissu, Ben Saanane na wengineo kuwa serikali inahusika na masaibu yao.

Kama kweli vyombo vya serikali ingehusika tayari wangepewa taarifa akina Lema na kuwaambia kuchukua tahadhari.

Miongoni mwa wanakikundi hicho ambacho jina lake la Siri ni G-3 ikiwa na jina maarufu Kama Tume au VIP Hawa ndiyo wanaofanya uhalifu huu.

Hiki kikundi cha Tume miongoni mwa maafisa wake ni Ally Kimbau (Shetani) Zachariah Swai, Boniface Jacob, Munisi, Melkizedek (Medy), Hemed Sabula ingawa huyu siku chache kabla ya Lissu kupigwa risasi aliondolewa makao makuu ya chadema na kupelekwa ofisi za Kanda ya Pwani magomeni.

Kikundi hiki kinamiliki vifaa maalumu kinachodukua mawasiliano ya simu na internet ya viongozi wa serikali na watu Mashuhuri hapa nchini.

Vifaa ivyo vinatunzwa na Boniface Jacob, Godbless Lema na Freeman Mbowe.
Hiki kikundi ndicho kikundi hatari sana ndani ya chadema na kinaogopwa sana na viongozi na wanachama Mashuhuri wa chadema kiasi hakuna hata mtu anayeweza kuwasema tofauti na matakwa yao ndani ya chadema.

Kikundi cha Tume pia ndicho kikundi kilichopewa mamlaka ya kufanya mambo ya intelligence ndani ya chadema na kukusanya taarifa na kimepewa jukumu la kuhujumu Vyombo vya Dola.

Kikundi hiki kinafanya pia Doria na wakati mwingine kimeruhusiwa kufanya ujambazi ili kiweze kupata pesa ya kujikimu.

Mratibu wa kikundi hiki ni Ally Kimbau anayedaiwa kuwa alikuwa askari mstaafu wa JWTZ.

Ninaamini kati hao niliyowasena na wakifanyiwa Dressing vizuri na vyombo vya dola watapata mambo mengine mengi kuhusu kikundi hiki na nchi wafadhili wao na walikopelekwa kufanya mafunzo ya kigaidi.
tushazoea blah blah mataputapu
 
Back
Top Bottom