BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
akikujibu nitagKama ni kweli hayo unayoyasema kwa nini serikali inakataa uchunguzi huru wa matukio haya yote yasiyo ya kawaida. Jibu hili swali.
akikujibu nitagKama ni kweli hayo unayoyasema kwa nini serikali inakataa uchunguzi huru wa matukio haya yote yasiyo ya kawaida. Jibu hili swali.
Mkuu nipo mahakamani ndani, Mbona sikuoni ? au upo kwa nje ?
Hapo jibu halipo na hawezi kukusogelea tenaKama ni kweli hayo unayoyasema kwa nini serikali inakataa uchunguzi huru wa matukio haya yote yasiyo ya kawaida. Jibu hili swali.
Umesahau kumtaja kwenye list yule nani kisanduku sijui alomtolea nape bastola.
Nasikia ni bodyguard wa mbowe

Na wewe kama una mifano mitatu ya nchi yoyote duniani yenye Serikali makini inaita wageni kuchunguza internal crimes( sio ugaidi), nitag.akikujibu nitag