CHADEMA na Siri za vyombo vya dola

Frey Cosseny

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
1,984
1,405
Nimemsikia jana mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa ya chama cha Demokrasia na maendeleo bwana Godbless Lema akidai kuwa kila kinachopangwa na vyombo vya dola na Watumishi wa serikali wao wanakuwa na taarifa mapema.

Hii dhana Moja kwa Moja linaondoa ukakasi uliyopo hapa nchini kuhusu watu wanaotekwa, Kupotea na wengine kudhurika Kama Bwana Tundu Lissu, Ben Saanane na wengineo kuwa serikali inahusika na masaibu yao.

Kama kweli vyombo vya serikali ingehusika tayari wangepewa taarifa akina Lema na kuwaambia kuchukua tahadhari.


Miongoni mwa wanakikundi hicho ambacho jina lake la Siri ni G-3 ikiwa na jina maarufu Kama Tume au VIP Hawa ndiyo wanaofanya uhalifu huu.

Hiki kikundi cha Tume miongoni mwa maafisa wake ni Ally Kimbau (Shetani) Zachariah Swai, Boniface Jacob, Munisi, Melkizedek (Medy), Hemed Sabula ingawa huyu siku chache kabla ya Lissu kupigwa risasi aliondolewa makao makuu ya chadema na kupelekwa ofisi za Kanda ya Pwani magomeni.

Kikundi hiki kinamiliki vifaa maalumu kinachodukua mawasiliano ya simu na internet ya viongozi wa serikali na watu Mashuhuri hapa nchini.

Vifaa ivyo vinatunzwa na Boniface Jacob, Godbless Lema na Freeman Mbowe.
Hiki kikundi ndicho kikundi hatari sana ndani ya chadema na kinaogopwa sana na viongozi na wanachama Mashuhuri wa chadema kiasi hakuna hata mtu anayeweza kuwasema tofauti na matakwa yao ndani ya chadema.



Kikundi cha Tume pia ndicho kikundi kilichopewa mamlaka ya kufanya mambo ya intelligence ndani ya chadema na kukusanya taarifa na kimepewa jukumu la kuhujumu Vyombo vya Dola.

Kikundi hiki kinafanya pia Doria na wakati mwingine kimeruhusiwa kufanya ujambazi ili kiweze kupata pesa ya kujikimu.

Mratibu wa kikundi hiki ni Ally Kimbau anayedaiwa kuwa alikuwa askari mstaafu wa JWTZ.


Ninaamini kati hao niliyowasena na wakifanyiwa Dressing vizuri na vyombo vya dola watapata mambo mengine mengi kuhusu kikundi hiki na nchi wafadhili wao na walikopelekwa kufanya mafunzo ya kigaidi.
 
Hiv kama uko katikati ya poli la simba hata ukipewa taarifa mapema unadhan unaweza kumkwepa simba asikutafne
 
[QUOTE="Frey Cosseny, post: 26432439, member: 272271".[/QUOTE]
Vitimbi, serikali hii inavyotaka kuwaumiza hao watu, wasingechukua round....hii ni taarifa ya kupokea vijiweni hii
 
Hii ishu ni kweli kabsa....Mbo.we na Le.ma ni watu hatari sana...Inasemekana hata sasa WAMEISHAANDA kikundi fulani cha kufanya mchezo mchafau 26/04.....
Hivi hamjiulizi SERIKALI INAPATA WAPI UJASIRI WA KUWAKAMATA KINA MBOWE tena kipindi amabcho kuna joto la maandamno haya ya kipuuzi mitandaoni???
UPIGWAJI WA LISSU LISASI ni mbo.we na le.ma ndio walio ratibu huu MCHEZO....Nani asiye jua LISSU ni mtu hatari sana kwa mustakabali wa wachagga NDANI YA chadema AS WELL AS MUSTAKABALI WA uenyekiti wa MBOWE NA lowassa URAIS kuelekea 2020...
Kupotea kwa saanane ni hiki kikundi ndio kiliratibu huu mchezo kutoka kumtumia SANANE kumtukana RAIS magufuli mpaka kupotea kwa SAANE ni hwa jamaa wanahusika na ndio maana mpaka sasa wanatumia hili jambo kama AJENDA YAO KUU....ACHENI SIASA IITWE SIASA
Mauaji ya kiongozi wa chadema KINONDONI ni hawa JAMAA WALIRATIBU....
Mbona mkiambiwa tuwaite Scotland Yard mnaruka majoka acheni majungu kila kitu mnacho nyie lumumba ila bado mnaweweseka ,time will tell tazameni wale waliokuwa kwa yahya jamer ndio mtajua dunia ni duara wewe ukielekea west mm nikielekea east tutakutata tu siku kwahyo mjiandae
 
Nadhani Frey ni mtu muhimu yupo karibu na system, kwa andiko lako juu ya masibu ktk taifa ,unaaibisha sana taasisi zetu za nchi. Omba modes wafute ujumbe wako.Chapisho la kijinga sana.
 
Hivi anayekataa kuruhusu vyombo huru vya uchunguzi kuingia nchini kuchunguza matukio yote ya mauwaji,utesaji,utekaji na mashambulizi ya wanasiasa ni nani?Kama serikali haihusiki kwa nini iupinge uchunguzi huru wa matukio hayo?

Ndugu yangu ni bora ungetumia akili zako zilizosalia kujifunga pampers ili ijisitiri na uharibufu uliofanyiwa hapo Lumumba baada ya kuondolewa "marinda ya ufahamu wako", kuliko kujidharirisha kiasi hiki!

Serikali yenye vyombo vyote vya kiuchunguzi kuanzia Greenguard,Tiss,Uvccm,policcm,watu wasiojulikana,henry kisanduku,Maliyamungu Bashite na makorokoro yote yanayofadhiriwa na dola yameshindwa kubaini hata aliyeziondoa CCTV camera pale Area D Dodoma mara baada ya shambulizi la Lissu?

Kwa akili za kipumbavu ulizonazo Mimi ningekuwa ndiye mumeo ningekupiga taraka 4 na kukurudisha kwenu ukachezwe upya!Upumbavu wako haukadiriki,ni zaidi ya upumbavu wote uliowahi kuwepo hapa duniani!
 
Umeshindwa kuhofia kwamba walioko serikalini nao wamechoka hadi wameanza kuvujisha? Na wavujishiwa wanazitaka kwa ajili ya kusemea tu kwenye vyombo vya habari tu? Au kuna mahali watazitumia?
 
Nadhani Frey ni mtu muhimu yupo karibu na system, kwa andiko lako juu ya masibu ktk taifa ,unaaibisha sana taasisi zetu za nchi. Omba modes wafute ujumbe wako.Chapisho la kijinga sana.
Ndugu uainivishe kilemba cha ukoka Mimi Raia mwema muumini wa siasa za ujamaa na kujitegemea pia mfuatiliaji wa siasa Kama mtanzania yeyote. Lakini nataka nikuambie wahalifu wote Chadema nawafahamu akina Henry Kilewo bado wana kesi yao Igunga na watakwenda kujibu tu
 
Mkuu unayosema yana logic. Inawezekana hata Zile Camera pale Bungeni wao ndio walizitoa baada ya Uhalifu. Nashauri tuishauri Serikali yetu tukufu ikubali uchunguzi huru. Waitwe FBI wayachungunguze haya Matukio yote
 
Umesahau kumtaja kwenye list yule nani kisanduku sijui alomtolea nape bastola.
Nasikia ni bodyguard wa mbowe
 
Kwa hiyo mnakesha huko Masaki na kuamka mmevimba macho kwa kuandaa upuuzi wa kuposti JF sio?
Hicho kikundi cha utekaji,utesaji na maauji cha bosi wenu (mkuu wa wakuu wa mikoa naibu rais) hakuna asiyekijua,just a matter of time mtavuna mnachokipanda.
 
Eti huyu naye ni kiongozi wa upinzani? Jamani wapinzani wanahangamia kwa kukosa maarifa
Maarifa yapi? Hakuna Uhuru wa kufanya Siasa maarifa utayasikia sehemu gani? Ruhusu mikutano ya siasa uone maarifa mpaka utakosa pa kuyaweka.
 
Back
Top Bottom