CHADEMA na Sera Makini... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA na Sera Makini...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Vancomycin, Jan 20, 2011.

 1. V

  Vancomycin Senior Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Katika kudhihirisha kuwa CHADEMA ni chama makini na ni chama ambacho kina sera zenye mashiko serikali ya CCM imekuwa inaendeleza utekelezaji wa sera za chama hicho ambazo mgombea wake wa urais Dr.W Slaa alikuwa akizinadi katika kampeni zake za kugombea urais.
  1.Dr.Slaa katika kampeni zake alieleza adhma yake ya kuunda baraza dogo lenye tija ambapo CCM imetekeleza hilo kwa kiasi chake kwa kupunguza ukubwa wa bara hilo
  2.Katika ilani ya uchaguzi ya chadema ilieleza bayana mpango wake wa kubadili katiba mbali ya kuwa hoja hii ni ya muda mrefu na mgombea wake kukosa urais wabunge wake waligomea hotuba ya rais mbali ya kejeli na matusi waliyopata walisimamia kile walichoamini CCM inatekeleza hilo kwa kuanzisha mchakato wa katiba mpya ambayo kila mtu anaifurahia.
  3.Leo UVCCM wamekuja na jingine la kuvunjwa kwa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu na kuunda bodi ya mikopo yenye tija jambo ambalo limezungumzwa kwenye ilani ya uchaguzi ya CHADEMA 2010.

  Kwa hayo machache hapo juu hii inadhihirisha sera nzuri za CHADEMA na ukomo wa uwezo wa kufikiri na kubuni kwa viongozi wa CCM na kukopa sera za wapinzani.Pengine tutarajie mengine mengi.
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  naaaam naaaamm....... Asante sana, u really r a great thinker, mwanzoni nilikua najua ni swala la katiba tu, kumbe kuna ya ziada,, kweli chadema chama makini. We can conclude that dr.slaa is the president of tz but he is just working out of the white house.sera za mkwere hazzitekelezeki hata 1, za slaa taifa zima linaona zinavyotekelezeka.
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Good Great Thinker!
   
 4. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,934
  Likes Received: 671
  Trophy Points: 280
  a piece of treasure for this night... go get the upthrust..you are nearly there..the atrocities of the ruling party are no longer in safe modality...they will be ousted soon with the power of the people
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  1."Tutaanza mchakato wa kuandaa katiba mpya ndani ya siku 90 za kwanza ikulu"
  2.Akiwa geita,..."Jk anafanya kila ninacho mwambia kufanya,nipeni ridhaa ili nisimamie mwenyewe mawazo yangu"

  We have a president out of Ikulu but leading the nation,Dr.W.P.Slaa
   
 6. V

  Vancomycin Senior Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kunikumbusha kuwa adhma yenyewe imetanganzwa mkwere hajafikisha hata cku mia moja alizosema Doctor(Phd)
   
 7. B

  Bull JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  M/kITI dj NA kATIBU mKUU NI ASKOFU!! hIKI CHAMA KITAIPELEKA TANZANIA WAPI ???
   
 8. kitungi

  kitungi Senior Member

  #8
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  halafu wewe ni...

  View attachment 20954

  kazi ipo kweli kweli! dah
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,829
  Trophy Points: 280
  punguza jazba baba.
   
 10. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,919
  Likes Received: 12,104
  Trophy Points: 280
  Huyu eti anaitwa senior expert sijawahi mwona akichambua hoja yenye mashiko hata moja yeye ni Slaa padri basi hoja iliyosinyaa.
   
 11. B

  Bull JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Expert yoyote hawezi kuwasifia viongozi wa chadema ambao hawana uzoefu wala elimu ya mshiko yakuweza kuelewa mambo, DJ na Askofu watatupeleka wapi Wa Tanzania ?? hii ndio point ya ku-discus

  Nifahamishe hawa watu wanaokurupuka katika maamuzi yao, watatufaa wa Tanzania ? Chama kimejaa ukabila, udini na siasa za chuki na hawa viongozi wanshindwa kukemea, wana relux kanakwamaba hakuna tatizo ni kwasababu hawana uwezo wa kuona na kuelewa
   
 12. kitungi

  kitungi Senior Member

  #12
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  huwezi kuwa expert!! wewe na huyu View attachment 20960 ni kitu kimoja kama jina lako linavyosema!!!
   
 13. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Snr expert acyejua kati ya ccm na dr slaa nani anakurupuka?endeleeni kutekeleza sera za cdm mpaka mtie adabu vilaza nyie,mnajificha kwenye kati la udini hautawasaidia kitu
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Achana na huyu nyau. hana lolote zaidi ya kusifia makombo ya wezi. Wala usipoteze muda wako kujibizana na vibiongo hawa! Mweke kwenye ignore list yako. Wanawaza kwa kutumia tumbo.
   
 15. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,919
  Likes Received: 12,104
  Trophy Points: 280
  The samething same point DJ, Askofu, padre, sometimes try to think of different topic to discuss unabore.
   
 16. V

  Vancomycin Senior Member

  #16
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mende ana tabia kuu mbili kunya kabatini na kulala chooni.mende bwana...
   
 17. V

  Vancomycin Senior Member

  #17
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukiona panya amekatiza sebuleni ujue anataka kufahamika.
  Familia ya panya,Baba panya, mama panya, watoto?poleni najua mashaka ndo yametawala
   
 18. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #18
  Jan 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ongeza na hii ya kuongeza muda wa elimu ya msingi kuwa mpaka kidato cha nne.
   
 19. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #19
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nadhani wewe ni mtoto wa fisadi na inawezekana uko unajaribu kumtetea babaa yako. Kwa taarifa yako watoto wa mafisadi hamwezi kuwa na akili kuzidi watoto wa walalhoi. Shule siku zote huwa inawapiga chenga na zaidi huko nje mnakula unga tu kama mateja wa bongo. Muda wa kufaidika na ufisadi unafika kikomo na kama mko nje mbaki hukohuko maana si muda mrefu wazazi wenu watawafuta hukohuko nchi inarejeshwa mikononi mwa wananchi.
  Mabadiliko yanayovuma si kwa sababu ya chadema ni uamuzi wa wtz baada ya kuchoka na utawala wa ccm. Hivyo haijalishi ni nani ataongoza haya mapambano lengo ni kuong'oa utawala usiokuwa na faida kwa walio wengi.
   
 20. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #20
  Jan 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  bull ni
  [​IMG]
   
Loading...