Hii nchi hata wakichukuwa vyama vingine,hakuna ujanja ni lazima tufungue milango ili tuweze kupata wawekezaji ambao watasimamiwa vyema na kuifanya Tanzania isonge mbele.kwa dunia ya sasa bila kufungua milango huwezi kwenda mahali,bila kuwa na ushirikiano na nchi nyingine huwezi kusonga mbele,ufike wakati tukubali kuwa maendeleo ya sasa yanahitaji wawekezaji wawe wa ndani ama wa nje.
Nakubaliana na maandamano hayo,lakini ni vyema tuelewe kuwa Tanzania inahitaji wawekezaji wa kweli na kwa sasa wawekezaji wa kweli ni kutoka uchina na si ujerumani wala uingereza wala USA.
Cha msingi hapa ni kuwa makini ktk kile tukifanyacho,ktk swala la utaifa tusimame kwa pamoja na ktk maswala ya uvyama hainashida mkipambana maana kila chama kinataka kushika dola na hii ni kwa kila chama cha siasa ktk nchi yeyote ile.
Boss,
I hope hilo jina la Mkwawa unajua maana yake.
Pili unatakiwa ujue sababu zilizowafanya wanafunzi wafeli na baada ya hapo hata ukiandamana mie nitakuunga mkono kwani tutajua nani au nini kilisababisha wanafunzi kufeli, sio kuandamana kila kukicha kama vile hakuna kazi nyingine ya kufanya.
KESHO MVUA ZISIPONYESHA NA MAZAO YAKAHARIBIKA UTAANDAMANA WAZIRI WA KILIMO AJIUZURU?
Nitoe ushauri kwa serikali na jeshi la polisi. Wawasiliane na CHADEMA kujua wanaandamana mikoa gani na muda gani, na kwa kila mkoa/mji ambapo kuna maandamano basi wawaambie wakuu wa mikoa au Wilaya husika wapokee hayo maandamano. (Wakuu wa mikoa na Wilaya wanawakilisha executive branch).
Sijui ni kwanini serikali na polis huwa wanajipa tabu ya kuzuia maandamano. Waache uwoga, na siasa za kizamani. Watu wanaandama wapokee na kusikiliza wanasema nini. Very easy na hakutakuwa na gharama za mabomu wa vitu vizito.
Na CHADEMA washasema tofauti na Dar ambako maandamano yapelekwa kwenye ofisi za Waziri Mkuu, Mwanza, Mbeya na Arusha yatapelekwa Kwa wakuu wa Mikoa. Kwa hiyo ni juu yao kutumia hiyo busara unayopa ambayo kimsingi italiepushia taifa jili kadhia isiyo ya lazima.Nitoe ushauri kwa serikali na jeshi la polisi. Wawasiliane na CHADEMA kujua wanaandamana mikoa gani na muda gani, na kwa kila mkoa/mji ambapo kuna maandamano basi wawaambie wakuu wa mikoa au Wilaya husika wapokee hayo maandamano. (Wakuu wa mikoa na Wilaya wanawakilisha executive branch).
Sijui ni kwanini serikali na polis huwa wanajipa tabu ya kuzuia maandamano. Waache uwoga, na siasa za kizamani. Watu wanaandama wapokee na kusikiliza wanasema nini. Very easy na hakutakuwa na gharama za mabomu wa vitu vizito.
Uchi wa serikali ya CCM utaanikwa Jumatatu kwa kuwa dunia nzima itkuwa Tanzania. Maandamano kuelekea ofisi ya waziri mkuu ni sawasawa na kuelekea Ikulu kwa kuwa ofisi ya waziri mkuu iko Ikulu. Rais wa China na vyombo vyote wa habari vya kimataifa vitakua maeneo hayo. Hapa kazi ipo!
Chris Lazima ujue wewe unasimamia nini, Je unasimamia tumbo au unasiamamia sera na wananchi.
Hakuna nchi duniani iliyoendelea inamchekea mtendani mbovu hasa pale wizara au taasisi yake inaposhindwa ispokuwa kwa masikini kama wewe.
Nionyeshe ni nchi gani makini duniani pamoja na hiyo ambayo wewe ni mkimbizi wa kiuchumi na kielimu baada ya serikali ya CCM kukunyima elimu na ajira ikabidi ukimbie kama ina viongozi ambao hawawajibiki pale wanapoharibu.
Kila waziri au kiongozi anayeshindwa kuongoza taasisi au wizara yake lazima aondoke.
Sisi hatuko tayari kuona tena watoto wanakosa elimu kwa ajili ya Maccm kuwagawana fedha za elimu. Ndio maanadamo yataongeza bajeti ya wizara, ndio maandamano yatawafanya watawala kutekeleza wajibu wao, ndio maandamao wajibishi ndio silaha iliyotumiwa duninani na wote waliodai haki na ilipatikana. Ndio maandamono hata leo yanatumika hata huko ulipo kudai haki.
Njia za mazungumzo zikishindikana njia nyingine zitatumika. Hatuna muda wa kubembeleza wazembe, wezi, mafisadi, na wavivu. wewe subiria ninaamini siku moja utaona matunda ya hawa wanaojitoa kwa ajili ya ndugu, watoto na kizazi hiki na cha kesho.
Hata afrika ya kusini kulikuwa na wasaliti ila leo wanashangilia uhuru haki na usawa. Hata kwenye kudai uhuru tulikuwa na watu walituuza kwa kutetea wakoloni, hata kwenye harakati za Martin luther king baadhi ya weusi walisaliti leo wanashangilia Mweusi kuwa raisi. Hata Yesu alisalitiwa na mwanafuzi wake hivyo hujaanza wewe kuwasaliti watanzania.
Kwa sababu unatetea chama huoni, mateso ya Watanzania, kwa sababu unajikomba huoni madhara ya elimu mbovu Tanzania, Kwasababu hujawahi kupimwa malaria na kupewa majibu fake kwasababu ya ukosefu wa ujuzi, Kwasababu hujawahi kuona uzembe wa kujenga barabara chini ya kiwango na kusababisha hasara kwa walipa kodi.
Huna uchungu na kodi zetu wala hujui mwananchi ni nani?
Na nisikusikie ukilalalmikia huduma bora za jamii. wewe tuache sisi na Tanzania yetu na lazima tumwajibishe yeyote mzende, mvivu, mwizi, fisadi kwa gharama zozote zile.
Maandamano ni kilele cha serikali kuwa kikteta.
Siku moja tutakuona ukiyakubali haya kwa aibu.
kama wiki hii jakaya kikwete alipomtoa mama traffic polisi kafara pale shekilangoLakini safari hii msitoe mtu kafara.uzuri yule muuaji yuko jela lasivyo tutasikia kafa mtu kwenye maandamano
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
Hakuna mtu mwenye akili zake timamu, na ambaye anajali muda na kazi zake, anayejua wajibu kwenye familia yake, na anayetekeleza majukumu yake vinzuri, atashiriki maandamano hayo. Wapuuzi, wenye akili finyu, wasiokuwa na plan za kazi, wanaoamka wasijue nini cha kufanya ndio watakuwa mstari wa mbele kwenda kuwa chambo kwenda kutetea ulaji wa viongozi wa Chadema.
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii