Mzalendo80
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 2,509
- 1,343
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

Nani alikuambia mie nilifeli?
Sio kuandika unatokwa povu tu bila kutumia akili.
Haya ukiandamana kesho halafu....
Au unadhani baada ya kuandamana ndio watabadilisha hiyo sifuri yako kuwa Division one?
Tatizo lenu mnakurupuka tu kufuata upepo bora DJ kasema muandamane basi woote mnaingia mitaani kama wale wafuasi wa ponda , matokeao yake mnaishia jela. Na ukiwa jela usidhani kama chadema watakuletea ndizi huko. muulize Ludovick

Sawa Kamanda unaeleweka hivyo na CHADEMA wanajua sana hilo na wanasisitiza uwekezaji wenye tija kwa taifa na sii kwa vikundi vidogo vya watu kwa hiho kama huyo rais wa China anakuja kwa uwekezaji usio na mashaka kwa taifa hili yote kheri lakini kwa sasa yeye sio ishu.Hii nchi hata wakichukuwa vyama vingine,hakuna ujanja ni lazima tufungue milango ili tuweze kupata wawekezaji ambao watasimamiwa vyema na kuifanya Tanzania isonge mbele.kwa dunia ya sasa bila kufungua milango huwezi kwenda mahali,bila kuwa na ushirikiano na nchi nyingine huwezi kusonga mbele,ufike wakati tukubali kuwa maendeleo ya sasa yanahitaji wawekezaji wawe wa ndani ama wa nje.
Nakubaliana na maandamano hayo,lakini ni vyema tuelewe kuwa Tanzania inahitaji wawekezaji wa kweli na kwa sasa wawekezaji wa kweli ni kutoka uchina na si ujerumani wala uingereza wala USA.
Cha msingi hapa ni kuwa makini ktk kile tukifanyacho,ktk swala la utaifa tusimame kwa pamoja na ktk maswala ya uvyama hainashida mkipambana maana kila chama kinataka kushika dola na hii ni kwa kila chama cha siasa ktk nchi yeyote ile.
wewe kwa kuwa una ajira ya kubeba box hapo Manchester na kupata riziki yako ndo maana unaona na sie tumeshiba..familia yako unayo huko sisi huku ndo tunaonja joto.NYAMAZA
Boss,Sio lazima uchangie kila kitu, unatia aibu, kama hiki ndio kiwango cha kufikiri cha MaCCM haishangazi kwanini ulishindwa kukaa kwenye akili na matumizi ya ubongo. Tetea Unga wako. Sisi tunatetea kizazi cha sasa na kijacho. Nimekusoma sana. Unafurahia kufeli kwa watanzania, unashangilia miundo mbinu mibovu ya Tanzania, Unaipenda Rushwa na kuienzi, Unatamani nawe ungekuwa kwenye mzunguko wa kutesa watanzania. Watu kama wewe kamwe humuwezi kufanikiwa kwenye mbinu zenu chafu.
Kwanini usionee huruma Watanzania?? Wewe huko ulipo hujui nini maana ya kukosa mwalimu darasani, au waziri kugawa fedha za vitabu kwa MaCCM wenzeka kwa ajili ya siasa. Hujawaona wazazi wanaolia kwasababu tegemeo limepotea. Hujui mfumo mbovu wa elimu unaosababishwa na usimamizi mbovu wa keki ya Taifa na maCCM ndio kilio chetu na umasikini wetu.
Huna huruma wala haya, hujui ulisemalo wala unachokitetea zaidi ya kutukuza chama. Ugomvi wako na watu binafsi hausaidii Tanzania. Watu watapita lakini Tanzania kamwe haipiti. Ninyi mnatetea maslahi watu sisi tunaililia Tanzania, hatubagui yeyote mwenye mapenzi mema na Tanzania tupo pamoja.
Tafakari kaka.
Chief Mkwawa
Akili ya Rushwa inafikiri dhuluma, mawazo ya wizi ni utesaji.
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
Kwa kuwa ulimktia tiketi wewe, kwanini asiende huko Dubai. Masaburi bana!Hivi wewe bado upo uraiani?Hujaungana na mkurugenzi wako?Vipi utashiriki au utakuwa unaulizia UPDATE nyuma ya key board wakati wananchi wasio na hatia wakiumia?Familia yako itashiriki?Mkiti nasikia ameenda DUBAI!
Hii akiri au matope?Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii
DJ babako....Nani alikuambia mie nilifeli?
Sio kuandika unatokwa povu tu bila kutumia akili.
Haya ukiandamana kesho halafu....
Au unadhani baada ya kuandamana ndio watabadilisha hiyo sifuri yako kuwa Division one?
Tatizo lenu mnakurupuka tu kufuata upepo bora DJ kasema muandamane basi woote mnaingia mitaani kama wale wafuasi wa ponda , matokeao yake mnaishia jela. Na ukiwa jela usidhani kama chadema watakuletea ndizi huko. muulize Ludovick
Hapo kwenye blue huyo ndo nani?Nani alikuambia mie nilifeli?
Sio kuandika unatokwa povu tu bila kutumia akili.
Haya ukiandamana kesho halafu....
Au unadhani baada ya kuandamana ndio watabadilisha hiyo sifuri yako kuwa Division one?
Tatizo lenu mnakurupuka tu kufuata upepo bora DJ kasema muandamane basi woote mnaingia mitaani kama wale wafuasi wa ponda , matokeao yake mnaishia jela. Na ukiwa jela usidhani kama chadema watakuletea ndizi huko. muulize Ludovick
Boss,
I hope hilo jina la Mkwawa unajua maana yake.
Pili unatakiwa ujue sababu zilizowafanya wanafunzi wafeli na baada ya hapo hata ukiandamana mie nitakuunga mkono kwani tutajua nani au nini kilisababisha wanafunzi kufeli, sio kuandamana kila kukicha kama vile hakuna kazi nyingine ya kufanya.
KESHO MVUA ZISIPONYESHA NA MAZAO YAKAHARIBIKA UTAANDAMANA WAZIRI WA KILIMO AJIUZURU?