THE COMMISSIONER
JF-Expert Member
- Dec 3, 2012
- 267
- 111
Nchi za wenzetu mgeni wanapokelewa kwa maandamano.huku kwetu mkara kwenda mbele.
Kamanda The Commissioner
Uko sawasawa kwa kiasi kikubwa mno. Waratibu wa maandamano na mgomo huo siku ya Jumatatu, BAVICHA kupitia kwa Katibu wa Baraza hilo taifa, Deo Munishi, wametuma taarifa kwa vyombo vya habari wakitoa tahadhari kwa Jeshi la Polisi kuacha kuwa kichocheo cha vurugu siku hiyo, badala yake litimize wajibu wake wa kulinda raia na mali zao.
Amesema kuwa uongozi wa chama katika kanda husika ambako watu wake watakutana kwenye centre moja kwa ajili ya shughuli hiyo, umeshafanya mawasiliano na Jeshi la Polisi kwa maana ya kutoa taarifa ili kuhakikisha uwepo wa ulinzi wa raia na mali zao.
Wamesisitiza siku zote CHADEMA kimekuwa kikiitisha maandamano ya amani, ambayo yamekuwa yakifanyika bila rabsha yoyote, isipokuwa pale ambapo Jeshi la Polisi linapotumwa au kutumika vibaya, kuvuruga na kusababisha fujo! Mifano iko hai.
Wamesisitiza pia kuwa, kama alivyosema Mwenyekiti wa Taifa, Freeman Mbowe, maandamano hayo ni ya Watanzania wote wanaoipenda nchi yao. Itakumbukwa Mwenyekiti alisema yatamhusu kila mtu, waendesha daladala, bodaboda, mamantilie, walimu, wanafunzi (wote kuanzia msingi hadi vyuo vikuu), wasukuma mikokoteni, madaktari na wengine wote, watu wa kada zote nchini.
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?Huo ugeni unaathiri nini?Rais wa China anakuja kwa maslahi ya Taifa lake.Hapa CHADEMA wanaongelea maslahi ya taifa letu na vizazi vijavyo
Watoto wamefeli na hatuwezi kuandaa mazingira ya wadogo Zetu na kuwa manamba ndani ya nchi yao watakapowekeza wageni anaokuja kuwatetea kwenye hiyo mikataba ya kinyonyaji watakayosaini na rais wa China
Ukipita Kariakoo utakutana na wamachinga wa kichina ambao wanaziba hata fursa kwa wamachinga na wadogo zetu waliofeli kidato cha nne kujipatia riziki yao.
Tuendeleze vuguvugu bila kurudi nyuma
Nchi za wenzetu mgeni wanapokelewa kwa maandamano.huku kwetu mkara kwenda mbele.
Hivi unadhania nchi inaweza kuendelea bila wawekezaji?
Tatizo lenu nyie mnataka attention sana na mnaitafuta hii attention bila kujali waathirika wa haya maandamano na vurugu zenu, Wakipoteza maisha mnachofanya ni kuzunguka na picha zao kuonyesha huko waliko wawekezaji. mnataka nchi ionekane ina machafuko. Wewe unadhani nani mjinga atawekeza kwenye nchi yenye machafuko?
Hebu tafuteni kazi za kufanya manake sasa mmeanza kuwa kero kwa jamii

Nani alikuambia mie nilifeli?Hivi na wewe una la kusema ama unataka kujikomba tu.
Inaonekana akili yako fupi kama ya serikali ya chama chako ambao hawajui kutofautisha Maandamano ya Amani na ya vurugu. Wewe kama serikali yenu kwa akili zenu fupi mmeshindwa kuona ni kwa kiasi gani mlvyoathiri maisha ya watoto wa Watanzania kwa kuwafelisha. Wewe mwenyewe serikali yako imekufanya ukawa na akili fupi kwa kukufelesha. Mwenyewe uliambualia division ya aibu.
Unaandika hapa ukiwa Uingereza wakati wanaume CHADEMA wanapambana hapa nyumbani kupigania elimu ya wadogo zakouliowaacha hapa Tanzania ili wasije wakawa kilaza kama wewe.
Hivi wewe bado upo uraiani?Hujaungana na mkurugenzi wako?Vipi utashiriki au utakuwa unaulizia UPDATE nyuma ya key board wakati wananchi wasio na hatia wakiumia?Familia yako itashiriki?Mkiti nasikia ameenda DUBAI!Huo ugeni unaathiri nini?Rais wa China anakuja kwa maslahi ya Taifa lake.Hapa CHADEMA wanaongelea maslahi ya taifa letu na vizazi vijavyo
Watoto wamefeli na hatuwezi kuandaa mazingira ya wadogo Zetu na kuwa manamba ndani ya nchi yao watakapowekeza wageni anaokuja kuwatetea kwenye hiyo mikataba ya kinyonyaji watakayosaini na rais wa China
Ukipita Kariakoo utakutana na wamachinga wa kichina ambao wanaziba hata fursa kwa wamachinga na wadogo zetu waliofeli kidato cha nne kujipatia riziki yao.
Tuendeleze vuguvugu bila kurudi nyuma
Unafikiri CHADEMA wanafikiri kwa kutumia masaburi kama wewe na chama chako.Nani alikuambia mie nilifeli?
Sio kuandika unatokwa povu tu bila kutumia akili.
Haya ukiandamana kesho halafu....
Au unadhani baada ya kuandamana ndio watabadilisha hiyo sifuri yako kuwa Division one?
Tatizo lenu mnakurupuka tu kufuata upepo bora DJ kasema muandamane basi woote mnaingia mitaani kama wale wafuasi wa ponda , matokeao yake mnaishia jela. Na ukiwa jela usidhani kama chadema watakuletea ndizi huko. muulize Ludovick