chadema na ndota ya alinacha

chadema na ndota ya alinacha

EBU watanzania tuwe realistic,hivi kweli chadema ni chama kinachoweza kupewa ridhaa na wananchi ili kiunde dola?hivi kweli rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania awe padri alitoroka kazi ya Mungu madhabahuni?halafu PM awe mmiliki wa danguro linalokwenda kwa jina la Bilicanaz?eti Sugu awe waziri wa michezo,Wenje atuwakilishe nje ya nchi...mmmm..Lucy OWENYA naye aukwae uwaziri hivihivi tu..hivi jamani kweli hiyo ni safu ya kuongoza taifa kubwa kama Tanzani?JAMANI watanzania kweli tuiweke nchi yetu rehani?na je tuiweke rehani ili kumfaidisha nani?


I repeat it once again,

I learned it since a long time ago,

NEVER TO WRESTLE WITH A PIG,YOU GET DIRTY & BESIDES THE PIG LIKES IT,
 
If the unintelligent and the unimaginative JK has done it then everybody can do it.
 
Kiongozi akiwa MPUMBAVU na wafuasi wake huwa MIPUMBAVU hivyo hivyo. Mleta mada unatokea Jimbo la Pinda nini?
 
ebu watanzania tuwe realistic,hivi kweli chadema ni chama kinachoweza kupewa ridhaa na wananchi ili kiunde dola?hivi kweli rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania awe padri alitoroka kazi ya mungu madhabahuni?halafu pm awe mmiliki wa danguro linalokwenda kwa jina la bilicanaz?eti sugu awe waziri wa michezo,wenje atuwakilishe nje ya nchi...mmmm..lucy owenya naye aukwae uwaziri hivihivi tu..hivi jamani kweli hiyo ni safu ya kuongoza taifa kubwa kama tanzani?jamani watanzania kweli tuiweke nchi yetu rehani?na je tuiweke rehani ili kumfaidisha nani?

bomu la mbagala hiloooooooooooo linafukuta.
 
Kweli uwelewa wako ni mdogo kuliko maelezo,kwan Rais wako kabla alikuwa na biashara gani?hakuwa nayo, na hawezi ndo maana ametufikisha tulipo alisema atatupeleka mbali na kweli,kwa haraka tu sukari ,cement ,chakula kwa ujumla viko juu,ina maana hajui njia za uchumi.msiwe washabiki tu,fikirien kwa mapana zaidi....

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
EBU watanzania tuwe realistic,hivi kweli chadema ni chama kinachoweza kupewa ridhaa na wananchi ili kiunde dola?hivi kweli rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania awe padri alitoroka kazi ya Mungu madhabahuni?halafu PM awe mmiliki wa danguro linalokwenda kwa jina la Bilicanaz?eti Sugu awe waziri wa michezo,Wenje atuwakilishe nje ya nchi...mmmm..Lucy OWENYA naye aukwae uwaziri hivihivi tu..hivi jamani kweli hiyo ni safu ya kuongoza taifa kubwa kama Tanzani?JAMANI watanzania kweli tuiweke nchi yetu rehani?na je tuiweke rehani ili kumfaidisha nani?

Mbona muuza bar sofia simba kawa waziri...na hao mawaziri kutwa wanashinda kwenye madanguro kupewa sukari...rehani tumeweka nchi sasa kwa kuchagua rais hohehahe...na degree yake ya uchumi wa demand and supply curve
 
Chadema hapana jamani kuongoza nchi yetu hamuwezi. Labda kizaliwe chama kipya
 
Naona vijana wa lumumba buku saba project mmeongozana, ebu zileni za mwisho mwisho
 
Hoja yangu ni kwamba waliochukua nchi mwaka 2005 si wale wenye akili nzuri zaidi ndani ya CCM hata MZEE NKAPAA akija hapa facebook angekiri hili!Wakati NYERERE NA TIMU wanataka kuchukua nchi 1950-1960, GAVANA ALISEMA LILE NI KUNDI LA WAHUNI TU.MMILIKI WA DANGURO-kwa lugha yako,na mteja wa danguro,nyumba zinazochezwa taarabu huko DAR WEST/FUSKA mtaalamu, kati ya hao wawili,bora mmiliki anatengeneza pesa!SASA mleta hoja huyu siyo mlevi,siyo kibaraka,hana hata changamoto ya afya ya akili yake.Ni mtu aliyenyweshwa itikadi ya kipumbavu na akapumbazika:ni mtumwa huria!
 
Tatizo mnaanzisha vi thread mnakimbia ****kamba

"To know the enemy is half the victory"
 
ccm wameajiri VICHAA waje kufanya propaganda huku JF, wewe kwanza ni kwadhirika wa elimu , ccm ndio wame sababisha unakesha kama popo mitandaoni bila kazi badala ya kufanya kazi za ujenzi wa familia yako na taifa kwa ujumla, heading ya hii thread inaonyesha ulivyo mpuuzi. goigoi mkubwa wewe
 
Ha ha ha vijana wa CCM bana wapumbavu sana....Mimi tangu niwe active kufuatilia politics za CHADEMA miaka ya 2000 ivi...naona hawa vijana always speak same shit over and over again...slaa padri(UDINI)..mbowe ana disco(kama sio halali au halali ni kuiba meno ya tembo na 10%)....same shit....hamnaga mapya maze akili zime-stack....manaabisha vijana wa kitanzania mazee..ongeeni mambo mapya sisa za kisasa..with new views....sio UDINI, UKABILA UTAFIKIRI VIZEE VICHAWI...
 
EBU watanzania tuwe realistic,hivi kweli chadema ni chama kinachoweza kupewa ridhaa na wananchi ili kiunde dola?hivi kweli rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania awe padri alitoroka kazi ya Mungu madhabahuni?halafu PM awe mmiliki wa danguro linalokwenda kwa jina la Bilicanaz?eti Sugu awe waziri wa michezo,Wenje atuwakilishe nje ya nchi...mmmm..Lucy OWENYA naye aukwae uwaziri hivihivi tu..hivi jamani kweli hiyo ni safu ya kuongoza taifa kubwa kama Tanzani?JAMANI watanzania kweli tuiweke nchi yetu rehani?na je tuiweke rehani ili kumfaidisha nani?

Hata Chaduma mkuu,mradi tu kiwe chama kilichosajiliwa kihalali na kukubalika sera zake pamoja na viongozi wanaosimamishwa kugombea kwa wananchi kinaweza kuongoza nchi.Nadhani Chadema kama taasisi pia sio Dr Slaa,Mbowe wala Owenya ,ni zaidi ya hapo.Kikijipanga vizuri kinaweza kuongoza nchi.
 
Chadema kitabaki kuwa changamsha bunge zaidi ya hapo ni ndoto

Ha ha ha vijana wa CCM bana wapumbavu sana....Mimi tangu niwe active kufuatilia politics za CHADEMA miaka ya 2000 ivi...naona hawa vijana always speak same shit over and over again...slaa padri(UDINI)..mbowe ana disco(kama sio halali au halali ni kuiba meno ya tembo na 10%)....same shit....hamnaga mapya maze akili zime-stack....manaabisha vijana wa kitanzania mazee..ongeeni mambo mapya sisa za kisasa..with new views....sio UDINI, UKABILA UTAFIKIRI VIZEE VICHAWI...
 
Mkuu, wala usiumize kichwa kuwawaza hao CHADEMA, Ikulu huyo Dr Slaa ataishia kualikwa tu!

Ha ha ha vijana wa CCM bana wapumbavu sana....Mimi tangu niwe active kufuatilia politics za CHADEMA miaka ya 2000 ivi...naona hawa vijana always speak same shit over and over again...slaa padri(UDINI)..mbowe ana disco(kama sio halali au halali ni kuiba meno ya tembo na 10%)....same shit....hamnaga mapya maze akili zime-stack....manaabisha vijana wa kitanzania mazee..ongeeni mambo mapya sisa za kisasa..with new views....sio UDINI, UKABILA UTAFIKIRI VIZEE VICHAWI...
 
ndota....?ccm wame kufanya hata kuandika lugha yako hujui, mwehu mkubwa,
mpuuzi wewe
 
Back
Top Bottom