CHADEMA na muhuri wa damu katika Taifa lao

Stop this nonsense.

Haiwezekani Chadema kumtunza nje aliyekuwa dereva wa Lissu ndio iwe sababu yenu ya kutofanyia uchunguzi wa shambulio dhidi ya Lissu.

Ile CCTV camera mliyoichomoa nyumbani kwa Lissu mkaenda kuificha, mliificha wapi na kwa misingi ipi?
Yule dereva ndio Lissu angemtumia kule nje kutafuta chanzo cha taasisi muhimu na bobezi za kijasusi ili kuupata ukweli, lakini kinyume chake ametunzwa kama mwali kwa gharama kubwa.

Nyinyi nyumbu wengine maropoka tu mitandaoni.

Nani alijua kabla kwamba chadema mnawatumia Makomandoo waliofukuzwa jeshini kwenye harakati zenu za chama.

Je tutajuaje hawa Makomandoo wametumika kwa kipindi gani kabla ya kugundulika kwenye hii kesi ya Mbowe iliyoanza hivi majuzi?
 
Hakuna chama ambacho kimewahi kuumizwa, kuteswa na kutoa gharama kubwa kwaajili ya ustawi wa Tanzania kama CHADEMA.

Sikuwahi kusikia kama Mwingereza aliwahi kuua viongozi wa TANU wakati wa harakati za kupigania uhuru.

CHADEMA, wakati wa utawala wa Kikwete, walirushiwa bomu lililoua watu wengi kule Arusha. Polisi waliwahi kumwua mwanachama wa CHADEMA kule Morogoro. Kiongozi wa CHADEMA kule Arusha alikatwa shingo kwa chainsew. Alphonce Mawazo, Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa kule Geita, aliuawa kwa mapanga, na Serikali ya CCM ikawazuia watu wasitoe heshima za mwisho kwa Mawazo.

Pamoja na uovu wote huo, ambao hata TANU haikuwahi kufanyiwa na mkoloni mzungu, CHADEMA hawakukata tamaa, japo kwa majonzi makubwa, waliendelea na mapambano ya kutafuta haki zinazogandamizwa na watawala.

Wakati wa Utawala wa Magufuli, viongozi wa CHADEMA, magereza yakageuzwa kuwa nyumba zao, na mahakama kuwa ndiyo sebule zao. Wengine wakapotezwa mpaka leo. Kiongozi wa CHADEMA akamiminiwa risasi zaidi ya hata ngiri anavyoweza kushambuliwa, Ben Sanane akapotea, madiwani wakauawa.

Ni unyama ambao hata Mwarabu hakuwafanyia watumwa alionunua, ni ushenzi ambao hata mkoloni Mwingereza hakuwahi kuutenda, lakini CHADEMA wamefanyiwa. Ni nani katika hali ya kawaida, angeweza kuyamudu mateso na misiba hii? CHADEMA, kwa sababu ya upendo wao kwa Taifa, japo kwa taabu sana, walisonga mbele.

Wakati wa utawala wa Samia, kuingia tu, alichoona ni muhimu na cha haraka, ilikuwa ni kuwakamata na kuwasweka mahabusu mbalimbali viongozi na wanachama wa CHADEMA. Kisha wakaanza kuwatoa mahabusu taratibu. Mwishoni wakambakiza walitemtaka, Mh. Freeman Mbowe (Mungu amjalie afya njema, maisha marefu, moyo mkuu na ujasiri usiokoma), yeye wakambandika na kesi ya ugaidi. Wanaendelea naye mpaka siku watakapokuwa wameridhika.

Ni chama gani ambacho kimeipigania Tanzania ya demokrasia, haki, uhuru wa maoni na uhuru wa habari, uhuru wa Bunge, na haki ya maendeleo kwa Watanzania, kwa gharama kubwa zaidi ya CHADEMA? Hakika hakuna.

CHADEMA, wanachama na wapenzi wake wametoa damu, na maisha yao kwaajili ya Watanzania. Damu hii na maisha ya wenzetu hao, yasiende bure. Katiba mpya ni lazima, Tanzania ya haki, uhuru na demokrasia ni lazima.
Mungu ibariki Chadema
 
Nyie ndio wa kwanza kuita watu nyumbu, ila mkijibiwa mnaanza kelele.

Chadema iliwatumia makomandoo gani kwaajili ya shughuli za chama zaidi ya ulinzi binafsi wa mwenyekiti? wale sio kama red brigade ambao ndio huwa wanatumiwa kuiba kura kwa kushirikiana na polisi kwa manufaa ya CCM.

Zaidi hakuna sheria yoyote iliyovunjwa kwa wale kina Adamoo kuajiriwa ili wajipatie kipato, kama ulitaka waachwe wafe kwa njaa na familia zao pole.
 
CHADEMA NI WAPENDA VURUGU NDIYOI MAANA WANAPIGWA KILA SIKU NA HAWAKOMI HAKUNAHAKI WANAYOTAFUTA
 
Nyie ndio wa kwanza kuita watu nyumbu, ila mkijibiwa mnaanza kelele.

Chadema iliwatumia makomandoo gani kwaajili ya shughuli za chama zaidi ya ulinzi binafsi wa mwenyekiti? wale sio kama red brigade ambao ndio huwa wanatumiwa kuiba kura kwa kushirikiana na polisi kwa manufaa ya CCM.

Zaidi hakuna sheria yoyote iliyovunjwa kwa wale kina Adamoo kuajiriwa ili wajipatie kipato, kama ulitaka waachwe wafe kwa njaa na familia zao pole.
Unazidi kujichanganya, unaandika lakini hujui wala huna uhakika na unachokiandika.

Red brigade ni moja ya makundi yaliyokuwa yakitumika na chadema katika shughuli zake za kisiasa nchini kabla ya serikali kuwapiga marufuku ikiwemo pia Green guard ya CCM.

Sasa wewe unaekataa unyumbu kwa nini usivae ubinadamu na ukalielewa hilo.

Kwa hiyo una maanisha Red brigade ya chadema walishiriki kuiba kura.

Hata kina Adamoo wangetumika kwa majukumu mengine, lazima wangetambulishwa kwa mgongo wa kumlinda mwenyekiti.

Sijui kwa maadui wapi hao kiasi cha kumfanya mwenyekiti wa chama cha siasa kulindwa na X-comandos?

Mbona wasimlinde siku ile anaporomoka kwenye ngazi?
 
Upinzani wa kweli uliuliwa mwaka 1965... Wale walikuwa wapinzani kiuhalisia wake na hakika wangelikuweko mpaka leo nchi hii isingekuwa inaendeshwa na FIKRA za mtu mmoja....
 
Wewe ndie chawa, maana hata mawazo ya kuandika huna!

Toa wazo lako badala ya vijimaneno vya kihuni huni, siasa zinataka weledi na hoja sio ufuasi wa kinyumbunyumbu bila tafakuri.
Msidhani mko peke yenu nchi hii no..no...no!

Wananchi wapo macho wanawapimia wanasiasa na vyama vyao.
Uchaguzi wa 2025 sio wa kuangalia nani katoa damu au katoa jasho...no...no..no!

Wananchi wanataka kukwamuliwa kwenye matatizo ya msingi kijamii.
Tuna mambo meengi hata Samia tunamuangalia anavyotupeleka peleka,nae anapimiwa tu...

Majibu ya wananchi yataendelea kuwashangaza sana wanasiasa wa nchi hii.
Kama walivyowashangaza 2020, mashangazo huenda yakaendelea kwa kuwashangaza hata CCM wenyewe pia.

Watu walikwishaamka.
Hii habari ya kutuimbia wimbo mmoja wa Mawazo, sijui Saanane, Axory gwanda na Lissu ni mvinyo wa zamani.

Wananchi wana machungu yao mengi kuliko hayo mnayolazimisha yawe political mileage kwenu.

Tunafiwa na ndugu zetu kila uchao majumbani kwa kukosa pesa za kumudu gharama za matibabu mahospitalini.
Hivyo ndio vilio zaidi vya jamii.

Tunaumia na mfumko wa bei za bidhaa na mafuta ya kula na ya kuendeshea mitambo na magari.hicho ni kilio kikubwa cha jamii yetu kwa sasa na sio wimbo wenu wa Lissu anaekula mvinyo ulaya huku akuzunguka dunia kutuombea vikwazo vya kiuchumi watanzania. Kisa tu yeye binafsi asikilizwe....no...no..no!

Tuna wajasiliamali wamelazimishwa kuurudia umasikini kwa lazima, wameondolewa kwenye mzunguko wa pesa kwa kuwalazimisha Tozo.
Umeme unakatwa ovyo, salon za nywele kike na kiume, welders,mashine za kusaga na kukoboa nafaka, garments ndogogondogo za vyerehani za umeme, woote hawa wanashinda bila kipato.

Serikali iko kimya huku ikituwekea mawaziri wale wenye kutia mashaka na bodi za kilaghai...

Hizo ndio kero za wananchi wanzotaka kuwasikia wanasiasa wetu na wabunge wakijitokeza kuikemea serikali hii ikome kuendeleza ufisadi huu.....

Sio wimbo na whisky yenu ya old school!

Uchaguzi utakapofika 2025,kuna mengi yatakuwa yamejitokeza nchi hii.
Na huenda wakatokea wanasiasa makini wa kuwatetea wananchi kwa maslahi mapana ya kuzalendo.
Sio lazima tuchaguwe CCM au chadema....no...no...no!

Tutawakemea saana....acheni uhuni...
Hii comment inatakiwa iwekwe kwenye frame.
 
Mbona hili la Lissu lipo wazi sana na yeye mwenyewe alishalieza hadharani ni nani aliyesimamia mpango mzima wa yeye kudhuriwa.
Yeye lisu uchunguzi alifanyia wapi na kujiridhisha kuwa ni fulani ndo aliyemdhuru!!?? ....au ni hisia?
 
Waafrika tumetesana Sana kuliko wakoloni, halafu mtu anakwambia wakoloni walikuwa wabaya
 
Yeye lisu uchunguzi alifanyia wapi na kujiridhisha kuwa ni fulani ndo aliyemdhuru!!?? ....au ni hisia?
KILA mtza anawajua wahusika ukikua utawajua.
Fatilia kesi ya Mbowe utaanza kuwajua nao
 
Wakati wa utawala wa Samia, kuingia tu, alichoona ni muhimu na cha haraka, ilikuwa ni kuwakamata na kuwasweka mahabusu mbalimbali viongozi na wanachama wa CHADEMA. Kisha wakaanza kuwatoa mahabusu taratibu. Mwishoni wakambakiza walitemtaka, Mh. Freeman Mbowe (Mungu amjalie afya njema, maisha marefu, moyo mkuu na ujasiri usiokoma), yeye wakambandika na kesi ya ugaidi. Wanaendelea naye mpaka siku watakapokuwa wameridhika.
Yote uliyoandika naunga mkono kasoro hiyo paragraph.

Kwangu mimi Mbowe namuona alikosea busara na timing ya namna ya kudai Katiba Mpya. Samia alianza kwa kumdungulia Akaunti zake, kumshtaki Sabaya aliye harass WAPINZANI wa wilaya ya Hai, kusababisha kesi ya Mdude kufutwa, na kesi ya Akwilina kupinduliwa. Bahati mbaya Mbowe akaona Samia ni mnyonge. Ndipo akaanza mikutano ya matusi kwa kuwapandisha majukwaani akina MdudeChadema na kuanza kupiga kelele za Katiba mpya.

Ile kiburi ya Mbowe ndiyo imemuweka ndani, wenye dola wakapekua mafaili wakapata cha kupeleka Mahakamani.
 
Kiburi ndio kimemuweka ndani na sio ugaidi?
 
Back
Top Bottom