voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,943
Ingekuwa porojo ungeijibu kwa werevu wako hapahapa ili tuamini wewe ni binadamu na sio nyumbu!
Hoja haijibiwi kwa mistari ya kahawa!

Crap. Real foolish contribution.CUF ina historia ndefu ya harakati za siasa za upinzani katika nchi hii kuliko chama chochote kingine.
Wewe unalinganisha mateso ya utumwa utadhani ulikuwepo.
Tuonyeshe picha moja tu ya wanachadema wakiwa wamefungwa na minyororo shingoni na miguuni wakipelekwa gerezani wakiwa nusu uchi?
Matukio mengi ya chadema ni orchestra kuliko uhalisia wake.
Mengi yana walakini, na ni yana chain ya kutengenezwa na chadema yenyewe.
Ndio maana mfano, Lissu alishambuliwa ndio.
Hilo halina ubishi.....lakini chadema wametumia gharama zao kumtunza dereva wa Lissu nje ya nchi ili tu asihojiwe au kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola nchini.
Je kwa nini hili linatokea?
Kama anayo siri mnayohofia uhai wake, mbona Lissu hampeleki kwenye taasisi muhimu huko ughaibuni akatowe maelezo?
Amezunguka Dunia nzima na Media zote kubwa, lakini huwa hagusii hili la kukimbia na shahidi muhimu kwenye tukio lake?
Time Will Tell....ndio maana sishangai Mbowe kuwa jela.
Hatujui hao Makomandoo wake ameanza kuwatumia tangia lini?
Huenda wakawa sehemu ya mengi ambayo hatuyajui huku mkichafua serikali.
Hili sio agenda ya watanzania milioni 60.Chadema;
wameteswa
wameonewa
wamebakiziwa makesi
wameumizwa
wamedhulumiwa 'maisha yao'
Lakini waliowafanyiwa hivi wako wapi leo? na walio hai wako ktk nmateso ya laana mbaya sana
Huyo kumjibu kunahitaji uwe na moyo wa chuma maana hajui nini anaadikaKwa Zanzibar cuf ni kweli!
KwaTanganyjka cdm ni kweli!
Aliyekuwa anapiganiwa ili awatetee wameru kwa tiketi ya chadema leo hii yuko ccm anakula kodi zetuKiongozi wa CHADEMA kule Arusha alikatwa shingo kwa chainsew.
Wahuni ni wazazi wako walio kutafuta ili uje hapa duniani wakiwa kwenye mkesha wa mbio za mwenge.CHADEMA kitabaki kuwa genge la mhuni Mbowe anayetumia fedha kujijenga kwa mamluki wachache kwa njia mbalimbali kama kushinda mitandaoni. CHADEMA ingekuwa na support ya watanzania kwa kiasi fulani tu kinachoeleweka ingechukua nchi.
Lakini uroho wa madaraka wa Mbowe hauwezi kuipa ushindi CHADEMA, aidha wa kura au mioyo ya watanzania.
Ukiangalia historia ya CHADEMA imejengwa na two pillars;
Sasa baada ya CHADEMA hasa Mbowe kushawishiwa na kununuliwa na fisadi Lowasa, wakazitupa hizo sera zinazogusa mass, kwa tamaa ya kuingia ikulu. Kumbuka walivyodanganywa na Lowasa kuwa eti suala la kura wamuachie yeye, ila ana uhakika wanaingia ikulu.
- Imani (trust) ya watanzania kwa baadhi ya watu walioiongoza CHADEMA. Ukiangalia historia Mbowe kagombea urais mara mbili akaishia kupata kura asilimia 0. au chini ya 2! CHADEMA kilipata umaarufu kupitia viongozi wengine kama Zitto lakini kwa kiasi kikubwa sana Dr Slaa. Huyu watu walimtrust wengi na hivyo kuisupport CHADEMA. Lakini cha ziada alichofanya Dr Slaa ni kujenga mifumo ya CHADEMA na kutojijenga yeye binafsi. Ndiyo mana kwenye mgogoro uliopelekea kuondoka CHADEMA aliondoka peke yake bila kutaka kukibomoa chama, lkn leo hii Mbowe huwezi mtoa sababu kajijenga binafsi na kapanga watu wanaomtumikia yeye na siyo chama. Vilevile sababu Dr Slaa aliamini katika kujenga mifumo ndiyo sababu mojawapo iliyofanya CHADEMA ipate angalau kura ilizozipata kwenye uchaguzi wa 2015 na siyo kwamba Lowasa ndiyo alichangia sana kama ambavyo wanadanganya umma.
- Chuki iliyopitiliza ya watanzania kwa viongozi na serikali ya CCM ya wakati ule. Ni kweli kweli kwamba viongozi na serikali walikuwa mbali na watanzania sababu walishindwa kutatua kero sugu za watanzania. Rushwa zavwaziwazi, ufisadi, kupeana vyeo kindugu, huduma mbovu za jamii kama afya na elimu, bei za vitu kuwa juu, ukosefu wa ajira, ujambazi uliokithiri, uporaji na utapeli wa wazi mfano watu kuporwa nyumba ilikuwa jambo la kawaida, ubovu wa miundombinu kama barabara na umeme, nk. Kwa kuwabserikali ilionekana dhahiri kushindwa kutatua kero na kukosa dhamira yabwazi, wananchi waliichukia na kiurahisi kugeukia upinzani kupata faraja. Na ukikumbuka vizuri hizi ndiyo zilikuwa sera za upinzani zilizoibeba sana kwa sababu ziligusa mahitaji ya watu(maanake walio wengi).
Baada ya hapo CHADEMA ilibadilika na kukomaa kuwa chama cha ‘kihuni’. Angalia tu hata hapa JF manazi wengi wa CHADEMA ni ‘wahuni’ wanaoamini kwenye kutukana matusi na kudhalilisha kama njia ya kuzima hoja zenye nguvu. Uhuni wa CHADEMA unadhihirika maeneo mengi;
- Kuminya demokrasia ndani ya chama. Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu kwenye chama cha ‘kidemokrasia’. Kiongozi anayetakiwa na Mbowe ndiye anayepitishwa kugombea iwe kwenye baraza la wanawake, vijana au kokote. Kumbuka ubabe wa bila majadiliano wa kulazimisha wabunge kutohudhuria bunge sababu ya COVID 19.
- Kufanya vitendo vya kihuni kisiri na kusingizia ni serikali ilimkuipaka matope. Hata mabomu ya Arusha inaaminika na wengi ni mpango wa wachache CHADEMA, vinginevyo mwambieni Mbowe atoe mkanda wa video uliorekodi tukio zima! Kumbuka wakati wa uchaguzi wa 2020 ofisi za CHADEMA zilikuwa zinatolewa kwanza documents muhimu alafu ndiyo zinachomwa! Au ule uhuninwa kuchapa karatasi feki za kura Dsm na kutangaza tumekamata kura za kughushi za CCM! Wanaita waandihi wa habari, wanawaonyesha kwa mbali hizo kura na kisha wanaenda kuzichoma kisiri. Walijua wakiziacha watu waziangalie kiundani itajulikana wamefoji sababu zilikuwa tofauti. Lakini kilele cha uhuni na kuumbuka ni kesi ya Mbowe ya ugaidi. Hii ndiyo imedhihirisha wazi CHADEMA ilikuwa inatumia mbinu gani katika maisha yake hasa baada ya kuishiwa sera kuanzia 2015 na Magufuli kuwa karibu na wananchi kwa kutatua kwa kasi na kuonyesha nia thabiti ya kuendelea kutatua kero za wananch.
Sasa umeandika madudu gani hapa jamvini wewe chawa?Wewe ndie chawa, maana hata mawazo ya kuandika huna!
Toa wazo lako badala ya vijimaneno vya kihuni huni, siasa zinataka weledi na hoja sio ufuasi wa kinyumbunyumbu bila tafakuri.
Msidhani mko peke yenu nchi hii no..no...no!
Wananchi wapo macho wanawapimia wanasiasa na vyama vyao.
Uchaguzi wa 2025 sio wa kuangalia nani katoa damu au katoa jasho...no...no..no!
Wananchi wanataka kukwamuliwa kwenye matatizo ya msingi kijamii.
Tuna mambo meengi hata Samia tunamuangalia anavyotupeleka peleka,nae anapimiwa tu...
Majibu ya wananchi yataendelea kuwashangaza sana wanasiasa wa nchi hii.
Kama walivyowashangaza 2020, mashangazo huenda yakaendelea kwa kuwashangaza hata CCM wenyewe pia.
Watu walikwishaamka.
Hii habari ya kutuimbia wimbo mmoja wa Mawazo, sijui Saanane, Axory gwanda na Lissu ni mvinyo wa zamani.
Wananchi wana machungu yao mengi kuliko hayo mnayolazimisha yawe political mileage kwenu.
Tunafiwa na ndugu zetu kila uchao majumbani kwa kukosa pesa za kumudu gharama za matibabu mahospitalini.
Hivyo ndio vilio zaidi vya jamii.
Tunaumia na mfumko wa bei za bidhaa na mafuta ya kula na ya kuendeshea mitambo na magari.hicho ni kilio kikubwa cha jamii yetu kwa sasa na sio wimbo wenu wa Lissu anaekula mvinyo ulaya huku akuzunguka dunia kutuombea vikwazo vya kiuchumi watanzania. Kisa tu yeye binafsi asikilizwe....no...no..no!
Tuna wajasiliamali wamelazimishwa kuurudia umasikini kwa lazima, wameondolewa kwenye mzunguko wa pesa kwa kuwalazimisha Tozo.
Umeme unakatwa ovyo, salon za nywele kike na kiume, welders,mashine za kusaga na kukoboa nafaka, garments ndogogondogo za vyerehani za umeme, woote hawa wanashinda bila kipato.
Serikali iko kimya huku ikituwekea mawaziri wale wenye kutia mashaka na bodi za kilaghai...
Hizo ndio kero za wananchi wanzotaka kuwasikia wanasiasa wetu na wabunge wakijitokeza kuikemea serikali hii ikome kuendeleza ufisadi huu.....
Sio wimbo na whisky yenu ya old school!
Uchaguzi utakapofika 2025,kuna mengi yatakuwa yamejitokeza nchi hii.
Na huenda wakatokea wanasiasa makini wa kuwatetea wananchi kwa maslahi mapana ya kuzalendo.
Sio lazima tuchaguwe CCM au chadema....no...no...no!
Tutawakemea saana....acheni uhuni...
Kwamba polisi yetu haina namna ya kufanya kupata maelezo ya huyu 'shahidi muhimu' ?!CUF ina historia ndefu ya harakati za siasa za upinzani katika nchi hii kuliko chama chochote kingine.
Wewe unalinganisha mateso ya utumwa utadhani ulikuwepo.
Tuonyeshe picha moja tu ya wanachadema wakiwa wamefungwa na minyororo shingoni na miguuni wakipelekwa gerezani wakiwa nusu uchi?
Matukio mengi ya chadema ni orchestra kuliko uhalisia wake.
Mengi yana walakini, na ni yana chain ya kutengenezwa na chadema yenyewe.
Ndio maana mfano, Lissu alishambuliwa ndio.
Hilo halina ubishi.....lakini chadema wametumia gharama zao kumtunza dereva wa Lissu nje ya nchi ili tu asihojiwe au kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola nchini.
Je kwa nini hili linatokea?
Kama anayo siri mnayohofia uhai wake, mbona Lissu hampeleki kwenye taasisi muhimu huko ughaibuni akatowe maelezo?
Amezunguka Dunia nzima na Media zote kubwa, lakini huwa hagusii hili la kukimbia na shahidi muhimu kwenye tukio lake?
Time Will Tell....ndio maana sishangai Mbowe kuwa jela.
Hatujui hao Makomandoo wake ameanza kuwatumia tangia lini?
Huenda wakawa sehemu ya mengi ambayo hatuyajui huku mkichafua serikali.
Nyumbu ni wazazi wakoIngekuwa porojo ungeijibu kwa werevu wako hapahapa ili tuamini wewe ni binadamu na sio nyumbu!
Hoja haijibiwi kwa mistari ya kahawa!
Upo sahihi sanaKwamba polisi yetu haina namna ya kufanya kupata maelezo ya huyu 'shahidi muhimu' ?!
Kwamba bila kupatikana kwa huyu 'shahidi muhimu' mifumo yetu ya usalama haiwezi kuweka wazi kilichozitokea cctv camera zilizong'olewa baada ya tukio?!
Kwamba suala la huyo 'shahidi muhimu' ndilo lilisababisha serikali iwazuie waliotaka kumuombea Lissu na kuwakamata baadhi yao?!
CHADEMA ina mapungufu yao, lakini uovu wa watawala wa nchi hii uko dhahiri mno. Inahitaji kujitoa utu ili kuitetea serikali ya ccm.
Hoja mfu kabisaa, huyo dereva aje akae ubalozini, halafu muwaite Polisi wamhoji mbele ya mabalozi.Crap. Real foolish contribution.
Inafahamika kuwa inner circle ya CCM ni hooligans syndicate. Lengo ilikuwa ni kumwua dereva ambaye alishuhudia tukio zima.
IGP Siro alisema wangemhoji Lisu wakati akiwa Kenya. Lisu na driver wake wakajiandaa kwa mahojiano, hakuna chombo chochote wala afisa yeyote wa Polisi aliyeenda kuwahoji.
Wakati wote CHADEMA imesema ipo tayari dereva wa Lisu kuhojiwa na chombo chochote cha uchunguzi, alimradi siyo ndani ya ardhi ya Tanzania, kwa sababu za kiusalama, Polisi hawajawahi kuonesha utayari. Na akija hapa, hawa wauaji ama watamwua au watambbikia kesi, maana CCM na serikali yake, ni wazuri sana katika hayo.
Huwezi elewa maana nyumbu huwa hawaoni vizuri mchana!Sasa umeandika madudu gani hapa jamvini wewe chawa?
Kuna chama cha juzi kinasema eti kimeungana na watesi wao kwa sababu kimeumizwa sana kuliko Chadema cha mitandaoni, nikawauliza viongozi wa Chadema walio uawa na walio mahabusu leo wako mahabusu za mitandaoni?Hakuna chama ambacho kimewahi kuumizwa, kuteswa na kutoa gharama kubwa kwaajili ya ustawi wa Tanzania kama CHADEMA.
Sikuwahi kusikia kama Mwingereza aliwahi kuua viongozi wa TANU wakati wa harakati za kupigania uhuru.
CHADEMA, wakati wa utawala wa Kikwete, walirushiwa bomu lililoua watu wengi kule Arusha. Polisi waliwahi kumwua mwanachama wa CHADEMA kule Morogoro. Kiongozi wa CHADEMA kule Arusha alikatwa shingo kwa chainsew. Alphonce Mawazo, Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa kule Geita, aliuawa kwa mapanga, na Serikali ya CCM ikawazuia watu wasitoe heshima za mwisho kwa Mawazo.
Pamoja na uovu wote huo, ambao hata TANU haikuwahi kufanyiwa na mkoloni mzungu, CHADEMA hawakukata tamaa, japo kwa majonzi makubwa, waliendelea na mapambano ya kutafuta haki zinazogandamizwa na watawala.
Wakati wa Utawala wa Magufuli, viongozi wa CHADEMA, magereza yakageuzwa kuwa nyumba zao, na mahakama kuwa ndiyo sebule zao. Wengine wakapotezwa mpaka leo. Kiongozi wa CHADEMA akamiminiwa risasi zaidi ya hata ngiri anavyoweza kushambuliwa, Ben Sanane akapotea, madiwani wakauawa.
Ni unyama ambao hata Mwarabu hakuwafanyia watumwa alionunua, ni ushenzi ambao hata mkoloni Mwingereza hakuwahi kuutenda, lakini CHADEMA wamefanyiwa. Ni nani katika hali ya kawaida, angeweza kuyamudu mateso na misiba hii? CHADEMA, kwa sababu ya upendo wao kwa Taifa, japo kwa taabu sana, walisonga mbele.
Wakati wa utawala wa Samia, kuingia tu, alichoona ni muhimu na cha haraka, ilikuwa ni kuwakamata na kuwasweka mahabusu mbalimbali viongozi na wanachama wa CHADEMA. Kisha wakaanza kuwatoa mahabusu taratibu. Mwishoni wakambakiza walitemtaka, Mh. Freeman Mbowe (Mungu amjalie afya njema, maisha marefu, moyo mkuu na ujasiri usiokoma), yeye wakambandika na kesi ya ugaidi. Wanaendelea naye mpaka siku watakapokuwa wameridhika.
Ni chama gani ambacho kimeipigania Tanzania ya demokrasia, haki, uhuru wa maoni na uhuru wa habari, uhuru wa Bunge, na haki ya maendeleo kwa Watanzania, kwa gharama kubwa zaidi ya CHADEMA? Hakika hakuna.
CHADEMA, wanachama na wapenzi wake wametoa damu, na maisha yao kwaajili ya Watanzania. Damu hii na maisha ya wenzetu hao, yasiende bure. Katiba mpya ni lazima, Tanzania ya haki, uhuru na demokrasia ni lazima.
Stop this nonsense.CUF ina historia ndefu ya harakati za siasa za upinzani katika nchi hii kuliko chama chochote kingine.
Wewe unalinganisha mateso ya utumwa utadhani ulikuwepo.
Tuonyeshe picha moja tu ya wanachadema wakiwa wamefungwa na minyororo shingoni na miguuni wakipelekwa gerezani wakiwa nusu uchi?
Matukio mengi ya chadema ni orchestra kuliko uhalisia wake.
Mengi yana walakini, na ni yana chain ya kutengenezwa na chadema yenyewe.
Ndio maana mfano, Lissu alishambuliwa ndio.
Hilo halina ubishi.....lakini chadema wametumia gharama zao kumtunza dereva wa Lissu nje ya nchi ili tu asihojiwe au kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola nchini.
Je kwa nini hili linatokea?
Kama anayo siri mnayohofia uhai wake, mbona Lissu hampeleki kwenye taasisi muhimu huko ughaibuni akatowe maelezo?
Amezunguka Dunia nzima na Media zote kubwa, lakini huwa hagusii hili la kukimbia na shahidi muhimu kwenye tukio lake?
Time Will Tell....ndio maana sishangai Mbowe kuwa jela.
Hatujui hao Makomandoo wake ameanza kuwatumia tangia lini?
Huenda wakawa sehemu ya mengi ambayo hatuyajui huku mkichafua serikali.
Mkolon mweusi hata roho yake ni nyeusi lkn wana mwisho wao #tunataka katiba mpya #Hakuna chama ambacho kimewahi kuumizwa, kuteswa na kutoa gharama kubwa kwaajili ya ustawi wa Tanzania kama CHADEMA.
Sikuwahi kusikia kama Mwingereza aliwahi kuua viongozi wa TANU wakati wa harakati za kupigania uhuru.
CHADEMA, wakati wa utawala wa Kikwete, walirushiwa bomu lililoua watu wengi kule Arusha. Polisi waliwahi kumwua mwanachama wa CHADEMA kule Morogoro. Kiongozi wa CHADEMA kule Arusha alikatwa shingo kwa chainsew. Alphonce Mawazo, Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa kule Geita, aliuawa kwa mapanga, na Serikali ya CCM ikawazuia watu wasitoe heshima za mwisho kwa Mawazo.
Pamoja na uovu wote huo, ambao hata TANU haikuwahi kufanyiwa na mkoloni mzungu, CHADEMA hawakukata tamaa, japo kwa majonzi makubwa, waliendelea na mapambano ya kutafuta haki zinazogandamizwa na watawala.
Wakati wa Utawala wa Magufuli, viongozi wa CHADEMA, magereza yakageuzwa kuwa nyumba zao, na mahakama kuwa ndiyo sebule zao. Wengine wakapotezwa mpaka leo. Kiongozi wa CHADEMA akamiminiwa risasi zaidi ya hata ngiri anavyoweza kushambuliwa, Ben Sanane akapotea, madiwani wakauawa.
Ni unyama ambao hata Mwarabu hakuwafanyia watumwa alionunua, ni ushenzi ambao hata mkoloni Mwingereza hakuwahi kuutenda, lakini CHADEMA wamefanyiwa. Ni nani katika hali ya kawaida, angeweza kuyamudu mateso na misiba hii? CHADEMA, kwa sababu ya upendo wao kwa Taifa, japo kwa taabu sana, walisonga mbele.
Wakati wa utawala wa Samia, kuingia tu, alichoona ni muhimu na cha haraka, ilikuwa ni kuwakamata na kuwasweka mahabusu mbalimbali viongozi na wanachama wa CHADEMA. Kisha wakaanza kuwatoa mahabusu taratibu. Mwishoni wakambakiza walitemtaka, Mh. Freeman Mbowe (Mungu amjalie afya njema, maisha marefu, moyo mkuu na ujasiri usiokoma), yeye wakambandika na kesi ya ugaidi. Wanaendelea naye mpaka siku watakapokuwa wameridhika.
Ni chama gani ambacho kimeipigania Tanzania ya demokrasia, haki, uhuru wa maoni na uhuru wa habari, uhuru wa Bunge, na haki ya maendeleo kwa Watanzania, kwa gharama kubwa zaidi ya CHADEMA? Hakika hakuna.
CHADEMA, wanachama na wapenzi wake wametoa damu, na maisha yao kwaajili ya Watanzania. Damu hii na maisha ya wenzetu hao, yasiende bure. Katiba mpya ni lazima, Tanzania ya haki, uhuru na demokrasia
Nakusoma naona hata hujui ulichoandika.CHADEMA kitabaki kuwa genge la mhuni Mbowe anayetumia fedha kujijenga kwa mamluki wachache kwa njia mbalimbali kama kushinda mitandaoni. CHADEMA ingekuwa na support ya watanzania kwa kiasi fulani tu kinachoeleweka ingechukua nchi.
Lakini uroho wa madaraka wa Mbowe hauwezi kuipa ushindi CHADEMA, aidha wa kura au mioyo ya watanzania.
Ukiangalia historia ya CHADEMA imejengwa na two pillars;
Sasa baada ya CHADEMA hasa Mbowe kushawishiwa na kununuliwa na fisadi Lowasa, wakazitupa hizo sera zinazogusa mass, kwa tamaa ya kuingia ikulu. Kumbuka walivyodanganywa na Lowasa kuwa eti suala la kura wamuachie yeye, ila ana uhakika wanaingia ikulu.
- Imani (trust) ya watanzania kwa baadhi ya watu walioiongoza CHADEMA. Ukiangalia historia Mbowe kagombea urais mara mbili akaishia kupata kura asilimia 0. au chini ya 2! CHADEMA kilipata umaarufu kupitia viongozi wengine kama Zitto lakini kwa kiasi kikubwa sana Dr Slaa. Huyu watu walimtrust wengi na hivyo kuisupport CHADEMA. Lakini cha ziada alichofanya Dr Slaa ni kujenga mifumo ya CHADEMA na kutojijenga yeye binafsi. Ndiyo mana kwenye mgogoro uliopelekea kuondoka CHADEMA aliondoka peke yake bila kutaka kukibomoa chama, lkn leo hii Mbowe huwezi mtoa sababu kajijenga binafsi na kapanga watu wanaomtumikia yeye na siyo chama. Vilevile sababu Dr Slaa aliamini katika kujenga mifumo ndiyo sababu mojawapo iliyofanya CHADEMA ipate angalau kura ilizozipata kwenye uchaguzi wa 2015 na siyo kwamba Lowasa ndiyo alichangia sana kama ambavyo wanadanganya umma.
- Chuki iliyopitiliza ya watanzania kwa viongozi na serikali ya CCM ya wakati ule. Ni kweli kweli kwamba viongozi na serikali walikuwa mbali na watanzania sababu walishindwa kutatua kero sugu za watanzania. Rushwa zavwaziwazi, ufisadi, kupeana vyeo kindugu, huduma mbovu za jamii kama afya na elimu, bei za vitu kuwa juu, ukosefu wa ajira, ujambazi uliokithiri, uporaji na utapeli wa wazi mfano watu kuporwa nyumba ilikuwa jambo la kawaida, ubovu wa miundombinu kama barabara na umeme, nk. Kwa kuwabserikali ilionekana dhahiri kushindwa kutatua kero na kukosa dhamira yabwazi, wananchi waliichukia na kiurahisi kugeukia upinzani kupata faraja. Na ukikumbuka vizuri hizi ndiyo zilikuwa sera za upinzani zilizoibeba sana kwa sababu ziligusa mahitaji ya watu(maanake walio wengi).
Baada ya hapo CHADEMA ilibadilika na kukomaa kuwa chama cha ‘kihuni’. Angalia tu hata hapa JF manazi wengi wa CHADEMA ni ‘wahuni’ wanaoamini kwenye kutukana matusi na kudhalilisha kama njia ya kuzima hoja zenye nguvu. Uhuni wa CHADEMA unadhihirika maeneo mengi;
- Kuminya demokrasia ndani ya chama. Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu kwenye chama cha ‘kidemokrasia’. Kiongozi anayetakiwa na Mbowe ndiye anayepitishwa kugombea iwe kwenye baraza la wanawake, vijana au kokote. Kumbuka ubabe wa bila majadiliano wa kulazimisha wabunge kutohudhuria bunge sababu ya COVID 19.
- Kufanya vitendo vya kihuni kisiri na kusingizia ni serikali ilimkuipaka matope. Hata mabomu ya Arusha inaaminika na wengi ni mpango wa wachache CHADEMA, vinginevyo mwambieni Mbowe atoe mkanda wa video uliorekodi tukio zima! Kumbuka wakati wa uchaguzi wa 2020 ofisi za CHADEMA zilikuwa zinatolewa kwanza documents muhimu alafu ndiyo zinachomwa! Au ule uhuninwa kuchapa karatasi feki za kura Dsm na kutangaza tumekamata kura za kughushi za CCM! Wanaita waandihi wa habari, wanawaonyesha kwa mbali hizo kura na kisha wanaenda kuzichoma kisiri. Walijua wakiziacha watu waziangalie kiundani itajulikana wamefoji sababu zilikuwa tofauti. Lakini kilele cha uhuni na kuumbuka ni kesi ya Mbowe ya ugaidi. Hii ndiyo imedhihirisha wazi CHADEMA ilikuwa inatumia mbinu gani katika maisha yake hasa baada ya kuishiwa sera kuanzia 2015 na Magufuli kuwa karibu na wananchi kwa kutatua kwa kasi na kuonyesha nia thabiti ya kuendelea kutatua kero za wananch.
AMEN,AMENHakuna chama ambacho kimewahi kuumizwa, kuteswa na kutoa gharama kubwa kwaajili ya ustawi wa Tanzania kama CHADEMA.
Sikuwahi kusikia kama Mwingereza aliwahi kuua viongozi wa TANU wakati wa harakati za kupigania uhuru.
CHADEMA, wakati wa utawala wa Kikwete, walirushiwa bomu lililoua watu wengi kule Arusha. Polisi waliwahi kumwua mwanachama wa CHADEMA kule Morogoro. Kiongozi wa CHADEMA kule Arusha alikatwa shingo kwa chainsew. Alphonce Mawazo, Mwenyekiti wa CHADEMA wa mkoa kule Geita, aliuawa kwa mapanga, na Serikali ya CCM ikawazuia watu wasitoe heshima za mwisho kwa Mawazo.
Pamoja na uovu wote huo, ambao hata TANU haikuwahi kufanyiwa na mkoloni mzungu, CHADEMA hawakukata tamaa, japo kwa majonzi makubwa, waliendelea na mapambano ya kutafuta haki zinazogandamizwa na watawala.
Wakati wa Utawala wa Magufuli, viongozi wa CHADEMA, magereza yakageuzwa kuwa nyumba zao, na mahakama kuwa ndiyo sebule zao. Wengine wakapotezwa mpaka leo. Kiongozi wa CHADEMA akamiminiwa risasi zaidi ya hata ngiri anavyoweza kushambuliwa, Ben Sanane akapotea, madiwani wakauawa.
Ni unyama ambao hata Mwarabu hakuwafanyia watumwa alionunua, ni ushenzi ambao hata mkoloni Mwingereza hakuwahi kuutenda, lakini CHADEMA wamefanyiwa. Ni nani katika hali ya kawaida, angeweza kuyamudu mateso na misiba hii? CHADEMA, kwa sababu ya upendo wao kwa Taifa, japo kwa taabu sana, walisonga mbele.
Wakati wa utawala wa Samia, kuingia tu, alichoona ni muhimu na cha haraka, ilikuwa ni kuwakamata na kuwasweka mahabusu mbalimbali viongozi na wanachama wa CHADEMA. Kisha wakaanza kuwatoa mahabusu taratibu. Mwishoni wakambakiza walitemtaka, Mh. Freeman Mbowe (Mungu amjalie afya njema, maisha marefu, moyo mkuu na ujasiri usiokoma), yeye wakambandika na kesi ya ugaidi. Wanaendelea naye mpaka siku watakapokuwa wameridhika.
Ni chama gani ambacho kimeipigania Tanzania ya demokrasia, haki, uhuru wa maoni na uhuru wa habari, uhuru wa Bunge, na haki ya maendeleo kwa Watanzania, kwa gharama kubwa zaidi ya CHADEMA? Hakika hakuna.
CHADEMA, wanachama na wapenzi wake wametoa damu, na maisha yao kwaajili ya Watanzania. Damu hii na maisha ya wenzetu hao, yasiende bure. Katiba mpya ni lazima, Tanzania ya haki, uhuru na demokrasia ni lazima.
Mtoto mkorofi hawezi kukosa manundu kila siku usoniHakuna chama ambacho kimewahi kuumizwa, kuteswa na kutoa gharama kubwa kwaajili ya ustawi wa Tanzania kama CHADEMA.

Kwamba imekua ni sifa na ni kawaida?CUF ndio wana historia ya kuumizwa kuliko Chadema!