CHADEMA na mikakati ya kujiimarisha kanda ya Pwani na Zanzibar

Kila chama cha siasa kina mizizi yake.cuf Pemba,cdm kaskazini,ccm pwani,nk nk.
Tanzania haina ukabila japo ina makabila.Tanzania haina dini japo wa-tz wana dini.Huwezi kuwa m-tz bila aidha kutoka znz ama Tanganyika(tz bara.)Mkianza kudhani kua kwa kujiimarisha pwani (msikotakiwa)ndo mtakuwa mmejijenga ki-taifa mnajidanganya wala hamko kimkakati.
Jiimarisheni kule mby,ir,singida,mtwara,ruvuma na kagera.Pwani yetu tuachieni kwani hatutaki vurugu.RAISI AJAE TWAMJUA WENYEWE WA PWANI NA JINA ANALO.
CHEERS!
 
Mamayo.....
mambo mazuri hayataki haraka mkuu. tulia, punguza munkari CDM huwa hawakurupuki. unajua wale watu wengi wao udini umewajaa pia most of them kidogo elim imekwenda kushoto so inatakiwa intelijensia ya hali ya juu kuweza kuwaingilia.
 
Nina imani kubwa na mikakati ya kisasa ya Viongozi wa CHADEMA hasa Dr.Slaa, Mnyika, Tundu Lissu, zitto, mbowe na wengine. CDM itaimarika nchi nzima hasa kutokana na uselessness ya Rais Kikwete na CCM yake + mpasuko wa CUF na NCCR
 
mambo mazuri hayataki haraka mkuu. tulia, punguza munkari CDM huwa hawakurupuki. unajua wale watu wengi wao udini umewajaa pia most of them kidogo elim imekwenda kushoto so inatakiwa intelijensia ya hali ya juu kuweza kuwaingilia.
kumbe elimu ya wa Zanzibari imekwenda kushoto...ndio maana Dr Slaa hakupata kura hata moja kule ZNZ 2010
Nyerere juu ya elimu yake alizidiwa maarifa na Karume mpaka akafika kuliuwa Taifa la Tanganyika wakati Zanzibar imebaki pale pale na SMZ inazidi kuwa na nguvu zaidi ya kuirudisha Zanzibar Paradise:juggle:
 
nadhani kuna haja ya viongoz wote wa chadema kuanzia ngazi ya kata hadi mkoa waanze kazi ya kukitangaza chama maeneo walipo kuliko kusubiri viongoz wa kitaifa waje ndo nao wajiunge kwenye msafara. Mi nakumbuka wakati viongozi walipokuja mbeya last year,Dr. slaa alipoenda Chunya aliwauliza wananchi mnamfahamu katibu/ mwenyekiti wenu wa wilaya wakajibu hawawafahamu. what a shame guys?
 
Mpaka sasa CDM wamejiimarisha vipi ktk haya maeneo?

Hakuna lolote, bado wanatapatapa katika baadhi ya mikoa hususani Arusha na Kilimanjaro; Harafu bado wanasema waliibiwa kura mwaka 2010... ni vigumu kwa Chama kisicho na sura ya kitaifa kushinda uchaguzi wa Rais, sana sana wataishia kupata nafasi za Wabunge na Madiwani katika baadhi ya maeneo ndiyo maana hata Wabunge wao ni wachache mjengoni.
 
Kuendelea kwa Chadema kujihusisha na siasa za Zanzibar nakuchukulia kama kupoteza muda na rasilimali katika visiwa vilivyogawanyika kisiasa kati ya ukoo wa Kondo na Ukoo wa Karume.

Naishauri chadema itangaze kutojihusisha na siasa za Zanzibar.
 
kumbe na wew pia ni great thinker?
 
Kuendelea kwa Chadema kujihusisha na siasa za Zanzibar nakuchukulia kama kupoteza muda na rasilimali katika visiwa vilivyogawanyika kisiasa kati ya ukoo wa Kondo na Ukoo wa Karume.

Naishauri chadema itangaze kutojihusisha na siasa za Zanzibar.

Kasome katiba ya JMT

Ibara ya 20(2) b,d
 
Nawapongeza sana Viongozi wote wa Vyama vya siasa kwa jitihada zao za kufumbua wananchi macho popote walipo. Ila sijawahi kusikia hata siku moja kiongozi wa juu wa Chadema kuwa na ziara M4C Zanzibar au ndo kuonyesha, Chadema ikitawala Nchi ya Tanzania, Zanzibar haina chake? Au ndo mwendelezo wa dharau kama aliyo nayo Dr. Slaa kwa kubagua watu wa kuongea nao ama kuwajibu na kujiona yeye yuko juu ya wenzake?.

NAWASILISHA
 
Premises zako na conclusion uliyofikia ni wenda wazimu mtupu.
 
Nawapongeza sana Viongozi wote wa Vyama vya siasa kwa jitihada zao za kufumbua wananchi macho popote walipo. Ila sijawahi kusikia hata siku moja kiongozi wa juu wa Chadema kuwa na ziara M4C Zanzibar au ndo kuonyesha, Chadema ikitawala Nchi ya Tanzania, Zanzibar haina chake? Au ndo mwendelezo wa dharau kama aliyo nayo Dr. Slaa kwa kubagua watu wa kuongea nao ama kuwajibu na kujiona yeye yuko juu ya wenzake?.

NAWASILISHA

Simba na Yanga, Uwanja wa Taifa J5 tar 3 Oct. Kiingilio kaki tu.

Badala hujibu mada husika unaamua kumshambulia mleta mada.

Nijibu nini sasa zaidi ya nilichoandika.Anauliza swali katk premises halafu anauliza lingine ktk conclusion yakiwa hayana logic.Kwa ujumla ni wendawazimu.Kwa vile na wewe logic yenu si ya dunya basi huwezi notice kitu.
 
Napenda Sana Siasa ...Ngoja Jamaa wake Wakujibu ...Utafurah

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nawapongeza sana Viongozi wote wa Vyama vya siasa kwa jitihada zao za kufumbua wananchi macho popote walipo. Ila sijawahi kusikia hata siku moja kiongozi wa juu wa Chadema kuwa na ziara M4C Zanzibar au ndo kuonyesha, Chadema ikitawala Nchi ya Tanzania, Zanzibar haina chake? Au ndo mwendelezo wa dharau kama aliyo nayo Dr. Slaa kwa kubagua watu wa kuongea nao ama kuwajibu na kujiona yeye yuko juu ya wenzake?.

NAWASILISHA

Kuna Ulazima ? UKEREWE hakuna CUF
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom