CHADEMA na mikakati ya kujiimarisha kanda ya Pwani na Zanzibar

Wale wanaotumia vichwa vyao kufikiri na kutoa uamuzi, hawatakosa kuhudhuria mikutano ya CDM.

Ni fuata upepo tu ndio watasusa.
 
Mkuu.
Sahihi ni kusema vyama vyote Tanzania vinashambuliana na vinamwaga sumu kwa wananchi. CCM ndio kinara, na hivyo ulivyovitaja vimo katika mchezo huu mbaya lakini CHADEMA pia kimo. Wanatupiana madongo kama machizi.

Hili la kukubalika kwa Chadema Zanzibar kwa maoni yangu kama Chadema watakuwa na agenda ambazo ninagusa maslahi ya wazanzibari basi kitakubalika tu..la muhimu ni kujitangaza huko. Niliona video ya Dr. Slaa akiwa kavaa kibaragashia kama Mrema alipohutubia mkutano wa kampeni kule Zanzibar. Alipata wasikilizaji wengi kwa wingi wa watu wa Zanzibar. That was a smart move. Kama Chadema ingeekeza nguvu sawa na wanavyofanya huku bara basi ingekubalika.
Chadema itafute agenda ambazo zina-pin point specifically issues za wazanzibar halafu wazinadi. Kitakubalika. In fact watakuwa wameua hiyo sumu kuwa ni chama cha upande mmoja tu wa nchi au kuwa ni chama cha kidini.

Watu wa Zanzibar wana shida kubwa na maisha magumu kama wakazi wa sehemu yoyote ya Tanzania. Ujumbe wa Chadema wa ugumu wa maisha unagusa watu wote. wanahitaji kufanya hii operasheni "sangara", mtaa kwa mtaa, rafiki kwa rafiki, udugu kwa udugu pia huko zanzibar.
watafanya la maana sana kama watatoa kauli zisizogongana juu ya Zanzibar, muungano na muundo wake na uendeshaji wa muungano. hapo Chadema itawafurahisha wazanzibari na watapata kuungwa mkono. Wako wazanzibari wengi tu ambao wanaona CUF imekuwa goi goi na ambao hawaipendi kabisa CCM. Chadema inaweza kuwa mbadala.
Mkuu.... hapa nakubaliana na wewe kwa asilimia kadhaa.... Hakika umeongea vizuri sana na unamaoni matamu sana kwa viongozi wa CDM juu ya Zanzibar. Hata mie naamini kama CDM watagusa uhalisia wa maisha ya mzanzibari,basi naamini historia itageuka na CUF hawataamini macho yao.....By they way nilipenda siku watakayokuwa Zanzibar waanze kwa kuwaambia wanzazibar kwamba upinzani umeshakufa ZNZ na hakuna wakuwasemea kero zao tena. Pili nitapenda wawaambie kuwa mafuta ya ZNZ ni ya wanzanzibari na si mali ya CCM ya bara.
 
Chloe O'brian,

Sawa dada....hapa nakubaliana na wewe, Ila tatizo ni hizi sumu kali za kipropaganda zinazotolewa na viongozi wa CUF dhidi ya CDM....maana wazanzibari wanaanza kuamini kuwa CDM inawachukia sana wakati si kweli
 
Last edited by a moderator:
Sasa hii ndiyo nini?....mbona unaleta utoto mkuu? Isitoshe wewe ulibezi sana kwenye udini kwa kusema Chadema ni wadini na wanasapotiwa na wakristo. So mie nilitegemea utaweka ushahidi hapa jamvini unaoonesha kuwa kweli hiki chama ni cha kidini. By the way CDM wanamtambua Kikwete kama Rais aliyewekwa hapo kwa nguvu za NEC na siyo kwa matakwa ya wananchi waliowengi kwa kutumia sanduku la kura.
Hamna katiba ya chama chochote inayoshededea udini,ni matamko ya wanachama na washabiki kama nyinyi ndio yanatufanya tuone mgawanyiko wa kidini katika vyama hivi,askofu kyaruzi na mufti simba ni mfano wa hao wapuuzi!....unasoma gazeti la kiongozi?....je hujawahi kusikia mtu anatolewa kundini kwa kusupport CCM?
We need to be open on this,thats why nimesema hivi vyama vyote ni vya kizandiki tuu.
Kama kweli CDM haitambui kuchaguliwa kwa rais,kwanini wanamtambua kiongozi asiye wa kidemokrasia wakati wao ni chama cha demokrasia?.....explain this to me! plz
 
Siwezi poteza mda wangu kwa kudiscuss mambo ya udini....ukiona mtu yeyote anaongelea udini ujue huyo mtu ni mdini na anamatatizo ndani ya ubongo wake....so siwezi kuleta hoja za udini hapa.....sababu mimi si mdini. Am very very sorry for that!......
 
Na ndio mana tukasema chadema sio wapinzani wa kweli kwani kama cuf inakubalika zaid znz na chadema kwa kiasi flan tanganyika walikuwa washirikiane ili waiondoe ccm lkn leo chadema wana kazi ya kuwadharau wazanzibari waliopiga kura ya maoni. Ni kweli kabisa hata bila ya sumu ya cuf na ccm wazanzibari tumeshawajua chadema na hatuna imani nao. Mafala
 
Chloe O'brian

CCM huwa wanaiba kura, ina maana mnataka kusema hakuna mbinu ya CDM kuweka Base Zenj? sikubaliani na mawazo yenu.
 
Last edited by a moderator:
si lazima cdm ikubalike nchi nyingine-huku tanganyika ikikubalika above 90% itatosha
 
Siwezi poteza mda wangu kwa kudiscuss mambo ya udini....ukiona mtu yeyote anaongelea udini ujue huyo mtu ni mdini na anamatatizo ndani ya ubongo wake....so siwezi kuleta hoja za udini hapa.....sababu mimi si mdini. Am very very sorry for that!......
Mimi ni mlutheri na wala sijazungumzia dini yoyote!Nilitaka nionyeshe jinsi gani mashabiki na wanachama wa hivi vyama viwili walivyobase kwenye udini....hata masshabiki wa CCM,unless you address those issues,none of these parties will go anywhere!....
Anyways,you don't really make sense on your answers....so keep on keeping on!
 
CCM huwa wanaiba kura, ina maana mnataka kusema hakuna mbinu ya CDM kuweka Base Zenj? sikubaliani na mawazo yenu.
Sawa mkuu....hukubaliani kivipi? Hebu toa mchanganuo wako basi ili iwe faida kwa wote....na kwa uongozi wa CDM pia
 
Mimi ni mlutheri na wala sijazungumzia dini yoyote!Nilitaka nionyeshe jinsi gani mashabiki na wanachama wa hivi vyama viwili walivyobase kwenye udini....hata masshabiki wa CCM,unless you address those issues,none of these parties will go anywhere!....
Anyways,you don't really make sense on your answers....so keep on keeping on!
Nafikiri hata wewe naona ushanyweshwa sumu za CCM na CUF.....zat'zy nikaleta hii mada ndani ya hili jamvi kuwaamsha watu kama nyinyi kwa faida ya nchi yetu.
 
Na ndio mana tukasema chadema sio wapinzani wa kweli kwani kama cuf inakubalika zaid znz na chadema kwa kiasi flan tanganyika walikuwa washirikiane ili waiondoe ccm lkn leo chadema wana kazi ya kuwadharau wazanzibari waliopiga kura ya maoni. Ni kweli kabisa hata bila ya sumu ya cuf na ccm wazanzibari tumeshawajua chadema na hatuna imani nao. Mafala
Hapo kwenye red hapo...... vipi ni hasira au ni nini? zt'zy tunaleta mada kama hizi kwa kuwaamusha watu kama nyinyi mlio kwenye usingizi mzito wa kulewa propaganda za CCM na Sumu za CUF......Alafu siye wengine hapa jamvini tunatumia majina ya kweli....vinginevyo ningekutukana pia
 
mambo mazuri hayataki haraka mkuu. tulia, punguza munkari CDM huwa hawakurupuki. unajua wale watu wengi wao udini umewajaa pia most of them kidogo elim imekwenda kushoto so inatakiwa intelijensia ya hali ya juu kuweza kuwaingilia.
 
Ni lazima chama kiweke mikakati ya kushika sehemu yenye wapigakura wengi!pwani na zanzibar ni muhimu lakini simuhimu sana kama kanda ya ziwa!
 
Thats gud newz let them cover all partz of tz,ma brother mpemba dont think (-)like that and be aware coz this are politics and not religion matter
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom