CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

Umesema vema Le Mutuz amajiumbua huenda kweli wamehack a.c take kwani a navy ovum in vanisha havifanani kabisa.

Acha kukurupuka. Hebu tulia, soma ulichokiandika, kisha urudie kuandika kwa ufasaha.
Unambeza Le Mutuz wakati wewe huwezi hata kuandika kiswahili fasaha.
 
very nonsensical comparison! Suala la Tulia ni suala la kisheria na kikatiba. Suala la Lowasa na Duni linawezaje kulinganishwa na hilo?

Hebu tueleze vifungu vya sheria na katiba.
Tumemsikia Dr. Tulia akimjibu Mh. Matiko kwa vifungu.
Hebu tupatie vya kwako tuone kakosea wapi.
Usikariri tu kama kasuku.
 
- Kwa mfano hasa lusibde ni nini hasa mita 200 za kibanda cha kura or what?? hahahahahahahaha

le Mutuz

Mutuz ccm wametosa familia yako. Ila wewe ungekuwa na vyeti halali may be wangekukumbuka.maana vyuo unavyosema umesoma havipatikani kwenye Google
 

Jiulize lissu kashinda kesi ngapi na tulia kashinda kesi ngapi wakiwa kwenye field yao, pili angalia matokeo yao kutoka o_level hadi masters ambako lissu ameishia uangalie nani ana mburuza mwenzake tatu muulize raisi mstaafu wa awamu ya nne kuhusu lissu utapata majibu
 
NAFASI ALIYOKUWA NAYO HAKUPASWA KUWA MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE, WALE ULIOWATAJA Walikuwa Wanasiasa Kwa Nafasi Zao,wakati Mwingine Uwage Unakaaga Kimya.
 

Kanauma haka ka kauli, teheee Teheee, le kubwaz jingaz yu know, kuna mdau kasema ana umri mkubwa kuliko mama, mwingine eti anashinda kwenye blog kutafuta warembo Wa kupiga nao picha wakati mkewe marekani marijali wanampigia.
 
Hao unaaowasema hawakuwa watumiahi wa uma
Kulala sebuleni kunakuasiri akili au ndio bado unaweweseka na mama kupigwa chini ubunge poda haitauzika tena
 

Msituone mazuzu, keshapangwa kuwa hivyo, na lazima atoke na apewe hiyo dhamana, hivi hivi asingepewa au kugombea, kuna mtu kwenye mabano yupo hapo ambaye anakarabati kila kitu yeye ni kuongozwa njia tu
 

Mbona bado tunaendelea kuwalipa escrow, kama ana wadhifa huo kwanini asiweke pingamizi, izuiwe kabisa, sheria zetu ni za kuwabana walalahoi na sio zinazoteketeza raslimali na.mali za watz, kama angekuwa na uchungu na nchi angesimamia hao twiga, meni ya tembo, mikataba mibovu, ningesema kweli jembe lakini mita 20o ndio unampa sifa, kuna siri hapo utakapoijua ndo akili itafunguka, walikuwa wapi siku zote wakati raslimali zinaliwa na wajanja na hakuna sheria inayochukuliwa, mita 200 ndo umeona kashinda, inachekesha sana, funguuuuka
 

Unakariri vifungu mpaka unasahau maraisi wa afrika
 

Hili swali Muulize Mbowe,kwanini alimuita Lowasa wakati wapo wenye sifa zaidi yake kuwa maraisi ndani ya chama na wanakijua nje ndani,
Hatimae mmeunda Chadema halisi na Chadema Academia.Nyie aisee kweli kiboko,yaani kabla hujaandika kitathmini kwanza nyie.
 
Le Mutuz, jamaa wanaisoma namba kisawasawa ati!
Sarakasi wanayochezewa na mzee wa Push Up. hadi wanaona nyota!
Mbaya Zaidi nyani haoni kundule...analicheka la mweziwe!!

Lowasa hakuwa aag, fikiri kabla ya kuandika, huyu dr. alikuwa serikalini tena mwenye dhamana kubwa tu na haikupaswa kuwa mwanachama wa chama.chochote, ni swali dogo aliloulizwa lakini jibu lake ni pana sana, bora alivyonyamaza kwani alishasoma alama za nyakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…