CHADEMA na harakati za leo

Naona majibu ya matusi na kejeli nyingi kwa mleta uzi badala ya ufafanuzi! Loooh Wabongo ni Vibongo kweli!
 
CDM kinaongozwa na wasomi waliobobea. Hiyo ni marketing!!! Kama ulikuwa hufahamu ndiyo wenzako wanachukua points 2015!!

wasomi wepi? Dj mwenyekiti au mzee wa din katib,mbona kwenye ccm watu kama hao wapo alafu hawana kaz kama nyinyi mnaosumbuka nao,cdm ni wachanga hawana uvumiliv na kwa hal hi cjui uchaguz wa ndan ya chama itakuaje
 
Mh nadhani umechemka hapa. CDM Kupitia kwa Aikael na Wilbroad hawakusema kuwa hawamtambui rais. Issue ilikuwa ni mchakato wa kumpata raisi (uchaguzi) ndo walikataa kukubaliana nao na kwa katiba ya sasa huwezi kwenda kupinga rais mteule mahakamani. Ili kuelezea hisia zao ndo maana walitoka bungeni ili ulimwengu ujue kuwa hawakubaliani na mchakato uliomuweka JK ikulu but hawakuwa na ugomvi nae kama rais au kama JK.
Kuhusu bungeni kama unakumbuka kwenye hii bill ya katiba mpya, baada ya Tundu kusoma hotuba yake, wakina Mnyika walijaribu kuomba mwongozo wa spika lakini ama Makinda akasema wanapoteza mda, thats y wakaamua kutoka maana hawakuwa na jinsi ya kuwasilisha hoja ya kuahirisha bunge ili muswada usijadiliwe.
Nahisi wewe ni gamba maana ile move ya kwenda kwa rais was a good step. Unajua maandamano huwa ni last solution kama njia zote za kukaa mezani zimeshindikana. Sasa kama walishindwa kwa spika, the last option was the Presidaa ambayo nayo waliitumia bila mafanikio.But at least they tried. Watu ambao sikujua wamefata nini ikulu ni CCM B (CUF) maana walikubaliana bungeni na muswada ukapita. Anyway nimejaribu kuelezea kwa kirefu maana naona umepotoka sana au umeamua kutukwaza wana JF. Usiwapoteze wenzio nadhani thread kama hizi wapelekee UHURU PUBLICATIONS

Kweli,kuna watu mnajua mambo safi sana umenifurahisha sana na majibu yako maanyoofu.you made my day,watu huwa wanakurupuka na kuaandika bila ya kufahamu undani wake.good answer.
 
Una hoja na madai marehemu sana siamini kama wewe ni thinket kweli.

Hakuna cha madai marehemu wala hayati.
Tatizo ni kwamba mtu haitajii hata darasa la kwanza kulitambua hili ana chohitaji ni akili timamu tu.

Zile ni fedha zimetoka kwa huyu zimepokelewa na huyu period.Huo mwingine ni Usanii zaidi.
 
mkuu unaonekana uwezo wako wa kuwaza upo very slow,yaani haya matukio yametokea zamani sana lakini umekuwa ukiwaza daily mpaka sasa umeamua kuyatoa,duh kazi kubwa hiyo
 
walete helcopiter kuokoa watu dar! Wanatakiwa waonyeshe kuwa wanawajali wananchi siyo kuwajali kwenye maandamano tu!
 
leo nataka tukumbushana wana JF. Hivi mnakumbukua chadema waliamua kuondoka bungeni na kumuacha mhe. Rais akilihutubia bunge? Wakadai hawamtambui!! Siku chache baadae wakarudi bungeni kuendelea kujadili hotuba ya rais. Majuzi walitoka nje ya bunge kususia muswada wa katiba. Siku chache baadae wakaenda ikulu kuongea na rais kuhusu mswada huohuo walioukimbia bungeni. Hivi, hawa wenzetu na tabia zao za kususa, tukiwapa nchi wataweza ? CDM jifunzeni kuwa wavumilivu

Utumbo mtupu!umeona CDM ndio wabunge wa kwanza kufanya hivyo ktk dunia hii,hachilia mbali mbali ya wabunge tofauti kufanya hvyo kwy mabunge tofauti ya dunia,kuna hata wajumbe wanaokuaga kwy vikao vya U.N uwa wanafanya kama walivyofanya C.D.M,hiyo ni njia ya kufikisha ujumbe kua mnapingana na jambo fulani,ulitaka waendelee kukaa ndani na kupiga makofi tu alafu waje kupinga magazetini?si watakua na akili kama zako sasa??uwe unatafakari jambo kabla ya kulileta Jf,mambo ya vijiweni peleka vijiweni sio humu,siasa sio kama ushabiki wa simba na Yanga!
 
akili yako mbovu unazungumza ushabiki wa kijinga hili swala la kutoka nje hata ndugai aliltolea ufafanuzi bungeni na hata msajili ameshalieleza ni haki kikatiba hata maandamano yapo kisheria sasa ukileta hoja kama vile ni jambo la ajabu aaaa naogo kutoa matusi ,waulize serikali yako kipi bora au kipaumbele kimaendeleo tuna kila kitu mungu ametupa bureee,hatuna maji,umeme reli ndege hata vifaa vidogo tu vya uokoaji mafuriko dar yakitokea songe itakuaje?
 
wasomi wepi? Dj mwenyekiti au mzee wa din katib,mbona kwenye ccm watu kama hao wapo alafu hawana kaz kama nyinyi mnaosumbuka nao,cdm ni wachanga hawana uvumiliv na kwa hal hi cjui uchaguz wa ndan ya chama itakuaje

Dj ana elimu gani vile?na katibu ni phd holder wa heshima au sio?kazi kweli kweli,yeah c.c.m wapo wengi na hawana uongoz kwy chama,ndo maana wengi wao wana amua kuuchapa usingz bungen na si kuchangia hoja,kwa vile wana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko wachangiaji wengine!vp unapoishi kuna maji safi na umeme kweli?
 
Anadhani siasa ni ushabiki kama wa mpira wa miguu,anashindwa kuelewa siasa ni maisha,amechapika vibaya na maisha alafu analeta utumbo wake kwy Jf,sisi hatushabikii vyama tunataka viongozi watakaothubutu kusimamia rasilimali zetu kwa dhati kabisa kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wote na vizazi vijavyo,haijalishi ni chama gani,iwe Tadea,udp,c.c.m,cuf au cdm,kwa kua c.c.m bado hawajatufikisha tunapotarajia,basi hawana budi kuwekwa kando na kuwaachia wengine!
 
Unapo toa mada inabidi uwe na uelewa mpana juu ya unacho kiongea siyo umagamba tu.wanao pinga wasichukue posho wanafikiri kwa hali ya chini sana,hivi wasipo chukua posho wataishije wakati wanafanya kazi tena nzuri kuliko magamba wanao lala bungeni, kuna mtu anafanya kazi bila kula? pia unapaswa kufahamu kutoka nje ya bunge ni mnoja wapo ya kupinga kama anavyo weza kupinga akiwa bungeni hivyo anastahili posho kwa kazi ya kuikosoa serikali.
 
wasomi wepi? Dj mwenyekiti au mzee wa din katib,mbona kwenye ccm watu kama hao wapo alafu hawana kaz kama nyinyi mnaosumbuka nao,cdm ni wachanga hawana uvumiliv na kwa hal hi cjui uchaguz wa ndan ya chama itakuaje

Hapo umenena, Chadema ni kama mtoto mchanga ambaye hajaanza kunyweshwa hata uji, bado anatumia maziwa. Na kabla ya mwaka 2015 kitakuwa kimebaki kama Nccr na mwenzake Cuf belivu o noti.
 
Hebu nitajie listi ya hao wasomi!!
Sugu???
Lema??

Shame on you..kazi kutanguliza ushabiki wa kijinga kwa maslahi ya matumbo yenu...sasa hao ulowataja ni viongozi wa chama? Kama kuwa mbunge ni kuwa kiongozi wa chama, mbona sisiem kuna wabunge vilaza wengi sana na madoctor wengi wenye PhD fake za kujibambika? Kama hauna point ni bora unyamaze kimya siyo lazima uchangie.

Wewe uliye msomi kuliko hao ulowataja uko wapi na umefanya nini cha maana kwa Taifa lako?

Leo hii hao ulowataja wakifa majina yao yataendelea kuwa gumzo na kumbukumbu kwenye vichwa vya watanzania wengi kwa upambanaji wao ktk kutetea haki za wananchi, je wewe utakumbukwa kwa lipi?

Kama kusoma ni ticket ya kuwa na hekima na busara ktk maamuzi, je ni wabunge ama ni viongozi wangapi wa serikali ya ccm wenye PhD ambao ni vilaza wasio na maamuzi yenye busara? Ambao kupitia wao nchi imeingia kwenye matatizo makubwa pamoja na umasikini wa utupwa? Shame on you..
 
leo nataka tukumbushana wana JF. Hivi mnakumbukua chadema waliamua kuondoka bungeni na kumuacha mhe. Rais akilihutubia bunge? Wakadai hawamtambui!! Siku chache baadae wakarudi bungeni kuendelea kujadili hotuba ya rais. Majuzi walitoka nje ya bunge kususia muswada wa katiba. Siku chache baadae wakaenda ikulu kuongea na rais kuhusu mswada huohuo walioukimbia bungeni. Hivi, hawa wenzetu na tabia zao za kususa, tukiwapa nchi wataweza ? CDM jifunzeni kuwa wavumilivu

Hapa ndugu yangu umewachokoza MAGWANDA.... ona wanavyochangia, hakuna hata mtu mmoja anayejibu kwa hoja zaidi ya utumbo mtupu, mmoja anakwambia kapimwe akili... hivi kitu gani hapa kinachoonekana kwamba ni uongo. CHADEMA ni watu wa kususia kila kitu harafu baadae wanajirudi wenyewe. Walikwenda Ikulu wakaishia kupewa chai na Juice na kucheka cheka na Mkulu. Unakubalije kupewa Juice na chai na mtu uliyesusia hotuba yake mara tu alipochaguliwa?
 
Dj ana elimu gani vile?na katibu ni phd holder wa heshima au sio?kazi kweli kweli,yeah c.c.m wapo wengi na hawana uongoz kwy chama,ndo maana wengi wao wana amua kuuchapa usingz bungen na si kuchangia hoja,kwa vile wana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko wachangiaji wengine!vp unapoishi kuna maji safi na umeme kweli?

Unauhakika kuwa PhD ya Slaa ni ya heshima na siyo ya darasani? Msipende kukurupuka jamani bila kufanya utafiti wa kutosha. Sawa hata kama ni ya kupewa vipi uwezo wake?

Kuhusu Mbowe hata kama hana elimu yoyote lakini bado mimi nampongeza sana kwa uwezo wake wa kiuongozi na kuwa na maamuzi yenye tija kwa chama na kwa taifa. Ni chini ya uongozi wake mpaka cdm imefika hapo ilipo. Je huyo mwenyekiti wako na phd za kupewa zisizohesabika amefikisha nchi na chama chake wapi? Muwe mnapata japo muda kidogo wa kutafakari kabla hamjakurupuka kudandia mada kishabiki kama mwakimbilia mdundiko.
 
Back
Top Bottom