Nyamburi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 306
- 37
Shame on you..kazi kutanguliza ushabiki wa kijinga kwa maslahi ya matumbo yenu...sasa hao ulowataja ni viongozi wa chama? Kama kuwa mbunge ni kuwa kiongozi wa chama, mbona sisiem kuna wabunge vilaza wengi sana na madoctor wengi wenye PhD fake za kujibambika? Kama hauna point ni bora unyamaze kimya siyo lazima uchangie.
Wewe uliye msomi kuliko hao ulowataja uko wapi na umefanya nini cha maana kwa Taifa lako?
Leo hii hao ulowataja wakifa majina yao yataendelea kuwa gumzo na kumbukumbu kwenye vichwa vya watanzania wengi kwa upambanaji wao ktk kutetea haki za wananchi, je wewe utakumbukwa kwa lipi?
Kama kusoma ni ticket ya kuwa na hekima na busara ktk maamuzi, je ni wabunge ama ni viongozi wangapi wa serikali ya ccm wenye PhD ambao ni vilaza wasio na maamuzi yenye busara? Ambao kupitia wao nchi imeingia kwenye matatizo makubwa pamoja na umasikini wa utupwa? Shame on you..
Mkuu ilo neno kabisa,kama ni muelewa ujumbe umemfikia,mj***a uwa ana elimishwa,asante kwa kumpa somo!