CHADEMA na CCM Mnaiharibu JamiiForums

Status
Not open for further replies.
And viceversa.....wana CCM kwa kweli wanadharauliwa sana humu jamvini,wanaonekana hawana ufahamu wa siasa na hawajui kinachoendelea au ni mafisadi au watoto wa mafisadi,usalama etc..
Hii si kweli

Mpaka leo humu jamvini sijawahi kuona mwananccm mwenye hoja na makini zaidi ya William Malecela, hata pale inapotokea anakejeliwa basi huwa akejeriwi kwa uccm wake bali kutokana na jina lake, lazima ukubali kwamba kuna wameshajenga chuki ya kuduma kwa mtu yeyote mwenye jina linalotokea kwenye utawala wa nchi basi uhukumiwa kwa jina lake na sio matendo yake. this is not fare.
Ila miccm mingi iliyopo humu JF ni puppets na vibaraka waliotumwa kuja kuvuruga mijadala akiwamo malaria sugu, Jeykey, Genious Brain, Ndauka, Faiza Fox, Mahesabu n.k
 
Wewe kwa huu mchango wako ndio unaoonyesha upungufu kidogo wa umakini, live kwenye mjadala tunaozungumzia kero hizi hizi
- Watu majina wengi hatujaweka hapa, je utajuaje ni wanachama wa chama gani? je huoni matusi, unaona tu majina ya watu,
- labda ungejipanga kidogo, ndo upost, manake kwa hapa maana nzima ya ulichotaka kusema imepotelea kwenye chuki ulioonyesha dhidi ya watu fulani
 
William yeye huwa anajipambanuwa kama mwana ccm na anajenga hoja na anatetea hoja zake, kimsingi upstairs yuko vizuri, na hao niliowaandika majina kwa mtu ambae sio mgeni humu anawajuwa wazi kwamba wao hawapo hapa jamvini kwa ajili ya majadiliano ili mwisho wa siku tupate conclusion kwamba kipi ni sahihi hao wote ni puppets, kwahiyo usikurupuke ukadhani mimi ni mbumbumbu, nakushauri wewe ndio ujipange na kama imekuuma kusema ukweli basi teremshia na juice ya embe.
 
mi siandiki tena-jana nimeandika pg kadhaa juu ya mada hii lakn Max akasema was about to get ban, na kila chumba nilichokimbilia alinifuata-nikaamua nitoke nje(sign out). unajua Mods/invisibles wanatakiwa kuwa kama SPEAKER WA BUNGE(wasiwe na muelekeo wala upendeleo)-jambo la kushangaza utakuta Mods/Invisibles mara kibao wanajisahau na kujikuta wanaweka bayana muelekeo/upendeleo wao-utakuta wanachangia/kushabikia na wakati mwingine kutoa taarifa/kutangaza mambo ya chama fulani -katika hali kama hiii its difficult to practice fairness kwa wote. juzi imeletwa topic kuwa Rais Kikwete amepata ajali mbaya Dodoma-watu wameshangilia na kutukana ajabu, lakini ilipoletwa taarifa ya kweli jana kuwa Wabunge wa Chadema wanajiandaa kwenda Arusha na kwamba inaonekana tendo hilo sio pekee kuwa sio uungwana llakini pia kitahatarisha amani ya nchi kwani watakuwa wanaweka shinikizo kwa MAHAKAMA-hii wajumbe waligomba na kumuomba Mods aifute-jambo la kushangaza Max alifanya kuwaomba radhi wajumbe, kuwabembeleza wavumilie na ni baaadae alikuja kuthibitisha ukweli kuwa Wabunge wa CDM walikuwa kwenye maandaliizi ya safari.

mambo yahusuyo kukashifu imani za watu hushabikiwa sana humu-lugha za kejeli kuhusu imani za watu, hushabikiwa sana humu.

nilikuwa muumini sana wa jukwaa hili, niliipenda sana CDM-lakini baada ya kubaini kuwa ILILIPENDEZA jukwaa sana ili mwana jukwaa lazima awe muumini wa dini fulani na awachukue watu wa dini fulan kwa ajili ya dini zao NDIPO SIKUKUBALI -kuisaliti IMANI yangu na KUWA MUWAZI KAMA WA IMANI HIZO WAILIVYO-kilichotokea ni kupigwa BAN na kutukanwa na WENYE JUKWAA LAO akina MASANILO na mambo kama hayo-NASHUKURU WATU WANAOWEZA KULIENDELEZA JUKWAA MNAANZA KUJITOKEZA-mwelekeo ulianza kupotea badala yake imekuwa kuwajadili watu, imani za watu na kupeana MIALIKO YA CHICKEN PARTY. WABIROYA heshima kwako kiongozi kwa kuonekana tena JUKWAANI.
 
Kuna ambao hawataki kabisa kubadilika, wao wanaona kuwa ni haki yao kutukana na kuwakejeli wale ambao wana mitazamo tofauti na wao...!
 
Yanayotokea ni mambo ya msimu, cdm itapita ccm itapita...mijadala itabaki milele.
 
X-PASTER hapa ni freedom of speech,uzuri waliopo hapa wengi wamenda shule,wanajua maana UFISADI,how our country is raped,
Waarabu na Wahindi wanavyowa corrupt elites wa nchi etc.

Uzuri Mwana CCM anakaribishwa kutoa maoni,hakuna sensorship.Kwa MICHUZI hakuna hili.
I am not a CHADEMA man,mimi ni Mtanzania,nina elimu kidogo,nimesafiri nchi nyingi,
naelewa maana ya maisha mazuri na mabaya,ndugu zangu wengi wako vijijini,ambapo wanalala na ngozi,hakuna duvet kama ulaya,
hawana toilet za kuvuta,nyumba za tembe,hawana access ya Dr or Dentist.

Hili si gazeti la UHURU au MZALENDO or Daily News ambayo yamewabrain wash watu wengi sana tangu UHURU toka kwa UK.

ALUTA CONTUNIA tutapanda mpaka mwisho.
 
William yeye huwa anajipambanuwa kama mwana ccm na anajenga hoja na anatetea hoja zake, kimsingi upstairs yuko vizuri, na hao niliowaandika majina kwa mtu ambae sio mgeni humu anawajuwa wazi kwamba wao hawapo hapa jamvini kwa ajili ya majadiliano ili mwisho wa siku tupate conclusion kwamba kipi ni sahihi hao wote ni puppets, kwahiyo usikurupuke ukadhani mimi ni mbumbumbu, nakushauri wewe ndio ujipange na kama imekuuma kusema ukweli basi teremshia na juice ya embe.

Kumbuka William anatetea status quo.Siku ya status quo kuisha,dada zake 3 watakosa kazi nzuri toka serikalini.
Ndio maana watu kama akina Malecela,Msekwa hawathubutu kusema kitu kutoka kwa serikali hii ya kifisadi,hy the way toka MKAPA.

Dada za William:
_Mmoja yuko UN Tz hapo New York
- Mmoja ni wa Mahakama hapa Bongo
- Mmoja ni top wa NIMRI hapa Bongo.

Calculate hela ngapi za taxpayers wanachukua kwa mwaka.

Hivyo William hata sema chochote kwa serikali ya Magamba
 
X-PASTER hapa ni freedom of speech,uzuri waliopo hapa wengi wamenda shule,wanajua maana UFISADI,how our country is raped,
Waarabu na Wahindi wanavyowa corrupt elites wa nchi etc.

Uzuri Mwana CCM anakaribishwa kutoa maoni,hakuna sensorship.Kwa MICHUZI hakuna hili.
I am not a CHADEMA man,mimi ni Mtanzania,nina elimu kidogo,nimesafiri nchi nyingi,
naelewa maana ya maisha mazuri na mabaya,ndugu zangu wengi wako vijijini,ambapo wanalala na ngozi,hakuna duvet kama ulaya,
hawana toilet za kuvuta,nyumba za tembe,hawana access ya Dr or Dentist.

Hili si gazeti la UHURU au MZALENDO or Daily News ambayo yamewabrain wash watu wengi sana tangu UHURU toka kwa UK.

ALUTA CONTUNIA tutapanda mpaka mwisho.
Hiyo freedom of speech hisio na mipaka ndio freedom ya wapi? Hata uko Marekani ya kaskazini pia kuna mipaka yake...!

Hata mimi nimetembea nchi mbali mbali, lakini sijawahi kuona nchi ambayo kuna freedom to speak freely 100% without censorship.

Basi Jf itakuwa forum ya wapi isiyojali mipaka ya uzungumzaji... Umepitia sheria za JF? Kama bado basi zipitie kwanza kisha jiulize, kama umezikubali basi utazifuata na kuchunga maadili ya uzungumzaji.

Gonga hapo chini ujisomee:
DISCLAIMER AND RULES OF JAMIIFORUMS
 
Kumbuka William anatetea status quo.Siku ya status quo kuisha,dada zake 3 watakosa kazi nzuri toka serikalini.
Ndio maana watu kama akina Malecela,Msekwa hawathubutu kusema kitu kutoka kwa serikali hii ya kifisadi,hy the way toka MKAPA.

Dada za William:
_Mmoja yuko UN Tz hapo New York
- Mmoja ni wa Mahakama hapa Bongo
- Mmoja ni top wa NIMRI hapa Bongo.

Calculate hela ngapi za taxpayers wanachukua kwa mwaka.

Hivyo William hata sema chochote kwa serikali ya Magamba

I mis some point here, unamaanisha wafanyakazi wa UN wanalipwa kwa kodi za Watanzania? this is too low to me.
Usijilazimishe kumjuwa mtu ambaye haumjuhi, Nijuavyo mimi William baada ya kuacha kazi za ubaharia yupo @ New york kwenye kampuni binafsi, tusijenge Taifa la kizushi. bY the way kama dada zake William wapo kwenye nafasi hizo na sifa hizo wanazo tatizo liko wapi? si ni sawa na Janualy Makamba angeishia darasa la saba na kupewa usaidizi wa Rais tungelalamika, lakini ukiangalia kama mtu anayo cv hiyo mimi sioni shida yoyote.
 
kuna vitu vingine vinakuwa kama culture hivi hasa hii tabia ya kujadili watu badala ya hoja and u cn prov here,stl people duin the same thing!truly ushabiki haufai na hauwasaidii watanzania so tujenge kweli hoja tuliendeleze hili taifa kama wafanyavyo akina shivji badala ya kuwa makuwadi wa wanasiasa na mafisadi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom