ni kwamba, CHADEMA si taasisi ya familia, huo ni uongo masatu, Chadema imeanzishwa chini ya sheria halali ya vyama vya siasa, inamuundo kamili wa taasisi, inakurugenzi na jumuia zake, Mbowe kua katika familia ya siasa haimnyimi haki ya kua sehemu ya siasa.Ninyi mnataka Mbowe & family wafanye nini? Chama waanzishe wao kwa pesa zao, wamehangaika nacho miongo kadhaa mpaka sasa kimekuwa na umaarufu na kupata ruzuku kedekede and now its now payback time waacheni watafune ruzuku kama kinawauma kaanzisheni vyama vyenu.
Kila siku Mbowe tu its too much now vyama vipo vingi tu waende TPP maendeleo, Chausta, NRA, nk. Msione vyaelea vimeundwa!
Bado wamebaki kama watatu hivi, tunasoma kanuni zetu ili tuwatendee haki kwa mujibu wa sheria na taratibu Masatu.Sawa mkuu akina sisimizi na viroboto washaondoka wamewaachia chama chenu manyangumi.
Nimekuwa nikisema mara kwa mara kwamba vijana muanzishe chama chenu ndo mtakabana wenyewe lakini haya mambo ya kujiunga na vyama vya wengine alafu mnataka madaraka kwa haraka kuliko walioanzisha vyama vyao hamtafika.
Masatu, na mimi umenitumbukiza Chadema?. Kuna dhana potofu iliyojengeka kuwa kama sio CCM, basi ni mpinzani. Kwa hali hali Papana Nyangumi wote mbona ndio wanaendesha chama chenu.Sawa mkuu akina sisimizi na viroboto washaondoka wamewaachia chama chenmanyangumi.
Labda uongelee mambo mengine lakini usimhusishe marehemu....mwache apumzike. Hata kama wangwe alikuwa right so what? he's dead already and we need to get things moving.
Nimekuwa nikisema mara kwa mara kwamba vijana muanzishe chama chenu ndo mtakabana wenyewe lakini haya mambo ya kujiunga na vyama vya wengine alafu mnataka madaraka kwa haraka kuliko walioanzisha vyama vyao hamtafika.
Masatu, na mimi umenitumbukiza Chadema?. Kuna dhana potofu iliyojengeka kuwa kama sio CCM, basi ni mpinzani. Kwa hali hali Papana Nyangumi wote mbona ndio wanaendesha chama chenu.
Kwa watu safi wa kiukweli ukweli, papa na nyangumi wote ni samaki na akioza mmoja, wote wameoza ndivyo tunavyokiona chama chenu huku tukikubali ukweli kuwa upinzani upo upo tuu, ni mchanga na haujakomaa, but one thing for sure, "ipo siku"
Labda umuonyeshe kadi yako ya CCM... lolMasatu, na mimi umenitumbukiza Chadema?.
Semenya, kwa chadema ya mbowe hawataweza kamwe kuchukua nchi, na wanajua hilo!!
Kwa sasa chadema ni chachu ya mageuzi lakini bado hawajawa mbadala
baada ya hapo tutawapa nchi!!
- they need wider coverage
- they need more money (actually mara 500 ya walizonazo kwa sasa)
- wanahitaji wanaCCM wa nguvu na wapiganaji wa kweli wajiunge humo
- wanahitaji kushinda local government elections kwanza
- wanahitaji kuondoa upupu mule ndani wa watu kama kafulia, jujuman nk. (huwezi ukaacha mke halafu unamtusi mitaani - hayo ni mambo ya ndani)
- wanahitaji mbowe replacement
- wanahitaji kusuka upya safu ya juu saha kuwa na jumuiya za nguvu
- wanahitaji dare devils ndani ya chama kukosoana wenyewe na si kuchukia wanaokosoa ndani ya chama
- wanahitaji more financial management and accountability
- wanahitaji kuruhusu demokrasia ya kweli ndani ya chama
kuna mambo mawili yakuangalia juu ya swala hili, kuna kanuni ama sheria ndani ya Chama cha siasa, inaweza kutoa muongozo wa nani awe mtia saini, pia mtoa ruzuku hiyo , serikali inaweza kuwa na sheria itakayotoa mwongozo maridhawa wa nani awe mtia saini ......ila naamini Muhazini wa chama, katibu na mwenyekiti wanaweza kua ni watia sign, sasa kama mtoa pesa huna kanuni ya kuminitor pesa zako, lazima kutakua na vurugu.
...LaKINI sishangai madai yake kwamba wanachama wanaomuunga mkono Zitto ni masikini ndani ya Chadema. Kauli za karibuni na matendo ya Zitto YAnaonyesha kuwa anatafuta fedha kwa ILI KUKIDHI MATAKWA YA KINA JUJU. LAKINI kubwa zaidi ni kwamba Zitto amejua kuwa waliomuunga mkono katika harakati zake za kuchukua uopngozi wa Chadema walikuwa vibaka. Tunawasubiri Mtemelewa na Chitanda kurejea CCM.
kama hali ndiyo hii basi hakuna aliyebora katika siasa za TANZANIA....
vijana mtaendelea kuwa Taifa la kesho mpaka mkome...
huyo MBOWE mi sioni hata anachokifanya kuelekea mageuzi ya kweli...ni mnafiki mtupu mana haiwezekani watu kibao wampinge yeye.
1.KABOROU
2 .AKWILOMBE.
3.CHACHA WANGWE
4.ZITTO KABWE...
haiwezekani kabisa watu hawa wote wampinge tena kwa nyakati tofauti halafu wawe waongo...
ADVANTAGE NI KWAMBA CHADEMA NI MALI YA MKWE WAKE
But he is nothing hafai hata kuwa kiranja wa usafi shuleni
mmh what that man says cannot be conceived by ordinary mind! Kwa nini asubiri mpaka avuliwe madaraka ndio aseme? Watanzania tunataka hoja zenye premises siyo hoja za njaa kama hizi. Hivi kazema 35 milion au billion? Mbona pesa zenyewe za nyanya?
leo nakua serious kwenye hii chadema!! HIvi kweli kabisa mnategemea watanzania tumsapoti Freeman Mbowe???
Najua this is not pleasant to most but for tanzania to improve we need to be honest to each other
- is he a character credible even to be a minister?
- is he educated enough to have manners of addressing "his" people?
- Is he clean enough to claim qualities right before our very own eyes?
- How many shillings will he claim back kama madeni when he gets presidency?
- how much damage has he already made to his chadema especially to women wa kuteuliwa?
- do you even have ideas ya watu walio nyuma yake wanaweza kupewa wizara?
- is he appreciative of young and potential talents?
- unajua yuko tayari kuwapa mashemeji ubunge wa kuteuliwa?
- i would not be surprised mkabaki kufukuzana mpaka mjue tatizo liko wapi
Hiyo nyeusi ndo tatizo letu kuu.
orodha ya wanaompinga Mbiwe inaweza kuwa ndefu sana, lakini nao wanaweza kuwa na matatizo kadhaa, Kubwa, inawezekana wasiwe na hoja, au pili, wanaweza kuwa na hoja lakini wakashindwa kuipresent na kuisimamia. Sidhani kama nao wanaweza kuonekana tofautikama hali ndiyo hii basi hakuna aliyebora katika siasa za TANZANIA....
vijana mtaendelea kuwa Taifa la kesho mpaka mkome...
huyo MBOWE mi sioni hata anachokifanya kuelekea mageuzi ya kweli...ni mnafiki mtupu mana haiwezekani watu kibao wampinge yeye.
1.KABOROU
2 .AKWILOMBE.
3.CHACHA WANGWE
4.ZITTO KABWE...
haiwezekani kabisa watu hawa wote wampinge tena kwa nyakati tofauti halafu wawe waongo...
ADVANTAGE NI KWAMBA CHADEMA NI MALI YA MKWE WAKE
But he is nothing hafai hata kuwa kiranja wa usafi shuleni
Kwa Chadema, hizi ni hatua muhimu, lazima pumba zitoke ili ubaki mchele safi, vinginevyo mtajikuta mnakwenda kwenye uchaguzi mkidhani mna watu, kumbe ni makapi matupu.
Semenya, kwa chadema ya mbowe hawataweza kamwe kuchukua nchi, na wanajua hilo!!
Kwa sasa chadema ni chachu ya mageuzi lakini bado hawajawa mbadala
baada ya hapo tutawapa nchi!!
- they need wider coverage
- they need more money (actually mara 500 ya walizonazo kwa sasa)
- wanahitaji wanaCCM wa nguvu na wapiganaji wa kweli wajiunge humo
- wanahitaji kushinda local government elections kwanza
- wanahitaji kuondoa upupu mule ndani wa watu kama kafulia, jujuman nk. (huwezi ukaacha mke halafu unamtusi mitaani - hayo ni mambo ya ndani)
- wanahitaji mbowe replacement
- wanahitaji kusuka upya safu ya juu saha kuwa na jumuiya za nguvu
- wanahitaji dare devils ndani ya chama kukosoana wenyewe na si kuchukia wanaokosoa ndani ya chama
- wanahitaji more financial management and accountability
- wanahitaji kuruhusu demokrasia ya kweli ndani ya chama
hayo ndo maneno, ukiwaambia CHADEMA wanakuja juu.Ila hawana budi kufuata hayo uliyoyaeleza mkuu.
orodha ya wanaompinga Mbiwe inaweza kuwa ndefu sana, lakini nao wanaweza kuwa na matatizo kadhaa, Kubwa, inawezekana wasiwe na hoja, au pili, wanaweza kuwa na hoja lakini wakashindwa kuipresent na kuisimamia. Sidhani kama nao wanaweza kuonekana tofauti
KUTOKANA NA TUHUMA ZINAZOMKABILI ZA KUFUJA RUZUKU NA KUWA MUWEKA SAINI WA HUNDI ZA CHADEMA.
http://www.habarileo.co.tz/kitaifa/?n=4577