CHADEMA muheza kumekucha ripoti hii hapa

CHADEMA muheza kumekucha ripoti hii hapa

Hatokuwepo na atutaki aje...maana viongozi na wahudhuriaji wote kwenye mkutano huu ni wakristo watupu.

Kifupi, we ni mchochezi. Athari za uchochezi huo haziewezi kukuacha salama wewe na familia yako. Take care.
 
I hope wafuasi na mapandikizi ya zito hawatakuwepo.
 
Pigeni kazi makamanda, wananchi wanawategemea msiwaangushe katika kuleta mabadiliko ya kweli, msipate shida kidudu mtu tushamtoa, alikuwa anakwamisha sana chama kisiendelee, viva Chadema.
 
Chadema ni hapo nipowapenda huku maccm yakiendeleza propaganda, Chadema wanatwanga kotekote
1. Kamanda Sugu - Makambako
2. Kamanda mawazo - Kanda ya Ziwa
3. Kamanda Msigwa - Iringa
4. Mwenyekiti wa BAVICHA - anapeleka ujumbe wa ukombozi kwa wanafunzi wa sekondari na kufungua matawi.
5. Muheza nako...
6. Arusha mpaka sasa maccm hayateua mtu atakayesimama sembetini,
7. Bunda hivyohivyo ..nasikia wanabambikia watu kesi
Kweli nimeamini CHADEMA ni moto wa kuotea mbali...
 
good. tuko pamoja mkuu. Huku mwanza tamko mtaliona ktk ITV tumefunga break wasaliti kujipitisha kwa jina la chadema

Umetoa wewe tamko au wanachadema? Maana mimi niko mwanza kwanza ndio nasikia kwako na je utawazuia wananchi kuhudhulia au mmetoa vitisho?
 
safi sana nchi imeshabebwa na chadema. ccm na zitto muwe wapinzani
 
Safi sana makamanda, wamebaki wanajiuliza t' "jamaa watakufa lini?'' Na watu wanaibuka tena kama ma Cyborg, piga kazi wazee tuko nyuma yenu
 
mkuu unazungumziaa chadema gani family au academy?

Nadhani itakuwa family ile ya kwenu si ndio academy> Manaake mlipewa jezi nje ya mahakama kwa vyovyote itakuwa academy tuu!
 
Back
Top Bottom