Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
kamuulize msajili wa vyama vya siasa
Umempa jibu zuri. Linaweza tumika kama desa hata kwa maswali mengine ya jinsi hii yskitokea.
kamuulize msajili wa vyama vya siasa
hiv sasa hivi kuna chadema ngapi?
Wao wapo mahakamani kuomba uanacha wa chadema kupitia mahakama, huku makamanda wanachanja mbuga.........peoplezzzzzzzzzzz
Mbeya umenipeleka wewe? jibu swali wewe
we utakuwa CHADEMA CHUMBANI
Wewe ulitaka wapi? Mbona ccm hamuwezi kuhamasishana nyinyi mbaka mpewe pesa kwanza.!Kwa hiyo mnahamasishana kwenye jf? Akili hizi bana
Hiv sasa hivi kuna CHADEMA ngapi?
VIROBA unakunywa wewe, lema, yericko, kilewo na kibatala
chama cha demokrasia na maendeleo(chadema)wilaya ya muheza tunapenda kutoa taarifa kwa makamanda wote kuwa leo tuna mkutano mkubwa wa kujenga chama utakao fanyika kata ya tingeni kuanzia saa 8 mchana,ambapo kuanzia asubuhi leo viongozi wa chadema ni msingi wamesimamia zoezi vyema,watakao unguruma leo ni katibu wa mkoa ndugu jonathan baweje,katibu wilaya lukindo mohamed,m/k wilaya mathius karuasha,m/k wa m4c (w) riziki magembe,kamanda wa wanawake(w) grace mbago na salehe mbwego mjumbe kamati ya utendaji,vivaaaa chadema muheza
Kwani alikuwa anaumwa? na nini hasa kilikuwa kikimsumbua?
Hutaki sasa habar ndo iyo!Kwa hiyo mnahamasishana kwenye jf? Akili hizi bana
Usitukane bure,Kwai wa muheza wako wangapi JF?We mgonjwa umepona?
Kwani anakwambia wewe bwegheeKwahiyo unamwambia nani?