CHADEMA muheza kumekucha ripoti hii hapa

CHADEMA muheza kumekucha ripoti hii hapa

Acha uongo CDM ni ya Mbowe na Slaa, wengine wasindikizaji tu. Kwa sababu mmevurugwa hamtokubali na mtaanza matusi yenu kama kawaida yenu. I like CDM but I hate Mbowe na Slaa.

Situkani mtu, sitatukana mtu. Nipo jf jukwaa la siasa kufanya siasa; kwa maana ya kutoa mawazo yangu yanayoweza kuwa mchango mzuri ktk ujenzi wa taifa langu.

Siasa kwangu ni 'locomotive' ya maendeleo. Nilijizuia sana kuingia uwanja huu kwa sababu ya tabia ya washabiki wa siasa bado nikaona hilo halisaidii kujenga taifa. Niligundua wanasiasa hawatukani, na wakitukana wanawajibishwa. Ila mashabiki wa siasa wanaweza kutukana, wanaweza, wakati mwingine kwa tabia yao ya ushabiki wakashinikiza jamii kuchagua viongozi wezi na mafisadi. Sasa niporasimi uwanja wa siasa.
Nikitukanwa sitatukana, japo ktk hatua za kuelimisha mtu aweza fikiri nimetukana (kutokana na mtizamo wake, maana wakati mwingine neno ni tusi kutokana mtazamo wa mtu).

Please usiniite mwongo na usinijumuishe ktk kundi la waongo.
 
Hili ni 'gap' ambalo cdm mnatakiwa msilischie! Kwetu tunausemi unaosema kuwa 'unapotoa funza hakikisha anatoka wote!' ukimbakiza hata kidogo ujuwe itakula kwako! Mnapojadili na kuchukua maamuzi magumu juu ya wassliti wa chama msibakize kenge yeyote! pangueni hadi uongozi wa juu!" babu na mr. makengeza wote pigeni chini!" Wote wsmeshaonyesha kutokuwa waaminifu kwa wananchi! PANGENI UPYA CHAMA CHENU!
 
Live mkutano wa chadema muheza muda huu,makamanda wanapiga jukwaani wananchi wanaimba kwa pamoja chadema,chadema....!..people's powerrr...!

...safi kamanda yule mbwa koko "used" akisikia hii paratataaa!!!!
 
good. tuko pamoja mkuu. Huku mwanza tamko mtaliona ktk ITV tumefunga break wasaliti kujipitisha kwa jina la chadema
 
....

live update kutoka kwa makamanda"


Nyimbo ya chama inapiga,kwa mbali naona viongozi wanawasili ktk eneo la mkutano,katibu wa wilaya,katibu wa team ya chadema ni msingi,m/k wa cdm ni msingi ndio wanapamba jukwaani,wananchi wana shangilia makamandaaa!..makamandaaa!...p eople's power!....,nitaendelea kuwaletea yote yanayojiri hapa kwa ukaribu sana by riziki magembe
 
Back
Top Bottom