CHADEMA muheza kumekucha ripoti hii hapa

CHADEMA muheza kumekucha ripoti hii hapa

hili basi madereva wake wanakiburi sana huendesha basi kwa pupa na jeuri kubwa sana.
 
Wajinga wachache hawawezi kuyumbisha, Chadema ni tegemea la Mtanzania maskini wakati ccm ni tegemea la Majangiri na Mafisadi na wahujumu uchumi.!

Toka mvuane nguo, napata shida kuona tofauti kati yenu na CCM. Wote mnapenda pesa na madaraka.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo siku hizi tangu muanze kutimuana hamtaki kabisa kutuwekea picha za mikutano ya chama sijui kwanini?
 
Habari mzuri sana! Fanyeni kazi makamanda Mungu anawaona na atalipa thamani ya jasho lenu.
 
Good, tunawatakia kila la kheri. Wambieni CDM ni ya watanzania. Anayethubuti kutusaliti ataadabishwa, tunaunganisha nguvu kuelekea 2015.
 
chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA)wilaya ya muheza tunapenda kutoa taarifa kwa makamanda wote kuwa leo tuna mkutano mkubwa wa kujenga chama utakao fanyika kata ya tingeni kuanzia saa 8 mchana,ambapo kuanzia asubuhi leo viongozi wa chadema ni msingi wamesimamia zoezi vyema,watakao unguruma leo ni katibu wa mkoa ndugu jonathan baweje,katibu wilaya lukindo mohamed,m/k wilaya mathius karuasha,m/k wa m4c (w) riziki magembe,kamanda wa wanawake(w) grace mbago na salehe mbwego mjumbe kamati ya utendaji,vivaaaa chadema muheza

Hiki ndo tunachotaka. Siyo ZZK,mara zitto mwanza.... Oh mara zito sijui vitu gani. Hayo hayatusaidii ila kwenye ujenzi kama huu, nawapongeza Mheza. tuko pamoja. Kanyaga twende
 
chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA)wilaya ya muheza tunapenda kutoa taarifa kwa makamanda wote kuwa leo tuna mkutano mkubwa wa kujenga chama utakao fanyika kata ya tingeni kuanzia saa 8 mchana,ambapo kuanzia asubuhi leo viongozi wa chadema ni msingi wamesimamia zoezi vyema,watakao UNGURUMA leo ni katibu wa mkoa ndugu jonathan baweje,katibu wilaya lukindo mohamed,m/k wilaya mathius karuasha,m/k wa m4c (w) riziki magembe,kamanda wa wanawake(w) grace mbago na salehe mbwego mjumbe kamati ya utendaji,vivaaaa chadema muheza


waungurume kwani ni mashine za kukoboa?
 
Back
Top Bottom