CHADEMA muacheni Lowassa apumzike, uchokonozi utawaponza

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,439
Wakuu,

Chadema kati ya mambo yanayosikitisha ni kutojifunza kupitia makosa wanayofanya. Wanapokosea zinatumika nguvu nyingi kuhalalisha makosa yao na kugeuza wakosoaji wao wenye nia njema maadui.

Mlipoingia kwenye mgogoro na Dr Slaa mwezi july 2015 mlianza kumchokonoa kwa kila namna kila mahali wakati Dr Slaa kwa heshima aliamua kukaa kimya. Baada ya miezi miwili ya propaganda ikalazimika Dr Slaa afunge mjadala kwa pigo la karne pale Serena.

Sasa mnaanza kufanya yale yale kwa Lowasa. Tunaona wanachama wenu maarufu na wabunge wanachofanya mitandaoni. Mnasahau mnadeal na mtu ambaye anakijua chama chenu kabla hata wengine hamjajua siasa ni mdudu gani.

Chadema narudia tena kuwaasa, wekeni utaratibu wa chama kutoa matamko na misimamo. Katibu mkuu Mashinji ameshaongea na kutoa msimamo tena kwa weledi mkubwa. Lakini akina Lema na wengine wameshaanza kuropoka na kukejeli kwa mtu ambaye hamjui anajua nini!

Msipojidhibiti mkaendelea na hizo kejeli mnataka kujikuta mnaingia kwenye vita na vijana wake ambao mnajua kazi yao kwenye propaganda. Mtajikuta badala ya kujenga chama kuelekea uchaguzi mkuu mnawekwa kwenye kona ya kujibu tuhuma muda wote.

Hili la EL mliingia cha kike kubalini makosa msonge mbele na msianze kazi ya kumchafua mtu ambaye mlimchafua wenyewe na kisha mkamsafisha! Hamuwezi tena kumchafua zaidi ya nyie kuabika zaidi.

Muacheni Lowasa apumzike na nyie jipangeni namna ya kukihuisha upya chama chenu ambacho kwasasa kimejaa ukakasi mbele ya wananchi ambao nyie ndio mlikuwa tumaini lao pekee.

Mkishupaza shingo muda utaongea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri Mzuri Mkuu, ingawa hukuwahi kuwapa CCM wakati wanamkejeli..
Makonda, Polepole, Msukuma..nk Walivuka mipaka Walitukana kabisa..
Jiwe angepata heshima kubwa sana kama angetupilia mbali Maombi ya EL kurejea CCM ..
Chadema haijaathiriwa kuondoka kwa EL ila CCM ndiyo wanaaminisha hivyo..
Kuondoka kwa Dr. Slaa Kuliathiri CDM lakini si EL..
2020
 
Athari zitakuwa ndogo kama wata move on na kutoanza kumchafua tena maana kwasasa El ndio anaweza kuwachafua zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipingi moja kwa moja usemacho kwani kuna hoja za hapa na pale, ila acha kutia watu woga eti kwamba ana vijana wake mitandaoni, kwani hao vijana wake wana lipi jipya la kuongea, acha hao vijana wake hata yeye mwenyewe ana lipi la kuongea? Sana sana atasema mawili matatu ili kurejesha imani yake huko ccm, baada ya hapo atakuwa hana jipya. Alikaa cdm miaka mitatu aliposema ataleta sijui wabunge wangapi wa ccm, alimletea nani zaidi ya ulaghai? Hayo unayotaka tumuone anayo ya kuogopa mbona hakuyasema wakati wa kampeni za urais? Ujinga wa viongozi wachache wa cdm ndio imempa sifa asizokuwa nazo.
 
Tusiandikie matendo, mwambie aanze kuwachafua, cdm sio chama cha kigaidi useme atakuwa na jipya ambalo cdm hawajawahi kutakanwa nalo. Alitukanwa na wanaccm tena mpaka kuambiwa kajinyea jukwaani mbele ya Magufuli, alifanya nini na hao vijana wake? Acha kuabudu sanamu.
 
Naona baadhi ya makamanda wamefuta matamko yao kwenye page zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja waendelee kumchezea Lowassa halafu alipuke hasira za kimasai atoe flash yenye siri zote za chadema aduplicate flash nyingi aitishe press conference halafu amwage kwa waandishi wa Habari siri zote na awagawie Kila Mwandishi flash yake yenye siri zote za chadema ndipo vichwa vyao vitakaa sawa
 
Akiona flash hazitoshi aburn Cd kabisa na azigawe kwenye nyumba za ibada na viwanja vya michezo.
 
Sipingi moja kwa moja usemacho kwani kuna hoja za hapa na pale, ila acha kutia watu woga eti kwamba ana vijana wake mitandaoni, kwani hao vijana wake wana lipi jipya la kuongea, acha hao vijana wake hata yeye mwenyewe ana lipi la kuongea? Sana sana atasema mawili matatu ili kurejesha imani yake huko ccm, baada ya hapo atakuwa hana jipya. Alikaa cdm miaka mitatu aliposema ataleta sijui wabunge wangapi wa ccm, alimletea nani zaidi ya ulaghai? Hayo unayotaka tumuone anayo ya kuogopa mbona hakuyasema wakati wa kampeni za urais? Ujinga wa viongozi wachache wa cdm ndio imempa sifa asizokuwa nazo.
Hakuna mtu anaweza kutoa siri za baraza la mawaziri hata kama ni Mbowe. Ukishakuwa waziri mkuu unabanwa na kiapo hadi kifo. Hiyo ni tofauti na Chadema, anaweza kusema lolote na si lazima aseme yeye!

Mtatafutana, hamjui kwenye siasa partners hufanya nini! Umeshaona Mbowe na Dr Slaa wakishambuliana? Mashabiki tusiojua lolote ndio wanaumizana kwa matusi.

Chadema wasipoacha kumwandama Lowassa wasishangae series za siri zao kuonza kutoka vyombo vya habari kimoja baada ya kingine.Kuna watu wataumbuka wawe viongozi au watu wa kawaida chadema.Mashinji kakimbia kujikosha mapema kwa kutomshambulia Lowassa pale alipo halali taarifa ni kuwa amrkuwa akishinda kwenye Maombi wakiombewa yeye, mchungaji Msigwa, Halima Mdee, Salum Mwalimu ,Sugu na shehe Katimba na Jacob boniphace.Wakiomba Mungu amfunge mdomo.Lowasa asije mwaga siri za chadema
 
Hakuna mtu anaweza kutoa siri za baraza la mawaziri hata kama ni Mbowe. Ukishakuwa waziri mkuu unabanwa na kiapo hadi kifo. Hiyo ni tofauti na Chadema, anaweza kusema lolote na si lazima aseme yeye!

Mtatafutana, hamjui kwenye siasa partners hufanya nini! Umeshaona Mbowe na Dr Slaa wakishambuliana? Mashabiki tusiojua lolote ndio wanaumizana kwa matusi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijakuambia atoe siri za serikali bali siri za ccm. Ni hivi, siungi mkono Lowassa au yoyote kutukanwa, lakini usilete matisho eti ana siri za cdm. Hiyo cdm ina siri gani ambazo Lowassa au hao vijana wake wakisema nchi itayumba? Siri kubwa ambayo tunataka kuisikia ni yeye alitoa shilingi ngapi kuwahonga hao viongozi wa cdm mpaka akapewa nafasi ya kugombea urais. The rest will be repitition of cdm having a poor office, tribalism and such fuckin stories, nothing else he has in his bag.
 
Haijawahi tokea kwa mtu yeyote aliyehama CHADEMA kuhamia CCM kwa kununuliwa au kwa hiyari yake mwenyewe ambaye aliacha kuisema vibaya CHADEMA ukianzia kwa kina Chonza, Mtera mpaka wale wote wanaoendelea kuhama CHADEMA kama Lowassa atakaa kimya pasipo kuisema vibaya atakuwa ndiye mtu wa kwanza kuhama CHADEMA pasipokuisema vibaya.

Na atazidi kutuaminisha kuwa mtu yeyote anayehamia CCM anaondolewa akili,ndiyo maana anaweza kuropoka kitu chochote ambacho hakipo, hakipo kwa maana kuwa mengi ya mesemwa na wahamiaji wa CCM kutoka upinzani lakini CHADEMA inazidi kusonga mbele kwa kuwa yanayosemwa ni yale ya kutunga ili wahamiaji waonekane ni wazuri kwa CCM na watatumika vizuri kuibomoa CHADEMA.

kwa hiyo hata Lowassa mwenyewe, akitaka kusema ana haki ya kusema kwa kuwa kuisema vibaya CHADEMA ni sifa mojawapo ya kuhamia na kupokelewa CCM lakini wasitegemee hata siku moja kuwa CHADEMA itakufa kutokana na uwongo wao, kwa kuwa CHADEMA hawapigi watu risasi,siyo magaidi,hawateki watu na hawauzi madawa ya kulevya.
 
Wakuu,

Chadema kati ya mambo yanayosikitisha ni kutojifunza kupitia makosa wanayofanya. Wanapokosea zinatumika nguvu nyingi kuhalalisha makosa yao na kugeuza wakosoaji wao wenye nia njema maadui.

Mlipoingia kwenye mgogoro na Dr Slaa mwezi july 2015 mlianza kumchokonoa kwa kila namna kila mahali wakati Dr Slaa kwa heshima aliamua kukaa kimya. Baada ya miezi miwili ya propaganda ikalazimika Dr Slaa afunge mjadala kwa pigo la karne pale Serena.

Sasa mnaanza kufanya yale yale kwa Lowasa. Tunaona wanachama wenu maarufu na wabunge wanachofanya mitandaoni. Mnasahau mnadeal na mtu ambaye anakijua chama chenu kabla hata wengine hamjajua siasa ni mdudu gani.

Chadema narudia tena kuwaasa, wekeni utaratibu wa chama kutoa matamko na misimamo. Katibu mkuu Mashinji ameshaongea na kutoa msimamo tena kwa weledi mkubwa. Lakini akina Lema na wengine wameshaanza kuropoka na kukejeli kwa mtu ambaye hamjui anajua nini!

Msipojidhibiti mkaendelea na hizo kejeli mnataka kujikuta mnaingia kwenye vita na vijana wake ambao mnajua kazi yao kwenye propaganda. Mtajikuta badala ya kujenga chama kuelekea uchaguzi mkuu mnawekwa kwenye kona ya kujibu tuhuma muda wote.

Hili la EL mliingia cha kike kubalini makosa msonge mbele na msianze kazi ya kumchafua mtu ambaye mlimchafua wenyewe na kisha mkamsafisha! Hamuwezi tena kumchafua zaidi ya nyie kuabika zaidi.

Muacheni Lowasa apumzike na nyie jipangeni namna ya kukihuisha upya chama chenu ambacho kwasasa kimejaa ukakasi mbele ya wananchi ambao nyie ndio mlikuwa tumaini lao pekee.

Mkishupaza shingo muda utaongea!

Sent using Jamii Forums mobile app
Day dream, idi0t.
 
pumbavu!Chadema hatutishiki.Kwanza siri za nini?kama ana siri si aseme ili tuone.
Bwana ziasa za kutishana hazina nafasi.kama yeye anaona kuna kitu cha masingi cha kuiongelea chadema aongee na kama hawezi atapiga kimya.siasa za transparency ni nzuri zaidi siri za vyama.

Halafu vita yoyote ya siasa haiwezi kuivua nguo chadema badala yake itakuwa pigo kwa Lowasa mwenyewe maana ashafanya upumbavu hakuna wa kumtetea katika hilo.Kama unaweza anza wewe kumtetea Lowasaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom