CHADEMA mtamkumbuka Zitto na Slaa, CUF hawataisahau CHADEMA

Zzk ameshinda kwa sababu ya cdm kumjenga, jiulize kwa nn wagombea wengine zaidi ya 250 wa ACT hawakutoboa kwani wote hao nchi nzima walikuwa wabovu???
 
Muungano huo wala haukunufaisha CUF, CUF wamepata kura katika majimbo ambayo walikuwa na nguvu tayari bila ata ya ukawa, sehemu ambazo chadema wamelazimisha mfano mtama wote wameangukia pua.

Katka hayo majimbo cuf ilikuwa na wabunge?
 
Poorest analysis ya kufungia mwaka!chadema wameongeza viti vya ubunge vingi kuliko 2010 na vuf wameongeza viti sita tz bara..inaonekana zitto,lipumba na slaa nfio walikuwa wachawi wa upinzani
 
Ata angekesha akihutubia monduli longido arumeru magh na njiro asinge kaa apate ht jimbo thx to lowassa kwa kutupa kick arusha na manyara

Wanajifanya hawaelew eti..Slaa hana mvuto hata kidg wananchi weng wa kawaida hawamwelewii kila cku alikua analalamika CCM wanamfanyia njama kuumua!!!!! Na NYOTA YA URAIS hanaaa jaman hata agombee mara mia!! NA NGOJA DONALD TRUMP APITE HUKO AMTIMUE MAPEMAAAAAAA!!!Watu wa aina ya dokta Slaa wanaokimbilia nchi za watu wajiandae MABADILIKO YA DONALD YANAKUJA!!Mi nakuombea upite umtimue hyo! Akiwa huku anasema yy masi kin anashindia mihogo afu limechukua rushwa kwa kodi zetu na kujificha hukooo!! Hv hko Marekani anakula mihogo?? Yaan Trump upite tu Mwanakijiji nae afungushe kama wale wazungu wa kwa Mugabe!!!! TIMUA WOTE HAO na Mwanakijiji nae aje agombee au hata awe mshaur wa chma tuone atafanya nn!!
 
Mzee huyu aliamua kufanya subra tu kwa sababu alijua ngoma ya watoto haikeshi, hakika Dr Slaa kwa kupinga kwake mafisadi kupewa nafasi CDM akasimamia msimamo wake aliouamini amepata sifa kubwa sana kwa wazalendo wa Tz wamejua sasa pumba na mchele.

Nakuombea maisha marefu Dr urudi tena kufundisha vijana, kukuza vijana ambao watalitumikia Taifa siku zijazo.

Watu kama nyie mlioanza siasa mwezi September mwaka huu hakuna haja ya kuwajibu ni kuwapuuza tu..
 
Naona Kama umewahi Sana kuchambua. Subiri matokeo yakamilike. Mimi naona chadema wabunge wanaweza kuwa wengi kuliko wa 2010. Halmashauri walizoshika mpaka sasa hv ni nying kuliko 2010. Matokeo yakikamilika unaweza kufanya analysis nzuri.
UCHAMBUZI wake hauna uhalisia. Kama kuna chama kimefaidika katika umoja huu ni CUF, wamepatawabunge kibao bara. Ninaona pia CHADEMA wataongeza wabunge...tusubiri hadi mwisho.
 
ila zito ni kiboko aiseevkachukua jimbo na madiwani kibaoo
Kwani mkuu sasa hivi Zitto na ACT yake ameshinda majimbo mangapi so far,na kabla hajatoka Chadema alikuwa na madiwani wangapi kwenye jimbo lake?
Dalili zinaonyesha Chadema safari hii itavuna wabunge na madiwani wengi sana kuliko walivyokuwa hapo awali.
 
Muungano huo wala haukunufaisha CUF, CUF wamepata kura katika majimbo ambayo walikuwa na nguvu tayari bila ata ya ukawa, sehemu ambazo chadema wamelazimisha mfano mtama wote wameangukia pua.

kama walikua na nguvu kabla hata ya ukawa mbona majimbo hayo hayakua mikononi mwao?
 
...Dr. Slaa hata angepewa kugombea urais ukawa wasingepata wabunge wengi kama waliowapata kwa Lowassa kugombea urais...Hili bado wengi hawalisemi lakini ukweli utajidhihirisha baada ya majimbo yote kutangazwa washindi....Watu watakuja kujua umahiri wa siasa alizofanya Mbowe na wenzake kumpokea Lowassa ukawa....maana mtaji wa Lowassa matokeo yake ni wabunge tele kushinda ubunge na kuongeza nguvu ya upinzani bungeni....

....watu wamebaki kuangalia matokeo y urais tu..lakini wanasahau kuwa kuna idadi kubwa ya wabunge wamepatikana ukawa kutokana na nguvu ya Lowassa maeneo husika....huu ndio mtaji wa Lowassa ambao hata Dr.Slaa hangefikia hata nusu yake.....Kwangu mimi wa kusifiwa sana ni Mbowe na wenzake (na Lowassa) kwa kazi nzuri ya kupambana na ccm(watawala) kwenye uchaguzi huu uliojaa mizengwe tele kwenye kutangaza washindi wa upinzani...

....watu wasiumie sana na ukawa kukosa urais kama ikitokea hivyo)bali waangalie matokeo mazuri ya ubunge yatakayoondoa uchuro wa ccm bungeni....hili ndilo la kujisifia upinzani....
 
Mkuu nimekuelewa sana, lowassa ameleta Impact kubwa Kwa upinzani ambayo dr slaa hasingeweza kuifikia
 
Dr. Slaa anachosubiri ni hukumu tuu ya karma. He is kwishney, completely finito!.
Yeye na Lipumba ndio sababu!.
 
Viti vya Chadema viliongezwa na harakati za Dr Slaa tokea mwaka 2010 alipozunguka nchi nzima kuijenga, huyo fisadi kaja na wachumia tonge tu maana wapiga kura wote wa Chadema walishakuwepo. Wengi walijiweka kando kuwapisha viongozi masilahi ambao walikubali kula matapishi yao ili visenti vya Lowassa visiwapite
Utakuwa mata.ko wewe mjinga sana! Yaani huoni kama Lowassa ndo kachochea haya? UKAWA imeongeza wabunge wengi sana kupitia ujio wa Lowassa, hivyo huyo babu Dr. Mihogo hatuna cha kumkumbuka!!
 
Mkuu nimekuelewa sana, lowassa ameleta Impact kubwa Kwa upinzani ambayo dr slaa hasingeweza kuifikia
...exactly....Lowassa (na wenzake) watu watakuja kumwona shujaa wa upinzani muda si mrefu...ni suala la mda tu...hili bado watu hawajalisemea.....

....ule usemi wa Lowassa anakuja na nini Ukawa umetimia kwa kishindo kikuu...na hapa Slaa ataonekana shetani mkuu kwa matendo yake ya kukitosa chama wakati wa kampeni.....hili nlitajidhihirisha kwa wingi wa wabunge wa upinzani bungeni....Nani alitegemea kuwa na wabunge upinzani hadi Tanga??...Morogoro??..nk.....this is amazing...

....watu wakiangalia bigger picture basi Lowassa na wenzake na kina Mbowe na Mbatia watakua mashujaa...kumzidi Slaa na Lipumba aliyewakimbia wakati wa mapambano....Slaa ni mkimbia shida....na si mtatua shida...Historia yake imejidhihirisha hivyo...
 
Back
Top Bottom