CHADEMA mtamkumbuka Zitto na Slaa, CUF hawataisahau CHADEMA

Bwana mdogo mwandishi wa makala hii nakufananisha na mtu aliyewahi kuhara kabla hata hajafika chooni...

Hukusubiri matokeo yote yatajwe ukakimbilia kuandika hapa...
 
Kwa mwenendo wa matokeo rasmi viti vya ubunge tayari CHADEMA yaelekea kupoteza viti vingi vya ubunge pamoja na udiwani hii inaonyesha wazi umahiri wa Zitto kabwe na Dr. Slaa walivyofanya kazi kubwa kwa kutumia upeo wao mkubwa wa ushawishi wa kisiasa kuipa mafanikio makubwa CHADEMA katika uchaguzi uliopita 2010 na kujizolea majimbo mengi ya ubunge na udiwani.

Lakini kama ilivyo chadema ya akina Mbowe inamalengo yake maalumu kwa watu maalumu.na ktk kuelekea kutimiza malengo yake huwatumia wale political genius kama kijiko cha jikoni Kuwavusha point A kwenda point B baadaye huwajengea zengwe ili iwafukuze au waj iengue wenyewe na wakati mwingine huisiwa kutumika hata njia za kimafya ili kuwaweka pembeni kama ilivyo jiri kwa Chacha wangwe, Dr.Kaburu, Zitto kabwe, hatimaye Dr. Slaa hawa kila mmoja alipewa sehemu yake ya kazi na wamiliki wa CHADEMA pasi na wawo kujitambua. wakisaidiwa pembeni na vuvuzela akina Tundulisu na Mnyika. ili kusafisha njia mtoto wao Mbowe aingie Ikulu kirahisi. Kazi hiyo waliifanya na Slaa akawafikisha ktk geti la Ikulu.

Master plan akaona itakua ni vigumu sana kumuengua slaa kama atafanikiwa kuingia ikulu kwa sababu mzizi wake ktk chama ni wahatari kwa hiyo hapa kuvuka kuingia ikulu lazima apatikane mtu ambaye anaushawishi wa kisiasa lakini hana mzizi ktk chama ili tukisha ingia ikulu iwe rahisi kumuosha kwa bahti isiyotegemewa akapatikana Luwasa tena akawa ni jiwe moja kwa ndege wawili,kwanza ni fimbo ya kumfukuzia Dr,slaa pili ni lift ya kuwaingiza ikulu.tatu kuachia nafasi ni rahisi mno kwa mujibu wa afya yake.

Cuf nawo wakazuguushwa ukuti ukuti bila kujua wakatumika kama petroli ya kuchochea gari la kuipeleka Chadema ikulu bila wawo kutanabahi kuwa kwa mchezo huo baada ya uchaguzi watakufa kifo cha mende mbendembende miguu juu. nafasi yao ya 3 huku bara inachukuliwa na ACT Wazalendo, HEKO ZITTO.

Hii ndio move waliocheza Chadema's master mind. kwa bahati mbaya mkanda umeungua ikulu hakuingiliki na uwakilishi mkubwa wa ubunge na udiwani umetoweka.

Move kama hii Jems hardly chess huiita THE WAY THE COOKIE CRUMBLES. Kwa wale wasomi wa zamani wa novel wanajua.

We ni rofa kama marofa wengine
 
nadhani mafanikio yapo wazi wabunge madiwani na hata urais zanzibar kuna wana act wengi mlisubiri na mtasubiri sana ukawa na lowassa wana mafanikio makubwa japo kina slaa na lipumba wangalikuwapo mambo yengenoga zaidi
 
Haya niambie wewe mnafiki, viti vya chadema vimeongezeka au vimepungua? Sema sasa!!! Hatumtaki zitto wala Dr Mihogo hapa
 
Haya niambie wewe mnafiki, viti vya chadema vimeongezeka au vimepungua? Sema sasa!!! Hatumtaki zitto wala Dr Mihogo hapa

Proportionately hamjaongeza vuti kwa sababu siyo idadi tunayoangalia. Wameongeza majimbo hivyo kila pande imeongeza viti. Ila CCM kwa uwiano imejiongezea viti! So mmepunguza uwiano wenu
 
Ni kweli kabisa movie ya THE WAY THE COOKIE CRUMBLES-James Hardley Chase imetendewa haki kabisa ktk hili.
 
Acha kuwa kama kasuku tuwakumbuke kwa lipi? Acha sie tunasonga mbele wewe baki na kazi yako ya malipo ya book 5.Huyo zito aje basi bungeni na wabunge wa act tuone wako wangapi! na Slaa angegombea ukawa usingepata wabunge wengi kama alivyofanya lowasa na huu ndio ukweli
 
Muungano huo wala haukunufaisha CUF, CUF wamepata kura katika majimbo ambayo walikuwa na nguvu tayari bila ata ya ukawa, sehemu ambazo chadema wamelazimisha mfano mtama wote wameangukia pua.

Je majimbo ambayo CUF na Chadema wamesimamisha wagombea wameshinda? Ubinafsi ndio kikwazo kikuu cha kukua kwa upinzani hapa Tz
 
Back
Top Bottom