Wanabadilisha gia angani wameona ile ya mbowe imeishiwa nguvuMlikuwa kwa Mh Mbowe kwamba astaafu siasa na kaongoza sana CDM; sasa mmemgeukia Mh Sumaye tena?
Hawaaminiani.....hawajui Kitakachotokea kesho...umeelewa nilichoandika.Kwani kutoa ushirikiano kwa serikali ni dhambi?
Nakubaliana na wewe, hawa wapuuzi wamekuja kuuwa upinzani na si vinginevyo.Tangu lini mtu anaepewa mshahara na ulinzi na serikali akawa mpinzani? Kwa sasa wako huko kwa "kazi maalum"
Kwa akili yako timamu unaamini Wabunge wa Chadema ni wapinzani!?last time i checked wabunge wote wa chadema wanalipwa mishahara na serikali..sijui una maana gani labda!!!!
kakojoe ukalaleKwa akili yako timamu unaamini Wabunge wa Chadema ni wapinzani!?
Umenikumbusha movie moja ya kitambo inaitwa Indecent Proposal. Jamaa alikubali kumtoa mke wake kipenzi atafunwe usiku mmoja kwa sababu ya shida ya pesa. Ni kweli kila mtu ana Price tag mgongoni aisee!Kila mtu hapa duniani anayo price tag yake bila kujali chama, kabila, utaifa wala jinsia na dini. Tusidanganyane kwenye hilo. Ni bei tu zinatofautiana
Mkubwa ungeishi ukweni mpaka leo!kakojoe ukalale
hapa ni kwa wakubwa tu
Hata Mbowe karrudishiwa kila kitu. Hawezi sema. Bt fuatilia... mbona mwenyewe ni ccm dam dam! Sijui hata kama Lisu analijua hilo. Mtapinga kwa matusi na kejeli, bt hajali ya Lisu Mbowe aliijua na kuwa miongoni ya kuipanga. Sugu kwenda gerezani alishiriki kupanga pia. Huyo Lema mnaemuita kamanda ndo inachekesha zaidi. Nasari je?!!! Tuendelee kumlaumu Myeti!!!Yani huwa najiuliza sana kuhusu huu upinzani wa Tanzania sipati jibu. Hivi kama wanaweza kununuliwa na CCM kama wenyewe wanavyosema vipi tungewapa nchi yetu pendwa!!? Si wangetuuza hawa!? Hivi wazee wa US waje na mzigo wa kutosha si tungepelekwa utumwani kabisa! Nawaza tu....
Ukitongozwa kuna mawili, kukataa au kukubali. Umetongozwa mke wa mtu ukakubali, kuna ugoni hapo? Jipangeni.Hata Mbowe karrudishiwa kila kitu. Hawezi sema. Bt fuatilia... mbona mwenyewe ni ccm dam dam! Sijui hata kama Lisu analijua hilo. Mtapinga kwa matusi na kejeli, bt hajali ya Lisu Mbowe aliijua na kuwa miongoni ya kuipanga. Sugu kwenda gerezani alishiriki kupanga pia. Huyo Lema mnaemuita kamanda ndo inachekesha zaidi. Nasari je?!!! Tuendelee kumlaumu Myeti!!!
Wacha tu mwenyezi anamipango yake wallahi.Yani huwa najiuliza sana kuhusu huu upinzani wa Tanzania sipati jibu. Hivi kama wanaweza kununuliwa na CCM kama wenyewe wanavyosema vipi tungewapa nchi yetu pendwa!!? Si wangetuuza hawa!? Hivi wazee wa US waje na mzigo wa kutosha si tungepelekwa utumwani kabisa! Nawaza tu....
Hili nalo neno, kwa jito la tatu lakiniTangu lini mtu anaepewa mshahara na ulinzi na serikali akawa mpinzani? Kwa sasa wako huko kwa "kazi maalum"
Ukila na kipofu usimguse mkonoSumaye na Lowasa wanaviapo vya utii, hivyo wanaweza kuitwa muda wowote na wakatoa ushirikiano kwa serikali..
Mbowe hana kiapo chochote kile.
acha matusiYanataka menyewe hayo achana nayo.
Katika uchunguzi wangu wa muda mrefu ni ukweli usiopingika ya kwamba wapinzani wa kweli wanatokea mikoa ya kusini,Mzee Ngoyai kamaliza igizo na Sasa karudisha Jimbo la Monduli Ofisi ndogo ya Chama Cha MaPinduzi MOnduli
Tukitoka MonduLi Ni Mlimba, Tunduma Na Kule maeneo ya Ndanda Mtwara!
Tanzania Nchi yangu
CCM chama changu
Na JPM Rais Wangu!