CHADEMA mtafakari kauli zenu

Ngoja kihiyo wangu Retired akujibu
 
Kama umeoa unategemea majirani wakuamulie jua wewe ni nung’aembe tu! Polisi wetu wanatosha afterall who is TL
 
Nyie kushindwa interview za kiingereza kosa si la Lissu!!! Wala chuki kwa anaekuzidi uwezo hakukufanyi kulingana naye!!
 
I think everyone in TZ, except himself TL, is a suspect! The only intelligent solution is to keep our fingers crossed! Greetings to my beloved toddler Retired
Keep your fingers crossed whilst no investigations whatsoever going on then what??
 
An extremely poor interpretation as well a weird application of the intended scripture. They are both out of context and totally unbiblical.
Yeah! always ilogical when used against you,but logical when favouring your course. That is typically like you.
 
Kwa kuzingatia mahali popote penye ulinzi ukitokea uhalifu wa kwanza kukamatwa na kuhojiwa ni walinzi,rejea baada ya yule major general kushambuliwa kwa risasi nyumbani kwake wa kwanza kukamatwa alikua mlinzi wake na yule teller aliyemuudumia Bank,kwahiyo hawa wanaoitetea serikali kuhusika kwake wanajua sema wanajitoa ufahamu
 
Huyu jamaa nadhani akili hata Lumumba hazipo hili empty box
 
Kwanini camera ya CCTV iliondolewa pale jirani na tukio lilipotokea? Wauaji wanajulikana, tusipotezeane muda. Mkono wa chuma haujawahi kuleta utangamano kwenye nchi yoyote katika dunia hii.
Wewe ulishaiona hiyo CCTV camera au umesikia tu na kukariri!?? Je unajuaje kama wale wauaji walianza kuitoa hiyo camera then kikafuata hicho kitendo?? Msiwe washabiki wa upepo bila fact
 
Hili hawawezi kukubali kwasababu wataumbuka wanajua walichokifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…