Mungu aliufisha mpango wenu wa Kishetani akawainyesha kwamba yeye ni Mungu anaeishi,na kuwa mwanadamu ni kiumbe dhaifu mbele zake licha ya kuwa ametukirimia akili na maarifa,Lisu is a living Miracle,ndio maana Hata Pogba na mwanae Manenepa wanaweweseka kwa kutoamini kilichotokeashirikisha ubongo ndugu ...serikali haija mpa mafunzo mtu miaka jinsi ya kushika bunduki na kutumia halafu huyo mtu akaenda kutumia risasi zaidi 30 kwa mtu aliye mbele ya macho yake amka ndugu kesi hii ipo wazi sana ndio maana chadema walikimbiza ushahidi wote nchi jirani. Subiri huyo mgonjwa apate akili zake timamu za kulitafakari hili jambo lote ndio atajua kikulacho kinguoni mwake.
Sasa aliepiga si anajulikana leteni picha isaidie polisi!Yaani risasi ikapigwe pale magogoni na mpigaji asijulikane, kweli achenibakili ndogo nyie watu nendeni mkatubu, ili tujue mmetubu ngonjera rahisi kama hizi ni ngumu sana kueleweka.
Hawawezi kukujibu hili swali watarukaruka kama bisiNikushauri kitu hakuna wa kudanganya kama mtoto mdogo nijibu hili swali,,
Polisi wanaolinda nyumba za viongozi pale dodoma wakati wa tukio walikuwa wapi ?
Na je mlienda kuwauliza wakati tukio linafanyika walikuwa wapi ili tuanzie hapo
Kuhusu muhimbili kule angeenda Ndiyo mngezima Mziki kabisaa saivi angekuwa kashasahaulika•
Nadhani wewe ndio umebuma,maana CNN na BBC wameipa kua habari ya kwanza kabisa,au kwasababu wenzetu kidhungu kwenu ni sheeeeedaTundu lissu katengeneza drama ya kudanganya jumuiya ya kimataifa kuwa nchi inaongozwa na dikteta matokeo yake picha imebuma na amepuuzwa!
Kweli nyie ni mazwazwa wa kiwango cha lami,Tundu Lisu si ndie aliwafundisha utaratibu wa sheria za kimataifa namna ya kumuhoji,mlitakiwa muombe kibali Kenya ndio mngeruhusiwa kwenda kumuhoji,je mlifanya hivyo?Tatizo ndugu Lissu anafanya siasa kwa kila jambo, alijamba polisi hawana mamlaka ya kumhoji akiwa Nairobi, leo tena anaanza kulalamika. Nyie watu manataka nini?
Mkigongwa ikulu mnalukaluka kama bisi mbovuWaachie kazi wapelelezi ndiyo wanajua kazi ya uchunguzi wewe fanyakazi inayokuhusu!!
Kadri siku zinavyokwenda ndivyo rangi halisi ya hawa watu tunavyozidi kuiona, kwanza niseme ni jambo baya kwa bwana Mbunge mheshimiwa kupigwa risasi hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kufurahia, lakini ni jambo baya sana kwa bwana Mbunge kutumia hisia kutuhumu watu ambao hata anapozungumza anatumia dhana akihusianisha matukio, binafsi alipokuwa akitoa taarifa yake nikawa nasubiri strong evidences lakini hakuna ni dhana tu zilitawala. Siamini kabisa kwamba serikali ina watu wajinga namna hiyo ya kupiga watu risasi eti ili wawazime, na suala lenyewe limejaa siasa nyingi kiasi cha kushindwa kujua mshambuliaji alitokea wapiTumesikia viongozi wa CHADEMA wakilalamika tangu kiongozi wa chama chao alipopigwa risasi hakuna mtu yeyote mpaka leo hii aliekamatwa na polisi kuhusiana na tukio hilo la shambulizi.
Hapa kidogo inatia ukakasi, polisi wanafanya kazi yao kwa weledi mkubwa hawawezi kujikamatia tu mtu yeyote, wangefanya hivyo CHADEMA mngekua wa kwanza kusema wanakamatwa watu wasio na hatia, wa pili ingekua ile taasisi ya kutetea haki za CHADEMA Tanzania inayoongozwa na mwanamke polisi waliona suala limegubikwa na siasa.
Polisi walitaka kwenda Nairobi mheshimiwa akapaza sauti polisi wa Tanzania hawana uwezo wa kwenda kumuhoji Nairobi Hospitali, leo hii ni ajabu unaposema dereva anasumbuliwa nae pia anatakiwa kuhojiwa inashangaza unapotaka wengine wakamatwe lakini dereva hutaki nae aah hapa kidogo mjitafakari na hii siasa mbaya.
Mheshimiwa unaposema Muhimbili kuna huduma mbovu na usimamizi mbovu hapa unaendelea kujaza siasa wakati tulimuona mwenyekiti wenu wa kanda ya Pwani alilazwa pale na akasifia masuala yako na bunge.
Wewe pambana nao kimya kimya kudai haki yako kwanza mlisema hamtaki kikao na viongozi wa bunge kikao kiliitishwa Karimjee na Mbatia akahudhuria kwakuwa mlikua bado mna hasira muafaka haukufikiwa leo hii nini sasa mnalia na serikali.!
He kumbe nachat na Pepo?maana mapepo yakisikia Damu ya Yesu yanapata kichefuchefu na kulipukaUsiniletee imani za kishirikina.
Akili za makinikia hz,yani mpango muupange nyinyi alafu mumfichue alieutekeleza?kumbuka sinema ya ulimboka na mtuhumiwa feki HV aliishia wapi?Sasa aliepiga si anajulikana leteni picha isaidie polisi!
Yeah, alijinadi anajua Kinyiramba na Kiingereza na Kiswahili akawaambia chagueni wanasema Kiswahili loooooh hakuna BBC hakuna CNN anajiona let down yeye ni star wa kimataifa. Hiyo ya polisi nakumbuka alisema "mapolisi wa Magufuli nasikia wanakuja watu kunihoji mimi ni mwanasheria najua MIGA Convention hawawezi kuja bila kibali changu kupitia kwa IGP wa Nairobi akiombwa na Serkali ya Tanzania". Kasema pia ndugu zake zake walishaandika barua serkalini lakini huko nyuma alishawakataza akisema yeye hataki fadhila. La Muhimbili sikulisikia alisema ni wazembe? Ila alisifia hospitali ya Nairibi akasema hapa hawatibiwi nje kasahau yuko nje.Lisu kachanganyikiwa. Alidhani kuongea Kiingereza basi vyombo vyote vya habari duniani vitamzungumzia. Anadhani yeye ni mtu mkubwa sana anayepapatikiwa na vyombo vyote vya habari kumbe ni kajitu ka kawaida tu. Sasa inabidi genge la Chadema litafute mbinu nyingine.
Hoja hapa siyo kuwajua washambuliaji jibu hoja kuhusu CCTV camera zilipelekwa wapi baada ya tukio? na je walinzi wa maeneo hayo walienda wapi siku ya tukio?. Kama hawakuwepo bila kuambiwa kwanini waendelee kuwa uraiani hao polisi / walinzi ? Kwanini isionekane kwamba wao ndiyo waliokula njama?Una ushahidi lissu mwenyewe alishakiri hao watu hawajui!
Unaposema haliwezi kujikamatia tu mtu yeyote unamaanisha nini?
Yani wafanye uchunguzi halafu wajikamatie mtu yeyote? Nini maana ya uchunguzi?
Mwisho wa siku imeleta tija gani!Nadhani wewe ndio umebuma,maana CNN na BBC wameipa kua habari ya kwanza kabisa,au kwasababu wenzetu kidhungu kwenu ni sheeeeeda
Mtuhumiwa mnamjua mtajeni!Akili za makinikia hz,yani mpango muupange nyinyi alafu mumfichue alieutekeleza?kumbuka sinema ya ulimboka na mtuhumiwa feki HV aliishia wapi?
CNN naBBC ndo vituo mama vya dunia vya utoaji wa habari..au na huko umeshikiliwa akili zako na lumumba usilitambue hili!??Vituo viwili tu?
Kama zilikuwepo ulisikia na kama ziliondolewa ulisikia zinabaki siasa tu!Hoja hapa siyo kuwajua washambuliaji jibu hoja kuhusu CCTV camera zilipelekwa wapi baada ya tukio? na je walinzi wa maeneo hayo walienda wapi siku ya tukio?. Kama hawakuwepo bila kuambiwa kwanini waendelee kuwa uraiani hao polisi / walinzi ? Kwanini isionekane kwamba wao ndiyo waliokula njama?
Wewe ndo kasuku wa kihindi..maana akili zako zimeshikiliwa lumumba..umebaki kama drone inayoendeshwa kwa computer mahali flani..nina imani bila chenga kichwa chako kina chip implant sio ubongo wako huu..human being hawezi kuwa na mawazo haya ya kwako hata siku moja!mkuu usiwe kama kasuku wa kihindi anaekariri maneno!
Kukata mzizi wa fitna ni uchunguzi huru ambao serikali inauogopa kama ukoma,trying to deceive people with hoax blah blah won't work this time around. Kwa maoni yangu kama ni inside job serikali ingeshawaleta wachunguzi huru ili wahusika waumbuke. The guilty are always afraid so the saying goes.Nitakuwa wa mwisho kuamini mkono wa Serikali katika suala hili la TL na kama vyombo vya Serikali vilihusika why risasi 30 na isiwe moja! Hii ni inside job ndo maana CDM wanamficha
Ha ha ha, wacha atunguliwe tena ili atokee kwenye hizo luninga. Huu ni upepo tu utapita.CNN naBBC ndo vituo mama vya dunia vya utoaji wa habari..au na huko umeshikiliwa akili zako na lumumba usilitambue hili!??