CHADEMA msilazimishe kusema ofisi imechomwa moto

Msikit mingap na shule zimeungua majuz tu apa kwaio alie husika ni ccm?

Narudia tena, serikali huwa haifanyii kazi matukio hayo ya cdm. Sio juu ya cdm kujua shule na misikiti mingapi imeungua fullstop.
 
Habar wanajukwaa,

Nimeona niseme kitu juu ya tweet zinazo Tembea Mitandao za viongozi wa Chadema na wanachama wake juu ya ofisi yao kuungua Moto

Wengi wanaripot kua ofis yetu imechomwa moto; sio kwamba imeungua ila Imechomwa moto hii inaashiria kuwa kuna mtu wanamtuhumu na kwa movement ilivyo Moja kwa Moja wanaitupia lawama serikali kwa kuhusika katika kutekeleza ilo kitu ambacho si kweli na ni upotoshaji.

Chadema kama Mtaishutumu serikali kuhusika basi utakua ulikua ni mpango wenu wa kutafuta kiki na huruma kwa wananchi.

Chadema mnatakiwa muwe makini sana na siasa zenu kwani wanachi wameshaanza kuona kama mnafanya mambo makusudi ili muwachafue serikali na kwenye mitandao ya kijamii Chadema mnaonekana wachonganish na maon ya wengi yameonyesha kukerwa na aina ya siasa zenu.

Nategemea Tundu Lissu kwenye siasa zake lazima ataongea haya Maneno Serikali ya Magufuli inachoma Ofisi zetu kwa sababu najua hii yote ni mchezo ya siasa.
Mkuu, serikali ya ccm ndio adui namba 1 wa ustawi wa jamii katika nchi hii, Kosa lao kubwa wakiongozwa na raisi wao ni kutaka kulazimisha watu wote wafuate mambo ya ccm, nasema hili ni kosa kubwa kuliko yote, wewe hata watoto wako uliowazaa mwenyewe waweza kuonesha kwenda kinyume na misismamo yako wewe mzazi wao, sasa sembuse leo hawa maharamia ccm ambao hata hawatujui tumetoka wapi, serikali ya ccm ndio wamechoma hizo Ofisi zetu hakuna mtu mwingine awezae kufanya ujinga huo, wewe ulitaka tukae kimya sio ??.
 
Habar wanajukwaa,

Nimeona niseme kitu juu ya tweet zinazo Tembea Mitandao za viongozi wa Chadema na wanachama wake juu ya ofisi yao kuungua Moto

Wengi wanaripot kua ofis yetu imechomwa moto; sio kwamba imeungua ila Imechomwa moto hii inaashiria kuwa kuna mtu wanamtuhumu na kwa movement ilivyo Moja kwa Moja wanaitupia lawama serikali kwa kuhusika katika kutekeleza ilo kitu ambacho si kweli na ni upotoshaji.

Chadema kama Mtaishutumu serikali kuhusika basi utakua ulikua ni mpango wenu wa kutafuta kiki na huruma kwa wananchi.

Chadema mnatakiwa muwe makini sana na siasa zenu kwani wanachi wameshaanza kuona kama mnafanya mambo makusudi ili muwachafue serikali na kwenye mitandao ya kijamii Chadema mnaonekana wachonganish na maon ya wengi yameonyesha kukerwa na aina ya siasa zenu.

Nategemea Tundu Lissu kwenye siasa zake lazima ataongea haya Maneno Serikali ya Magufuli inachoma Ofisi zetu kwa sababu najua hii yote ni mchezo ya siasa.
Bado CHADEMA wanaendeleza Michezo yao ya kitoto.
Eti wachomewe ofisi, ili iwe nini? Kwa tishio lipi walilonalo?

Mmelazimisha kupigwa mabomu na kukamatwa kwa kutukana ovyo na kudanganya adharani! Lakini wapi, watu wanawaangali tu!

Chokochoko zote nia ni kuanzisha vurugu, ili wazungu wapate upenyo wa kulazimisha vikwazo!

Lengo ni kumwondoa aliye mwiba kwa unyonyaji wao, anajulikana
 
Habar wanajukwaa,

Nimeona niseme kitu juu ya tweet zinazo Tembea Mitandao za viongozi wa Chadema na wanachama wake juu ya ofisi yao kuungua Moto

Wengi wanaripot kua ofis yetu imechomwa moto; sio kwamba imeungua ila Imechomwa moto hii inaashiria kuwa kuna mtu wanamtuhumu na kwa movement ilivyo Moja kwa Moja wanaitupia lawama serikali kwa kuhusika katika kutekeleza ilo kitu ambacho si kweli na ni upotoshaji.

Chadema kama Mtaishutumu serikali kuhusika basi utakua ulikua ni mpango wenu wa kutafuta kiki na huruma kwa wananchi.

Chadema mnatakiwa muwe makini sana na siasa zenu kwani wanachi wameshaanza kuona kama mnafanya mambo makusudi ili muwachafue serikali na kwenye mitandao ya kijamii Chadema mnaonekana wachonganish na maon ya wengi yameonyesha kukerwa na aina ya siasa zenu.

Nategemea Tundu Lissu kwenye siasa zake lazima ataongea haya Maneno Serikali ya Magufuli inachoma Ofisi zetu kwa sababu najua hii yote ni mchezo ya siasa.
tunakutuhumu wewe ndiyo umechoma ofisi yetu.
 
Vijana wengi siku hizi ni hasara kwa Taifa
 
Kichekesho hiki kiko Tanzania tu, unasema huo moto cdm watawasingizia serikali, wakati huohuo yoyote aliye nje ya matamanio yako unasema ni cdm?!
mkuu ndomaana hawatupi maendeleo kwenye majimbo yetu kila kitu wanasema ni serikali tu..mdee kafranya nn jimbo la kawe Zaidi ya kwenda mahakamni na kesi za uchochezi tu...wanatakiwa kujitambua ndo meseji yetu wanajamvi leo
 
wengi kwenye kile chama wamesoma na wana elimu kubwa sana ila naona ujanja na matamanio ya madaraka yanawafanya wengi wetu tuamini kuwa akili zao ni ndogo sana....kila kitu wanalaumu tu ndo maana wakina mnyika wananenepa matako tu na mashavu ila hawatusaidiii wananchi wao
 
Habar wanajukwaa,

Nimeona niseme kitu juu ya tweet zinazo Tembea Mitandao za viongozi wa Chadema na wanachama wake juu ya ofisi yao kuungua Moto

Wengi wanaripot kua ofis yetu imechomwa moto; sio kwamba imeungua ila Imechomwa moto hii inaashiria kuwa kuna mtu wanamtuhumu na kwa movement ilivyo Moja kwa Moja wanaitupia lawama serikali kwa kuhusika katika kutekeleza ilo kitu ambacho si kweli na ni upotoshaji.

Chadema kama Mtaishutumu serikali kuhusika basi utakua ulikua ni mpango wenu wa kutafuta kiki na huruma kwa wananchi.

Chadema mnatakiwa muwe makini sana na siasa zenu kwani wanachi wameshaanza kuona kama mnafanya mambo makusudi ili muwachafue serikali na kwenye mitandao ya kijamii Chadema mnaonekana wachonganish na maon ya wengi yameonyesha kukerwa na aina ya siasa zenu.

Nategemea Tundu Lissu kwenye siasa zake lazima ataongea haya Maneno Serikali ya Magufuli inachoma Ofisi zetu kwa sababu najua hii yote ni mchezo ya siasa.
Tena walivyo wapumbavu na mazwazwa wamebadilisha gia angani na kusema kuwa imepigwa bomu sio tena kuchomwa moto.,,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu ndomaana hawatupi maendeleo kwenye majimbo yetu kila kitu wanasema ni serikali tu..mdee kafranya nn jimbo la kawe Zaidi ya kwenda mahakamni na kesi za uchochezi tu...wanatakiwa kujitambua ndo meseji yetu wanajamvi leo

Kazi ya mbunge sio kukusanya kodi za wananchi, bali yeye anawakilisha mahitaji ya wananchi serikalini ambao ndio wanakusanya kodi, kisha kupelekwa kwenye maendeleo. Zamani kabla hatujajua kazi za mbunge ndio tulikuwa tunachomekewa eti mbunge hajaleta maendeleo. Kwa kukusaidia hapa chini nakutajia kazi za mbunge.
  1. Muwakilishi wa wananchi bungeni.
  2. Kutunga sheria ndani ya mbunge.
  3. Kuisimamia na kuishauri serikali.
Hayo ndiyo majukumu ya mbunge, na yote hayo Halima Mdee ameyafanya.
 
Habar wanajukwaa,

Nimeona niseme kitu juu ya tweet zinazo Tembea Mitandao za viongozi wa Chadema na wanachama wake juu ya ofisi yao kuungua Moto

Wengi wanaripot kua ofis yetu imechomwa moto; sio kwamba imeungua ila Imechomwa moto hii inaashiria kuwa kuna mtu wanamtuhumu na kwa movement ilivyo Moja kwa Moja wanaitupia lawama serikali kwa kuhusika katika kutekeleza ilo kitu ambacho si kweli na ni upotoshaji.

Chadema kama Mtaishutumu serikali kuhusika basi utakua ulikua ni mpango wenu wa kutafuta kiki na huruma kwa wananchi.

Chadema mnatakiwa muwe makini sana na siasa zenu kwani wanachi wameshaanza kuona kama mnafanya mambo makusudi ili muwachafue serikali na kwenye mitandao ya kijamii Chadema mnaonekana wachonganish na maon ya wengi yameonyesha kukerwa na aina ya siasa zenu.

Nategemea Tundu Lissu kwenye siasa zake lazima ataongea haya Maneno Serikali ya Magufuli inachoma Ofisi zetu kwa sababu najua hii yote ni mchezo ya siasa.
CCM wamekuwa dhaifu sana, JPM na genge lake wameona wajikite kwenye UHUNI na UHALIFU tu sasa. Hoja zimewaishia ni kutapatapata tu.
 
Kazi ya mbunge sio kukusanya kodi za wananchi, bali yeye anawakilisha mahitaji ya wananchi serikalini ambao ndio wanakusanya kodi, kisha kupelekwa kwenye maendeleo. Zamani kabla hatujajua kazi za mbunge ndio tulikuwa tunachomekewa eti mbunge hajaleta maendeleo. Kwa kukusaidia hapa chini nakutajia kazi za mbunge.
  1. Muwakilishi wa wananchi bungeni.
  2. Kutunga sheria ndani ya mbunge.
  3. Kuisimamia na kuishauri serikali.
Hayo ndiyo majukumu ya mbunge, na yote hayo Halima Mdee ameyafanya.
ok sawa sasa maendeleo mwisho wa siku mwananchi wa kawaida anataka ayaone kwa vitendo...mbona washika dora tumeshuhudia hapa mkuu anasema kwann msimchague mtu Fulani ili mpate maendeleo unadhani sisi kama wananchi tunalewa nn kwa hapo???kumbe ishu ni ccm tu na sio kingne hawa wengne tukiwachagua ndio wanakuwa bize na kesi na mambo mengne ambayo sie watu wa chini hatujuwi ni ya kweli au wanabambikiziwa tu
 
Mkuu sio serikali, lakini serikali haitachukua hatua yoyote kwenye hili. Ni nadra sana matukio ya cdm kufanyiwa kazi na serikali, na mifano ipo wazi. Hii ni sababu tosha kuwa serikali huwa iko pamoja na hao wanaofanya hayo.
Mh Lissu kasema imepigwa Bomu mkuu, sijui unaizungumziaje hiyo kauli kwamba watu wamebeba bomu kwenda kulipua ofisi ya kanda ya Chadama kwa hofu ya Lissu!!
 
Wewe waweza kuwa ni mhusika kwa sababu post zako zomejaa chuki mno kwa chadema
 
Nyumbu Ni nyumbu tu,baada ya kuona Siro na vijana wake wamewapotezea wameona itakua busara km wakichoma Mali zao najiuliza itakua vp km bado wakipotezewa watachukua hatua gan????? Mungu ajaalie wasije jidhuru wao wenyewe.
 
Muliweza kushirikiana na accacia kupora madini yetu mnaweza kuwagegeda viti maalumu na kuwakata Mishahara mtashindwa kutafuta Kiki hii Swain
Kwahiyi ile mikataba ya madini ilipo pitishwa bungeni ilikwenda kutiwa saini na chadema???
 
Back
Top Bottom