Karibu Sana
JF-Expert Member
- Mar 14, 2020
- 991
- 1,774
Ila tuliuvunja mkataba na wakatulipa na Wala hatujashitakiwa miga Kama huyo traitor alivotangazaKwahiyi ile mikataba ya madini ilipo pitishwa bungeni ilikwenda kutiwa saini na chadema???
Ila tuliuvunja mkataba na wakatulipa na Wala hatujashitakiwa miga Kama huyo traitor alivotangazaKwahiyi ile mikataba ya madini ilipo pitishwa bungeni ilikwenda kutiwa saini na chadema???
Hivi nyie lini mtapata akili? State ikiamua kumuua mtu, inamuua professionally atapata BP na kufa. Hizo risasi kwa Lissu ni akili za BAVICHA, hamjiulizi tu, alikaa siti ya kushoto kapigwa risasi zaidi ya 20 hajafa, mguu uliodhurika wa kulia, lakini risasi imepigwa upande wa kushoto, dereva hajajeruiwa hata kidogo pamoja na kwamba alikuwa kuliaKwani Lissu mlimpiga Risasi ili iwe nini