abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,422
- 2,301
Habar wanajukwaa,
Nimeona niseme kitu juu ya tweet zinazo Tembea Mitandao za viongozi wa Chadema na wanachama wake juu ya ofisi yao kuungua Moto
Wengi wanaripot kua ofis yetu imechomwa moto; sio kwamba imeungua ila Imechomwa moto hii inaashiria kuwa kuna mtu wanamtuhumu na kwa movement ilivyo Moja kwa Moja wanaitupia lawama serikali kwa kuhusika katika kutekeleza ilo kitu ambacho si kweli na ni upotoshaji.
Chadema kama Mtaishutumu serikali kuhusika basi utakua ulikua ni mpango wenu wa kutafuta kiki na huruma kwa wananchi.
Chadema mnatakiwa muwe makini sana na siasa zenu kwani wanachi wameshaanza kuona kama mnafanya mambo makusudi ili muwachafue serikali na kwenye mitandao ya kijamii Chadema mnaonekana wachonganish na maon ya wengi yameonyesha kukerwa na aina ya siasa zenu.
Nategemea Tundu Lissu kwenye siasa zake lazima ataongea haya Maneno Serikali ya Magufuli inachoma Ofisi zetu kwa sababu najua hii yote ni mchezo ya siasa.