econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 24,949 Reaction score 39,665 Sep 28, 2026 #41 Hao machinga wafate Sheria.
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,397 Reaction score 25,091 Sep 28, 2026 #42 Allen Kilewella said: Hao watu wanajuana hadi kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 walivalishana tisheti zilizokuwa zimeandikwa "Machinga na mama ni dam dam!" Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe. Click to expand... Kuna yule kiongozi wao alienda kwa mkuu wa wilaya na kupinga uwepo wa maandamano baada ya Yale ya October 29? Yupo wapi yule? Ajitokeze Tena sasa
Allen Kilewella said: Hao watu wanajuana hadi kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 walivalishana tisheti zilizokuwa zimeandikwa "Machinga na mama ni dam dam!" Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe. Click to expand... Kuna yule kiongozi wao alienda kwa mkuu wa wilaya na kupinga uwepo wa maandamano baada ya Yale ya October 29? Yupo wapi yule? Ajitokeze Tena sasa
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,941 Reaction score 51,061 Sep 28, 2026 Thread starter #43 Kinoamiguu said: Kuna yule kiongozi wao alienda kwa mkuu wa wilaya na kupinga uwepo wa maandamano baada ya Yale ya October 29? Yupo wapi yule? Ajitokeze Tena sasa Click to expand... Alishapata chake alichopewa πππ
Kinoamiguu said: Kuna yule kiongozi wao alienda kwa mkuu wa wilaya na kupinga uwepo wa maandamano baada ya Yale ya October 29? Yupo wapi yule? Ajitokeze Tena sasa Click to expand... Alishapata chake alichopewa πππ