Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,939
- 51,061
- Thread starter
-
- #21
Hoja yako Ina mashiko... Lakini hao Machinga hawakuzuka kwa siku moja kutoka kusikojulikana.Wamachinga waende sehemu ambazo husika zilizotengwa kwa ajli ya kufanya biashara zao.
Majiji yanakuwa machafu kwasababu kila sehemu wanafanya biashara na kujaza matakataka njiani.
Nchi za wenzetu hakuna wamachinga na miji yao ni misafi sana.
Serikali ijenge masoko mengi kila kata ili iweze kuaccomodate wamachinga.
Serikali za kata zihamasishe wakazi wafanya usafi mazingira yanayozunguka nyumba zao na kuweka taka kwenye mapipa/bins kisha magari yawe yanakuja kuchukua free.
Kumbe we ni poyoyo tu, sasa hapo umeandika nini? Chadema ni nani nchi hii? Nyie kwl ni mazombie, mna-overrate wahuni tu wasioweza kufanya lolote. Chadema ni km CHAUMA, ACT, na wengine km haoHao watu wanajuana hadi kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 walivalishana tisheti zilizokuwa zimeandikwa "Machinga na mama ni dam dam!"
Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe.
Kama inajiendea yenyewe ichukueni basi muiendeshe, MAANINA! Mtaishiwa hivyo hivyo na vijimaneno yenu ya kwenye khanga na vijora hayo.Ndio maana amekaa pembeni, nchi ijiendee yenyewe..
Inabidi viongozi waondokane na hiyo hali ya kufanya kazi kwa mazoea ,wasitegemee Dampo moja tu la Pugu ,inabidi kila wilaya iwe na Dampo lake ,halafu waende mbele zaidi ,takataka ni dili ,ukizifanyia michakato unapata mbolea safi sana.Gari kubeba taka free hapo kizungumkuti
Sema hao wazoaji taka/wakandarasi inabidi kila jumamosi wawe wanapita,ila kuna wakati wanaweza wakaakaa mwezi mzima au wiki 3 hawapiti
Wakiulizwa huko kwenye dampo kuna changamoto
Na mvua zikipiga huko dampo ndiyo hakuingiliki
Serikali/mamlaka husika labda watakuwa wameliangalia hilo
Ova
Punguza makasiriko... Ndiyo maana tumewaambia wasiingilie huo ugomvi wenu.Kumbe we ni poyoyo tu, sasa hapo umeandika nini? Chadema ni nani nchi hii? Nyie kwl ni mazombie, mna-overrate wahuni tu wasioweza kufanya lolote. Chadema ni km CHAUMA, ACT, na wengine km hao
Hao Machinga wameanza Leo kufanya biashara maeneo hayo... Wakati mnakwenda kuwaomba kura mlikuwa hamuoni kama wapo barabarani?Kwa hiyo Kwa sera za chadema ni sahihi Kwa wamachinga kufanya biashara sehemu yeyote.
Mtu kuchapa mtoto wake ni kuonea?Chadema wanasema wao wanamtetea yeyote anayeonewa.
CHANZO CHA KUHARIBIKA KWA MAADILI NCHINI.Mtu kuchapa mtoto wake ni kuonea?
Hao ni watoto wa Samia, anapowachapa watoto wake tusimuingilie.
unaitwa aunt nani ?Kama inajiendea yenyewe ichukueni basi muiendeshe, MAANINA! Mtaishiwa hivyo hivyo na vijimaneno yenu ya kwenye khanga na vijora hayo
Kuadhibu watoto wako ili kuwarejesha kwenye maadili ndiko kuharibu maadili huko?CHANZO CHA KUHARIBIKA KWA MAADILI NCHINI.
Ushauri mzuri sana waache wafu wazikane wenyewe.Hao watu wanajuana hadi kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 walivalishana tisheti zilizokuwa zimeandikwa "Machinga na mama ni dam dam!"
Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe.
Kwa hiyo serikali yenu ya chadema siku ikiingia madarakani itaacha utekaji,ufisadi viendelee Kwa sababu vimeanza zamani?Hao Machinga wameanza Leo kufanya biashara maeneo hayo... Wakati mnakwenda kuwaomba kura mlikuwa hamuoni kama wapo barabarani?
Ni kweli ,wamachinga ni mtaji wa wanasiasa hewa ,ila inabidi sasa sirikali iwarasimishe kwenye mifumo sahihi ya kuwaweka kwenye masoko na walipe kodi.Hoja yako Ina mashiko... Lakini hao Machinga hawakuzuka kwa siku moja kutoka kusikojulikana.
Swali dhaifu sana hili...Kwa hiyo serikali yenu ya chadema siku ikiingia madarakani itaacha utekaji,ufisadi viendelee Kwa sababu vimeanza zamani?
Kwisha habari zenu, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, huyoooooo 2030. Nyie haters wapumbavu na wake za wabelgiji mtaishia kutukana tuunaitwa aunt nani ?
unawezaje kuingia geto kwangu huku unanibania sauti.
Toa hoja ni Kwa nini ni swari dhaifu.Swali dhaifu sana hili...
Hahahaha machinga wa mama yamewakuta wakomae tuHao watu wanajuana hadi kwenye uchaguzi wa mwaka 2025 walivalishana tisheti zilizokuwa zimeandikwa "Machinga na mama ni dam dam!"
Leo wanatimuana wanahamasisha watu waandamane... Hiyo ni vita ya kifamilia kati yao, waachwe wasuluhishane wenyewe.
ikuNafikiri kwa maneno niliyoshea hapo juu waweza kudhani mi ni proCcm kumbe siye