othuman mustapha
Member
- Jan 6, 2016
- 15
- 3
Chadema msaidieni Khaji kiruku
Hebu tulia ueleze kwa makini ana tatizo gani na anahitaji msaada wa namna gani na kama amekuomba ufanye hivyo hapaChadema msaidieni Khaji kiruku
Huyu Khaji kiruku alikuwa mgombea udiwani kata ya Bisumwa wilaya ya butiama kwa ticket ya ukawa.
Katika umri wako wa miaka 46 na hiki unachopost kwenye kila uzi haviendani ujueSafi sana ,adui aki walk away maana yake amekuachia ushindi.
Ccm oyeeeeeeeeee, kidumu ccm mileleeeeeeeeeeeeeeee.
Magufuli juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
Shein juuuuuuuuuuuuuuuuuu
Chagadema kwisha ,kwisha kabisaaaaaa
Kafanyaje?Huyu Khaji kiruku alikuwa mgombea udiwani kata ya Bisumwa wilaya ya butiama kwa ticket ya ukawa.