CHADEMA mnampuuza Mbowe!

Nape anaweza akawa na point, kaandika kwa kifupi sana, tumpe nafasi afafanue kauli yake, kwa mfano, anaweza kutueleza ni namna gani ushiriki kwenye bunge wa wabunge wa Chadema unasababisha madhara kwa wananchi?
 
Nimeamini kukaa kimya ni busara sana
Hasa kama hujui nafasi unayoshikilia kitaifa.
 
nape ww kweri kilaza. hivi ni hisani gani ilifikia hawakukupiga chini kipindi walipomwaga mzee ma mwlim nyerer?
 

'Operation Chaos' bado inaendelea....!!!!!

Angalia nukuu hii toka kwa William Malecela.....facebook....

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:
Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015, SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!
 


Nape cheo chako sio cha kuporomosha matusi hata kidogo,hiyo kazi mwachie Lusinde na mwigulu.Kwa matusi yale ya jana kule igunga ahaaaa,heshima inashuka sana sana,katibu mwenezi,unaeneza matusi ni kitu cha ajabu sana.Elezeni sera za CCM ili kuweza kuwapa matumaini wananchi na sio kitu kingine,sasa leo tena unageauka kuwa msemaji wa CHADEMA hii ni hatari sana vijana ambao wapo nyuma yako.Kazi njema.
 
Lini umeanza kuwakumbusha wapinzani kazi yao ? Je kwetu yote yapo sawa? Wale wakuvuliwa gamba washatoka?

Assignment ya kumtafuta baba mzazi wako umekamilisha ndio unarudi jf na hoja mfu au ni stress za kukosa malezi bora ya wazazi?
 


Kumbe Ighondu yuko CHADEMA!!!
 
Nape usirudi nyuma, CHADEMA hawana utashi wa kuongoza nchi, wasubiri mwakani wapigwe kipigo cha mbwa mwizi UCHAGUZI serikali za mitaa. Wao ni watumiaji vibaya fedha za wananchi kupitia utoto wanaonyesha bungeni
 
nape naye ana id nyingi kama vijana wake anayewalipa buku 7.
usishangae anakuja hapa na id ya nnauye jr na kusema ya kwake ni hiyo na ile nyingine imeingiliwa.
mi namshauri awashauri kina chama,ritz ,marcopolo,mtambowa,rejao,bungeni na vibaraka wengine wakiona kimenuka wazikane id nyingine.
 
hawa ndio wame 'like' bandiko la kijana nape hadi sasa!
ZeMarcopolo, Pasco, Rejao and 8 others like this.
Ukwaju, Sumu, MJIMPYA, MAFILILI, Precise pangolin, Chris Lukosi, utaifakwanza, RED Xs
Lini umeanza kuwakumbusha wapinzani kazi yao ? Je kwetu yote yapo sawa? Wale wakuvuliwa gamba washatoka?
ugonjwa ule ule aliouleza Dr. Pauline kwa Lukosi inaelekea ndio pia unamsumbua Nape, ...unauliza kitu alafu unajijibu!!! Kwa hiyo inawezekana amejisahau kama ana ID nyingine!
 
the contemporary political trend in our country have been in critical counterfeit..,hii ni kwa sababu ya siasa mbovu na mbaya za chadema wakiongozwa na mwenyekiti wao asiye na maadili wala ufahamu wa uongozi.,ni mwenyekiti anayeweza kuongoza wacheza show na waimbaji wao.,kwani ni mtu mwenye uzoefu katika tasnia ya muziki akiwa kama DJ maarufu hapa nchini.
 
Wewe ni miongoni mwa wanasiasa waliotajwa na gazeti la raia mwema toleo lililopita kwamba mnafanya harakati za kudhuru watu na ugaidi ili kusingizia wapinzani kusudi mkiitwa mafisadi nanyi mjibu ni magaidi lakini bahati mbaya mmegundulika mapema.Uongo?
 
Brother Mbona jana mkutano wenu ulikuwa na watoto wengi na akina mama tena vibibi huko igunga cjaona kijana wala mtu mwenye akili timamu Wale wote nikama wewetu, lakini ccm unachukua chako mapema kwakuona panaelekea kuwa jangwa. Kaoge kaka.
 

umenena mkuu!!
Vijana waliopo CCM watumike vizuri wasije wakawa waropokaji, na kuharibu taswira zao binafsi, sababu siku wakishindwa uchaguzi watakiua kabisa CCM, maana hamna atakaye simama hata kuwa chama makini cha upinzani!!! wasifikiri kuwa watakuwa ruling party forever, no way!!
Hivi kweli mtaendelea kuwaita wazee kuongoza chama mpaka lini?, Kinana, Mangula nk. hii inaonyesha vijana ndani ya CCM mna mapungufu, ni mda wa kujijenga na kujipambanua ili siku mtakapo kuja kuwa-opposition msimamie na kuisema na kuipa changamoto ruling party
Sp
 
 
naona rejao, ze marcopolo, molemo, pasco nao wanakubaliana na wewe. leo jioni utakuwa wapi. mi ntakuwepo rose gaden hapa maeneo ya area c.
 
wewe mroho ulitaka kuhama chama ukapewa ukuu wa wilaya sasa umepewa cheo kikubwa kuliko wewe sasa unabwabwaja fanyeni uchaguzi wa huru na haki muone mtakavyofanywa kama hata mtaambulia kitu zaidi mtapata kula kwenye mikoa ambaya haijajitambua kenge maji wewe nakuchukia sana wewe mtu
 

Sijawahi kuona kilaza aliyesoma NSUMBA km nape, unatuaibisha sana. nimeaimini kuwa akili ya darasani ina mchango mkubwa sana uraiani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…