Kinacholelezwa ni rahisi mno kuelewa.
Acheni kupanga utek,aji na vitisho (Terrorism).
Elezeeni siasa na sera zenu mbadala, halafu wananchi wachague mchele na pumba..... Is that hard to understand???
Mkuu master peace hayo unayosema ni kweli, nape amebebeshwa zigo ambalo wenzake waliotangulia walilishindwa...sasa kazi imemshinda amebaki kuwa vuvuzela, mropokaji na mtambo wa matusi....nadhani soon atamshinda lusinde na mchemba mwiguluMkuu Ndibalema; Usishangae wakaja hapa jamvini na majibu ati uliwanukuu vibaya, hawakusema siku 90 bali miaka 90, na hiyo miezi 6 ya Mangula watakanusha na kusema ni miaka 6.
Wewe nawe kituko, kutoka kwa watu kama Lissu wenye historia ya kifafa unategemea siasa? Haya majitu yaacheni hivyo hivyo ili vichaa nao wapate vyama vya kuongoza.
Lini umeanza kuwakumbusha wapinzani kazi yao ? Je kwetu yote yapo sawa? Wale wakuvuliwa gamba washatoka?
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.
Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.
Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.
MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.
badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.
Mhe. Mbowe akiwa Mbeya alikiri wazi kuwa CHADEMA kwa miaka yote tangu kuanzishwa kwake kimekuwa ni chama cha HARAKATI... Lakini nilifurahi kusikia akiwaomba wenzake kuwa sasa ni wakati wa kukibadili Chama chao kutoka chama cha harakati na kuwa sasa chama cha SIASA.
Sasa ni karibu miezi mitano tangu atangaze na kuwasilisha ombi hili kwa wenzake lakini kwa masikitiko makubwa wenzake mmempuuza mwenyekiti wenu, badala ya kukibadilisha chama sasa mnakifanya cha harakati zaidi mpaka sasa mnapanga na kutekeleza kudhuru watu hasa wasiowaunga mkono.
Kumpuuza Mbowe kwenye wito wake huo ni kifo chenu na hivyo kuathirika kwa demokrasia nchini. Uwepo wenu umeleta joto zuri kwenye siasa na demokrasia nchini ukiachilia mbali vibweka vya baadhi ya viongozi wenu. Lakini nadhani sio tatizo la chama bali la viongozi wachache waliofanya CHADEMA kichaka cha kufichia rangi zao halisi.
MTAKAO CHANGIA PUNGUZENI MAPOVU NA MATUSI MJENGE HOJA.
mkuu huwa nakuheshimu sana ila hapa taratibu heshima inashuka kwa kumjibu nape mchumia tumbo asiyejua hatima yake baada ya uongozi wa jk CCM inalea vibaya sana watu wake ni wategemea vyeo tu ili waishi hebu angalia watu kama akina masilingi walichoka hoi uteuzi wa juzi umewanusuru unapoteza heshima yako kumjibu nape mwache abwate ccm ikishindwa atahamia kwenye utamu ndo siasa zetu maskini-Una audacity ipi ya kutoa ushauri kwa CHADEMA wewe?
-Kama CHADEMA kitaathirika kwa namna yoyote kwa mujibu wa mtazamo ulioueleza si ndiyo utafurahi zaidi?Next time ukiandika hapa uwe unafanya hivyo kama msomi.
-Political state ya CHADEMA kama chama cha siasa unaweza vipi kuitofautisha na political activism?Unaweza vipi kui-distinguish kwa kutumia ITIKADI ya chama hiki?
-Next time usiwe unatutia aibu vijana wenzako kwa kuandika andika tu ilimradi uonekane active.
-Hizo siasa za kudhuru watu ni zipi.Ni jambo la ajabu kabisa badala ya kunadi itikadi na sera za chama chako wewe unanadi udaku na majungu.Ndiyo siasa mpya zilizoletwa na vijana huko kwenye chama chako?Usiharibu Taswira ya vijana wa taifa hili kwa uzembe na udhaifu unaouonyesha katika kuitumikia dhamana uliyopewa na chama chako
-Umeachana na mradi wa kuzunguka kumtukana yule waziri mkuu aliyejiuzulu sasa unajaribu kutafuta umaarufu wa bei rahisi kupitia CHADEMA.Najua mfumo wa majimbo ni kitanzi kwenu,mna kazi ngumu sana sana.Get prepared!
It doesnt matter how hard utajaribu kuandika, wengi wetu tunakuona muuaji na mnafiki. kila ninapofikiria kitendo chako kukutwa na sumu na mbaya zaidi kutaka kumuua our hero, nakuona takataka.Desperate attention Seeker.Leo utakua overjubilant nimekupa attention na kujibu post yako.Grow up brother! Umri unasogea sana na hizi siasa unazofanya zimepitwa na wakati kwa kasi.Simply,Grow up!
-Una audacity ipi ya kutoa ushauri kwa CHADEMA wewe?
-Kama CHADEMA kitaathirika kwa namna yoyote kwa mujibu wa mtazamo ulioueleza si ndiyo utafurahi zaidi?Next time ukiandika hapa uwe unafanya hivyo kama msomi.
-Political state ya CHADEMA kama chama cha siasa unaweza vipi kuitofautisha na political activism?Unaweza vipi kui-distinguish kwa kutumia ITIKADI ya chama hiki?
-Next time usiwe unatutia aibu vijana wenzako kwa kuandika andika tu ilimradi uonekane active.
-Hizo siasa za kudhuru watu ni zipi.Ni jambo la ajabu kabisa badala ya kunadi itikadi na sera za chama chako wewe unanadi udaku na majungu.Ndiyo siasa mpya zilizoletwa na vijana huko kwenye chama chako?Usiharibu Taswira ya vijana wa taifa hili kwa uzembe na udhaifu unaouonyesha katika kuitumikia dhamana uliyopewa na chama chako
-Umeachana na mradi wa kuzunguka kumtukana yule waziri mkuu aliyejiuzulu sasa unajaribu kutafuta umaarufu wa bei rahisi kupitia CHADEMA.Najua mfumo wa majimbo ni kitanzi kwenu,mna kazi ngumu sana sana.Get prepared!
Huwa natembea mfukoni kila siku ya mungu na hiyo 7,000 mara 1000.... guarantee!!Sasa wanaooanga huo utekaji na ugaidi si ni akina mwigulu na nape+ccm na kikwete! Sasa iweje nape alete unafiki hapa? In short nenda lumumba kachukue 7, 000 yako...