Kwa sasa kweli mabadiliko yanakaribia Tanzania kupitia kwa CHADEMA,nimesema hayo baada ya kufanya simple analysis.kwa propaganda ambazo CHADEMA wemetupiwa mwaka huu ni wazi kwamba ingekuwa enzi zile usingepata hata mtu mmoja kwenye mikutano ya CHADEMA,lakini hali imekuwa ni tofauti pamoja na kuambiwa kwamba ni Magaidi,Wadini,Wakabila na hata TBC kutorusha habari zao,lakini ukweli unabaki kuwa CHADEMA wanapata sana sapoti kwa watanzania kuanzia watoto hadi wazee na watu wanajaa sana kwenye mikutano yao,ndo maana nikadiriki kusema kuwa CHADEMA MNAKO ELEKEA NI KUZURi