Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Hakuna siasa bila propaganda. CHADEMA mnajifanya kufanya siasa safi hapo ndipo mnafail mchana kweupe.
Ingawa CCM inapiga propaganda za kitoto ila nyie chadema mmelala usingizi kabisa.
Wenzenu sasa hivi wameshika almost kila vyombo vya habari nchini. Yani ni sifa na utukufu kwa mwenyekiti 24/7.
Sasa na nyie someni alama za nyakati. Siasa ni science na sio kulialia kutafta huruma za watanzania huku Mnamtegemea Mange na kigogo tu.
Pigeni kazi haswa. Mwageni vijana wa kutosha kwenye mitandao ya kijamii Kama CCM walivyofanya. Ikiwezekana hata misikitini na makanisani nendeni pigeni kazi acheni kulialia apa.
Na uchaguzi huu nawashauri fanyeni kampain vijijini uko. Mijini huku watu wameshaamka na kujua kumbe CCM ndyo beberu. Uko kijijini Ndyo kutwa nzima wanasikilizaga TBC tu.
Ni ushauri ila sii lazima kuufata.