Kule Mbeya, SUGU kawaambukiza timu ya MBEYA CITY , kila mechi wanazichapa.
Asante sana Mzee Tupatupa. lakini hujawahi kutabiria kuchukua dola ya nchi, badala yake unatusifia kuwa wapinzani imara tu
Ni mapambano baina Chadema Kanda ya Ziwa Vs Chadema Moshi-Arusha.
Khaa mtake radhi mzee wetu Slaa maana bado anayo kadi ya CCM.siwezi kuwa kwenye chama cha wauza sembe ni tahira tu ndiyo anaweza kuwa kwenye chama hicho.
Usimsingizie ZITTO, anajua kabisa Katiba haimruhusu kuwa rais, lengo ni kuunda safu ya uongozi ndani ya CHADEMA itakayoweza mikiki mikiki ya CCM 2015 baada ya kuona viongozi waliopo kuonekana kuingiwa na pepo la uchu wa madaraka, ufujaji wa mali za chama na kusahau kazi ya maandalizi ya 2015.[/QUOTE]
Mambo hadharani hakuna chama hapo ila ni genge la wajanja wachache waliojiunga na kuanzisha kikundi chao.kwa mwendo huo mlio nao hamtoweza kamwe kuingia magogoni.
mnajifanya mnapigania democracy kumbe mnapigania matumbo yenu,Big up ZITO ZUBERI KABWE MWANA MWANDIGA umeamua kujiweka pembeni na siasa za maji mataka.:smile-big:wana uana wenyewe kwa wenyewe.
Kwanza andikeni katiba inayotokana na wanachama, sio katiba ya kukidhi mahitaji ya Mtei.
Mtei alimuandaa binti yake Lilian kuwa Mwenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe. Binti huyo alipokataa ikabidi Mtei aagize kipengele cha kuweka ukomo wa mihula ya uongozi kiondolewe ili Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
Labda kama kuna nchi inaitwa KILIMANJARO hiyo wataichukua, sio TANZANIA!Kwanza nashukuru kwa changamoto mnayotoa kwa Cdm kwani 2015 wanachukua nchi, hii itawasaidia kuwa imara na kujua kwamba kuongoza si lelemama kama wanavyodhani. Hii pia itawasaidia kurekebisha yale mapungufu yao na kuwa kwenye hali nzuri zaidi kwa uongozi.
Sijui ni nini kimewapata CDM,mbona mliweza kushinda mambo mengi kirahisi lkn hili kama linawasimamisha vile.....tunahitaji uimara wenu,maneno ya Mwigamba hayafanyi tukavaa kofia za kijani.
Nasema: CHADEMA tunadhani adui yetu ni CCM hapana ni Watendaji wetu katika chama(SLAA na MBOWE), tukawabane hao waache udikteta, waweke wazi taarifa za fedha, wakasimu shughuli zisizo wahusu kwa wenye madaraka hayo na warudishe kwenye Katiba kile kipengele cha ukomo wa uongozi wa ngazi ya juu ndani ya Chama.
Mkuu, suala la Katiba ni jambo la msingi katika chama kuliko jambo jingine lile. Mkiacha katiba yenu ichakachuliwe na hawa wenye tamaa ya madaraka mwisho wa siku mtajikuta mnachakachuliwa hadi haki zenu