CHADEMA mmekuwaje tena???

CHADEMA mmekuwaje tena???

CCM ni yangu, yako, ya yule, yetu na ya kila mmoja wetu. Ndo maana Dr Slaa anayo kadi ya CCM hadi hii leo

siwezi kuwa kwenye chama cha wauza sembe ni tahira tu ndiyo anaweza kuwa kwenye chama hicho.
 
kiuhalisia inabidi akane sifa za maccm lissu hawezi kuchekea sifa za maccm hata iweje!!!!huyo zitto mbona kitambo tuu anajulikana kuwa hana msimamo na ana malengo ya kuwa rais kama alivyo lowasa, so yeye target yake ni urais tuu iwe kwa njia ya halali au uchafuzi kwani proof ngapi zimewekwa hapa kudhihirisha unafiki wake....ZITTO kiutendaji ni mzuri tatizo utendaji wake anaweka na interest binafsi na hapo ndio anapokuwa dhaifu na kuweza kutekwa na maccm na kuwa mwana ccm ndani ya chadema...asubiri agombee binafsi sio chadema yetu hata huyu shibuda tutampiga chini next election mnatujua mnatusikia sisi haturembagi kamwe
Tatzo wengne hawaelewi. Kazi kumponda zitto tu kisa anasifiwa na maccm.kwani yeye aliomba asifiwe? Siku tundu lissu akisifiwa na maccm naye mtasema anatumiwa? Tunachonganishwa nasisi tunakubali.
 
hoja yako na ushauri wako ni wa msing kabisa na unaonyesha ulivyo mzalendo .Ijapokuwa unaonekana bado upo magamba na ukombozi hujakufikia sioni sababu ya kupokea pumba zako kwani wew hututakii mema..wale wale wakina lUMUMBA
 
Hapo umenena mkuu!pitia kawe club upate samaki choma
 
Ya Chadema yanakuhusu nini mpaka upoteze muda wako kushauri. Nilitegemea kama unaona mambo hayaendi vizuri ungekuwa kimya ufurahie!! Si wanasema kuvuja kwa pakacha!! Kweli naamini mti mzuri siku zote lazima utupiwe mawe. Lakini kelele zenu, vituko vyenu, vipandikizi vyenu ndani ya Chadema ndivyo vinazidi kutupa mbinu za ushindi maana kila ila tutaijua na mwisho wa yote mtaishiwa na Chadema tutabaki washindi'
 
Siyo lazima chama cha upinzani kiitwe CHADEMA, chochote kinaweza kuwa chama cha upinzani ili mradi tu hakina viongozi wapenda madaraka, madikteta, wafuja mali za chama, wanaorusha ngumi pale wanapoambiwa ukweli.

Precisely understood, lakini endapo chama tawala (iwe ni CCM ama kingine chochote) agenda yake ni kuua upinzani, kuna haja gani ya kuwa na siasa inayoruhusu vyama vingi?
 
Wewe huna akili na hakuna kamanda dhaifu hivyo...nani kwa kuambia tunakubali kuchonganishwa?
 
Nyie huko ccm mna madikteta wangapi??? Ya chadema tuachieni wenyewe hayawahusu.... Tunawapenda madikteta wetu mbowe na slaa!

Wewe huijui CHADEMA kama mimi, wala usinibambike u-CCM , siwajui hata kidogo. Nakerwa sana na hawa MBOWE na SLAA ambao walikuwa mstari wa mbele kusema Rasimu ya Katiba imechakachuliwa kumbe wanatumia uzoefu wa kuchakachua Katiba ya CHADEMA kulalamika kuwa rasimu imechakachuliwa.
 
Kusoma hujui hata picha huoni????

Umebaki mwenyewe humu JF unatapatapa tu, KATIBU wako mkuu kaingia humu leo usiku saa sita kachungulia kaona maji ya shingo kaondoka bila comment, ngoja tuone wewe utafika wapi.
 
Precisely understood, lakini endapo chama tawala (iwe ni CCM ama kingine chochote) agenda yake ni kuua upinzani, kuna haja gani ya kuwa na siasa inayoruhusu vyama vingi?

kuambiwa ukweli na kulalamikia chama kingine ni udhaifu mkubwa sana, njooni na press conference , fafanueni wapi MWIGAMBA kakosea mueleweke badala ya kutumia hoja za kitoto kuwa Mwigamba katumwa na CCM.
 
hoja yako na ushauri wako ni wa msing kabisa na unaonyesha ulivyo mzalendo .Ijapokuwa unaonekana bado upo magamba na ukombozi hujakufikia sioni sababu ya kupokea pumba zako kwani wew hututakii mema..wale wale wakina lUMUMBA
lumumba wako vitani kama mlivyo vitani, basi washindeni kwa hoja, mnafikri kuwatamka tu kuwa hawa ni wa LUMUBA bila hoja itawadhoofisha kweli? Binafsi ningekuwa MBOWE ningeshabwaga manyanga kudhihirisha kuwa siyo mwenye kung'ang'ania madarakani.
 
chama cha kupigana ngumi na matofali unategemea nini vyama kama hivi mfano wa chadema ni vyama vya kuishia ngomani lakini kuongoza watu hasa kuunda serikali ni bure tu.
 
Wewe huna akili na hakuna kamanda dhaifu hivyo...nani kwa kuambia tunakubali kuchonganishwa?

udhaifu unauonesha wewe, mleta mada ametoa ushauri tu unaanza kutoa mapovu, siyo udhaifu huo.
 
Asante sana Mzee Tupatupa. lakini hujawahi kutabiria kuchukua dola ya nchi, badala yake unatusifia kuwa wapinzani imara tu
 
Unaweza kuwa CCM lkn unabanwa na UCHAGA.Wengi wa WACHAGA ndio waliokuwa wanavujisha siri IKULU. Wakiwa CCM au SEREKALINI "mguu moja nnje mungine ndani".
 
chama cha kupigana ngumi na matofali unategemea nini vyama kama hivi mfano wa chadema ni vyama vya kuishia ngomani lakini kuongoza watu hasa kuunda serikali ni bure tu.
Kule Mbeya, SUGU kawaambukiza timu ya MBEYA CITY , kila mechi wanazichapa.
 
Unaweza kuwa CCM lkn unabanwa na UCHAGA.Wengi wa WACHAGA ndio waliokuwa wanavujisha siri IKULU. Wakiwa CCM au SEREKALINI "mguu moja nnje mungine ndani".
Ni kweli hivi sasa wengi wanaogopa hata kuitwa wachagga.
 
Ya Chadema yanakuhusu nini mpaka upoteze muda wako kushauri. Nilitegemea kama unaona mambo hayaendi vizuri ungekuwa kimya ufurahie!! Si wanasema kuvuja kwa pakacha!! Kweli naamini mti mzuri siku zote lazima utupiwe mawe. Lakini kelele zenu, vituko vyenu, vipandikizi vyenu ndani ya Chadema ndivyo vinazidi kutupa mbinu za ushindi maana kila ila tutaijua na mwisho wa yote mtaishiwa na Chadema tutabaki washindi'

mkuu pole kwa maumivu nadhani yanakuchoma sana chadema ni chama cha kilaghai na uchakachuaji wa katiba kaa ukijua kuwa kitakufia mkononi mwako mda wa kudanganya watu siyo huu.
 
kiuhalisia inabidi akane sifa za maccm lissu hawezi kuchekea sifa za maccm hata iweje!!!!huyo zitto mbona kitambo tuu anajulikana kuwa hana msimamo na ana malengo ya kuwa rais kama alivyo lowasa, so yeye target yake ni urais tuu iwe kwa njia ya halali au uchafuzi kwani proof ngapi zimewekwa hapa kudhihirisha unafiki wake....ZITTO kiutendaji ni mzuri tatizo utendaji wake anaweka na interest binafsi na hapo ndio anapokuwa dhaifu na kuweza kutekwa na maccm na kuwa mwana ccm ndani ya chadema...asubiri agombee binafsi sio chadema yetu hata huyu shibuda tutampiga chini next election mnatujua mnatusikia sisi haturembagi kamwe

Usimsingizie ZITTO, anajua kabisa Katiba haimruhusu kuwa rais, lengo ni kuunda safu ya uongozi ndani ya CHADEMA itakayoweza mikiki mikiki ya CCM 2015 baada ya kuona viongozi waliopo kuonekana kuingiwa na pepo la uchu wa madaraka, ufujaji wa mali za chama na kusahau kazi ya maandalizi ya 2015.
 
Back
Top Bottom