Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
Nyie makamanda nyie, siku hizi mmeishiwa kabisa hoja na mmebaki kufanya viroja tu.
Kila mkiachwa na watu wenu nyie kimbilio lenu ni kusema ‘oh kanunuliwa huyo’.
Kanunuliwa kwa shi ngapi? Mlikuwepo wakati hayo manunuzi yanafanyika?
Na hao wanaohamia huko kwenye lichama lenu nanyi mnawanunua?
Mnaporomoka kwa kasi ya ajabu sana. Sikutegemea mtakuja kuwa hivi mlivyo sasa.
Na mkiendelea kukana kinachoendelea ndani hilo lichama lenu basi hata 2018 mnaweza msiimalize na kujikuta mnakufa kabisa.
Halafu, kama baadhi yetu tulivyosema kuhusu kipusa Wema alipohamia kwenye hilo lichama lenu, hata huyo Lazaro Nyalandu naye ni suala la muda tu kabla hajafunga virago na kurudi alikotoka. Sumaye naye vivyo hivyo.
Hivi yule Shibuda naye bado ni kamanda?