Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,057
- 4,608
Kama kawaida umehama katika mada. Halafu inaonekana hufuatilii siasa za nje na sisi wenzako kwa bahati nzuri ama mbaya tumeishi huko. Kuhama vyama ni hulka ya wanasiasa popote duniani. Gavana wa democratic party juzi tu kahamia republican. UK mbunge wa conservative alihamia UKIP sasa sijui hiyo habari yako utaithibitishaje.Hivi Magufuli amefanya makubwa kuzizidi USA, Canada, Europe na Japan?
Mbona huko watu hawahami kwenye vyama vyao? Are u blind?
Mnatakiwa kuwa wakweli kama mkitaka watu wasio na vyama wavutiwe na ninyi kuliko kujifanya mpo sawa wakati nyumba inaungua