CHADEMA mmeishiwa kabisa siku hizi

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
87,597
2,000
Nyie makamanda nyie, siku hizi mmeishiwa kabisa hoja na mmebaki kufanya viroja tu.

Kila mkiachwa na watu wenu nyie kimbilio lenu ni kusema ‘oh kanunuliwa huyo’.

Kanunuliwa kwa shi ngapi? Mlikuwepo wakati hayo manunuzi yanafanyika?

Na hao wanaohamia huko kwenye lichama lenu nanyi mnawanunua?

Mnaporomoka kwa kasi ya ajabu sana. Sikutegemea mtakuja kuwa hivi mlivyo sasa.

Na mkiendelea kukana kinachoendelea ndani hilo lichama lenu basi hata 2018 mnaweza msiimalize na kujikuta mnakufa kabisa.

Halafu, kama baadhi yetu tulivyosema kuhusu kipusa Wema alipohamia kwenye hilo lichama lenu, hata huyo Lazaro Nyalandu naye ni suala la muda tu kabla hajafunga virago na kurudi alikotoka. Sumaye naye vivyo hivyo.

Hivi yule Shibuda naye bado ni kamanda?
 
kauga JR

JF-Expert Member
Mar 4, 2015
3,513
2,000
tapatalk_1512797752204.jpeg
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,231
2,000
Nyie makamanda nyie, siku hizi mmeishiwa kabisa hoja na mmebaki kufanya viroja tu.

Kila mkiachwa na watu wenu nyie kimbilio lenu ni kusema ‘oh kanunuliwa huyo’.

Kanunuliwa kwa shi ngapi? Mlikuwepo wakati hayo manunuzi yanafanyika?

Na hao wanaohamia huko kwenye lichama lenu nanyi mnawanunua?

Mnaporomoka kwa kasi ya ajabu sana. Sikutegemea mtakuja kuwa hivi mlivyo sasa.

Na mkiendelea kukana kinachoendelea ndani hilo lichama lenu basi hata 2018 mnaweza msiimalize na kujikuta mnakufa kabisa.

Halafu, kama baadhi yetu tulivyosema kuhusu kipusa Wema alipohamia kwenye hilo lichama lenu, hata huyo Lazaro Nyalandu naye ni suala la muda tu kabla hajafunga virago na kurudi alikotoka. Sumaye naye vivyo hivyo.

Hivi yule Shibuda naye bado ni kamanda?
FB_IMG_1513051508549.jpg
FB_IMG_1512963384315.jpg
FB_IMG_1513252547051.jpg

Awamu ya wasukuma na wakristo hii ni lazima akili uzifungie kabatini
 
BabM

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
1,167
2,000
Mbinu zinazotumika kupambana nao kwa sasa ni mpya kabisa. Wote hao ni wajasiriasiasa. Wote wanatafuta pesa. Wote wanaunganishwa na maslahi na sio itikadi. Itikadi yao ni pesa. They have PESATROPISM. Too high affinity to pesa. They will never break this deadlock. I am telling you.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
87,597
2,000
Mbinu zinazotumika kupambana nao kwa sasa ni mpya kabisa. Wote hao ni wajasiriasiasa. Wote wanatafuta pesa. Wote wanaunganishwa na maslahi na sio itikadi. Itikadi yao ni pesa. They have PESATROPISM. Too high affinity to pesa. They will never break this deadlock. I am telling you.

Kwa hiyo CCM huwa inawafuata na kuwaambia ‘wewe naniliu hamia CCM na tutakupa milioni mia kadhaa’?
 
Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
11,135
2,000
CHADEMA na CCM wote wameishiwa...

Kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa nikisema wazi kwamba ikiwa CHADEMA wanaamini watu wao wananunuliwa basi hawana tofauti na CCM!!

Hawa wabunge tunaoambiwa wananunuliwa ni wale ambao, endapo CHADEMA wangeshinda uchaguzi mkuu basi huenda wangekuwa mawaziri!! Sasa ikiwa wanaweza kununuliwa na akina Humphrey Polepole, wakati wakiwa mawaziri wangeshindwa vipi kununuliwa na multinational companies and other corrupt people?

Hawa madiwani wangekuwa ndio wabunge wa kata zao huku serikali kuu ikiongozwa na wao!! Sasa kama wanaweza kununuliwa kwa ajira ya sh.700K kwa mwezi, kama hadi serikali ya juu ingekuwa yao si wangeuza hadi vijiji hawa?!

Tena aibu iliyopo haya yanatokea Kanda ya Kaskazini! Kwa miaka kadhaa watu wa Kanda ya Kaskazini wamekuwa wakikejeli Watanzania wa kanda zingine, hususani akina sie wa Pwani kwamba ni wasaliti wa mabadiliko kwa kuikumbatia CCM!!

Sasa inakuaje tena, wale wale waliokuwa wanatuaminisha kwamba ndio "vinara" wa upinzani ndio wanaongoza kununuliwa?!

Sasa ikiwa kiongozi tu anaweza kununuliwa kama mnavyosema, itakuja kuwa nyie msio na nafasi yoyote?!

Watu mwaka 2015 tulisema hapa kwamba CHADEMA is dying... tukaambulia kejeli!! Tukaambulia kejeli kwa sababu wapenzi na mashabiki wa CHADEMA wakaamua kuimba nyimbo za akina Mbowe kwamba Dr. Slaa na Lipumba wamenunuliwa!!!

Yaani wakajisahaulisha kabisa kosa la msingi la Mbowe kumleta Lowassa ili agombee urais bila jasho!

Lowassa mwenyewe hivi sasa amekuja nne tu anasubiria 2020 agombee urais bila kutoa jasho!! Tena bora 2020 yenyewe afike kabla hajarudi CCM and trust me, anaweza kurudishwa CCM na JK!!!

Hii nchi haitakuja kukombolewa hadi vijana wanaacha kujifanya wao ni sehemu ya system ya vyama vyao na matokeo yake kuishia kutetea kila kinachofanywa/kutamkwa na viongozi wa chama hata kama ni cha kipumbavu kwa sababu na wenyewe ni "sehemu" ya mfumo badala ya kuwa watchdog wa mfumo wa vyama vyao!!!
 
Apejiwe

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
284
250
Tundulisu anayasikia yanayoendelea huku, na akirudi atakuwa ameshajipanga kurudisha hadhi ya chama chetu, ili wanachama wasiendelee kuhama.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
87,597
2,000
Hilo sina ushahidi nalo lakini i will bet that hakuna mtu aliyepambana kupata kura kwa upinzani halafu aachie ulaji hivihivi kama alivyosema KUbenea juzi. Marupurupu yote hayo ayaache? Kanuni za kimaumbile zinakataa kabisaa.

Hayo ya Kubenea ni speculations tu.
 
kwembe87

JF-Expert Member
Jan 2, 2017
739
1,000
Nyie makamanda nyie, siku hizi mmeishiwa kabisa hoja na mmebaki kufanya viroja tu.

Kila mkiachwa na watu wenu nyie kimbilio lenu ni kusema ‘oh kanunuliwa huyo’.

Kanunuliwa kwa shi ngapi? Mlikuwepo wakati hayo manunuzi yanafanyika?

Na hao wanaohamia huko kwenye lichama lenu nanyi mnawanunua?

Mnaporomoka kwa kasi ya ajabu sana. Sikutegemea mtakuja kuwa hivi mlivyo sasa.

Na mkiendelea kukana kinachoendelea ndani hilo lichama lenu basi hata 2018 mnaweza msiimalize na kujikuta mnakufa kabisa.

Halafu, kama baadhi yetu tulivyosema kuhusu kipusa Wema alipohamia kwenye hilo lichama lenu, hata huyo Lazaro Nyalandu naye ni suala la muda tu kabla hajafunga virago na kurudi alikotoka. Sumaye naye vivyo hivyo.

Hivi yule Shibuda naye bado ni kamanda?
mnanua watu kwa gharama yoyote na watanzania mnajua ambavyo hawawapendi mnajaribu kuhadaa umma mnatumia polisi usalama wa taifa kuhujumu na kuwaumiza utapigana na mtu wakati mwenzako kafungwa mikono yote wewe unampiga hajibu unajidai unanguvu?
 
kwembe87

JF-Expert Member
Jan 2, 2017
739
1,000
Nyie makamanda nyie, siku hizi mmeishiwa kabisa hoja na mmebaki kufanya viroja tu.

Kila mkiachwa na watu wenu nyie kimbilio lenu ni kusema ‘oh kanunuliwa huyo’.

Kanunuliwa kwa shi ngapi? Mlikuwepo wakati hayo manunuzi yanafanyika?

Na hao wanaohamia huko kwenye lichama lenu nanyi mnawanunua?

Mnaporomoka kwa kasi ya ajabu sana. Sikutegemea mtakuja kuwa hivi mlivyo sasa.

Na mkiendelea kukana kinachoendelea ndani hilo lichama lenu basi hata 2018 mnaweza msiimalize na kujikuta mnakufa kabisa.

Halafu, kama baadhi yetu tulivyosema kuhusu kipusa Wema alipohamia kwenye hilo lichama lenu, hata huyo Lazaro Nyalandu naye ni suala la muda tu kabla hajafunga virago na kurudi alikotoka. Sumaye naye vivyo hivyo.

Hivi yule Shibuda naye bado ni kamanda?
acheni kutumia polisi na usalama muone mikutano mmezuia nyie kila siku majukwaani nyie ni wepesi kuliko karasi
 
Mbase1970

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
6,054
2,000
Tatizo la hawa ndugu zetu tukiwaambia ukweli wanakimbilia kututukana na kutu label ccm kama vile walitulipia kadi za ccm. Agenda yao imechukuliwa na Magufuli. Hata wakisema Magufuli atatekeleza ilani yao ni sawa maana Magufuli ni rais wa Tanzania na si wa Kenya atachukua kile anakiona kizuri kutoka kokote hata upinzani kwa maslahi ya Taifa.

Ninachokiona mimi ni chadema kugeuka nccr na chama kingine cha maana kujitokeza angalao kitatuvutia hata sisi wengine
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,344
2,000
Kwa hiyo CCM huwa inawafuata na kuwaambia ‘wewe naniliu hamia CCM na tutakupa milioni mia kadhaa’?
haswaaaaaa mi simuamini wala sifurahishwi na utendaji wa jpm i dont trust him naona tu kama anaendelea kupiga pushap hakuna kinachoendelea huku mitaani lakin kila uchwao tunasikia oooh sijui uchumi umepanda sijui blabla wakati mambo magumu biashara hakuna makampuni hayainuki zaid yanakufa raia hawana kazi woyeeeeeeeee itanichukua miaka 15 kuelewa huyu baba aliifanyia nini TANZANIA HIYO HAITABADILIKA KWANGU LABDA MPAKA NIONEE MABADILIKO YA KWELI LAKINI KAMA NI KUSIMAMA MAJUKWAANI KUTUAMBIA KAJENGA VIWANDO BLABLA WAKATI HATUVIONI NEVER NIKIWA DUNIA HII LABDA HUKO KWA SIR GOD
 
Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
23,319
2,000
Tundulisu anayasikia yanayoendelea huku, na akirudi atakuwa ameshajipanga kurudisha hadhi ya chama chetu, ili wanachama wasiendelee kuhama.
Atarudi anatembelea magongo wewe bado unataka kumsukumizia majukumu mazito huku wewe umejificha nyuma ya keyboard ukijifanya jasiri?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom