CHADEMA mmeishiwa kabisa siku hizi

CHADEMA mmeishiwa kabisa siku hizi

Nyie makamanda nyie, siku hizi mmeishiwa kabisa hoja na mmebaki kufanya viroja tu.

Kila mkiachwa na watu wenu nyie kimbilio lenu ni kusema ‘oh kanunuliwa huyo’.

Kanunuliwa kwa shi ngapi? Mlikuwepo wakati hayo manunuzi yanafanyika?

Na hao wanaohamia huko kwenye lichama lenu nanyi mnawanunua?

Mnaporomoka kwa kasi ya ajabu sana. Sikutegemea mtakuja kuwa hivi mlivyo sasa.

Na mkiendelea kukana kinachoendelea ndani hilo lichama lenu basi hata 2018 mnaweza msiimalize na kujikuta mnakufa kabisa.

Halafu, kama baadhi yetu tulivyosema kuhusu kipusa Wema alipohamia kwenye hilo lichama lenu, hata huyo Lazaro Nyalandu naye ni suala la muda tu kabla hajafunga virago na kurudi alikotoka. Sumaye naye vivyo hivyo.

Hivi yule Shibuda naye bado ni kamanda?
Watanzania ni wanafiki sana. Hivi kwa akili yako unadhani ccm itakuwa salama bila upinzani kuwepo?

Nataka nikuambie hivi ccm leo wako wamoja kwa sababu kuna upinzani imara, upinzani ndo unaoiunganisha ccm leo.

Wanafamu kuwa wakigombana kuna watu watakimbilia upinzani, ndio maana wanavumiliana tu.

Ukikosekana upinzani maana yake wale wanaoonewa watakuwa hawana pa kwenda, mateso na manyanyaso yataongezeka huko ndani ndipo utakaposhuhudia ukweli wa mambo ulivyo.

Watu wenye akili wanalifahamu hili ninalolisema hata huko ccm wanajua.

Watanzania tujifunze kuyatazama mambo kwa jicho pevu ,tusiishie kushabikia maswala yasiyo na tija kabisa kwa taifa.
 
Nyie makamanda nyie, siku hizi mmeishiwa kabisa hoja na mmebaki kufanya viroja tu.

Kila mkiachwa na watu wenu nyie kimbilio lenu ni kusema ‘oh kanunuliwa huyo’.

Kanunuliwa kwa shi ngapi? Mlikuwepo wakati hayo manunuzi yanafanyika?

Na hao wanaohamia huko kwenye lichama lenu nanyi mnawanunua?

Mnaporomoka kwa kasi ya ajabu sana. Sikutegemea mtakuja kuwa hivi mlivyo sasa.

Na mkiendelea kukana kinachoendelea ndani hilo lichama lenu basi hata 2018 mnaweza msiimalize na kujikuta mnakufa kabisa.

Halafu, kama baadhi yetu tulivyosema kuhusu kipusa Wema alipohamia kwenye hilo lichama lenu, hata huyo Lazaro Nyalandu naye ni suala la muda tu kabla hajafunga virago na kurudi alikotoka. Sumaye naye vivyo hivyo.

Hivi yule Shibuda naye bado ni kamanda?
Hapa chini umesahau kuandika "Chato Baby"
 
Tatizo sio Chadema tatizo ni watu popo,hawajitambui.Kukosa ustaarabu na kugeukageuka kama kinyonga pale wanapoitiwa ulaji iwe harusini au makaburini.Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha.
Chadema ni watu sio miti.so ukisema ttz sio chadema Bali ni watu popo nashindwa kukuelewa kwamba hicho chama kinaundwa na nini.
 
Hayo ya Kubenea ni speculations tu.
Kinachafanyika,inachukuliwa kalkuleta,wanapiga hesabu ya jumla kwa term mbili na madeni yanalipwa na Madai madogo ya gari yanapigwa hesabu,mhusika anaonyeshwa figure,na Kasi Kasi ndo Yuko front line katika mchezo huu.
 
KUBENEA YUPI HUYO? ILE TABIA YAKE YA UFITINI NA UONGO KWANI KASHAIACHA MPAKA UMUAMINI?REFER LOWASA FISADI TOPICS IN HIS F,CKN NEWSPAPERS

Aliposema kwamba ubunge una maslahi makubwa sana na kwamba haweza acha maslahi yote hayo hapo alisema ukweli. Wote ni wachumia tumbo tu.
 
Kwani uongo? Ni mpuuzi tu nasema ni MPUUZI tu atakayehama chama kwa madai kummunga mkono mtu, ni ujinga na upuuzi wa hali ya juu!! na unapatikana Tanzania tu
 
Kinachafanyika,inachukuliwa kalkuleta,wanapiga hesabu ya jumla kwa term mbili na madeni yanalipwa na Madai madogo ya gari yanapigwa hesabu,mhusika anaonyeshwa figure,na Kasi Kasi ndo Yuko front line katika mchezo huu.

Uthibitisho uko wapi?
 
haswaaaaaa mi simuamini wala sifurahishwi na utendaji wa jpm i dont trust him naona tu kama anaendelea kupiga pushap hakuna kinachoendelea huku mitaani lakin kila uchwao tunasikia oooh sijui uchumi umepanda sijui blabla wakati mambo magumu biashara hakuna makampuni hayainuki zaid yanakufa raia hawana kazi woyeeeeeeeee itanichukua miaka 15 kuelewa huyu baba aliifanyia nini TANZANIA HIYO HAITABADILIKA KWANGU LABDA MPAKA NIONEE MABADILIKO YA KWELI LAKINI KAMA NI KUSIMAMA MAJUKWAANI KUTUAMBIA KAJENGA VIWANDO BLABLA WAKATI HATUVIONI NEVER NIKIWA DUNIA HII LABDA HUKO KWA SIR GOD

Mkuu kuna shida kubwa mno inakuja.....Haya manunuzi ni counter productive kwa mustakabali wa nchi kama Taifa lenye aspirations za kua advanced democracy.

And all these funds used to buy all these will come into light.

Yaani CCM wanatumia shortcuts za ajabu sana halafu wanacheka kama majuha.This will come back to eat them alive.

Kuna usaliti mkubwa sana utakuja kutokea CCM,power factions zitatokea,kitapasuka tu,ngoma ikivuma sana itapasuka.

Kama leo nimemsikia Dk Bashiru Clouds anasema wanaohama ni kua wanaondoka sababu upinzani unaendeshwa kama kampuni binafsi na watu hawajui imani ya vyama vyao ndio maana wanahama na wala sio ushawishi wa hela au offer nzuri nzuri za maslahi kwa wahamaji,ndio nikapata uhakika kabisa huyu Dk Bashiru anaonesha highest level of academic dishonesty in Tanzania.Wanaohama ni watu wakubwa wabunge na madiwani,ni wasomi,wanavijua vyama vyao vizuri tangu mwanzo,ni watu wenye preveledge vyamani na sio some low level member ambae amenunua card tu hajui hasa chama kinataka nini,hawa ni watu wakubwa....wanahama kwa makusudi mazima kabisa kwa maslahi yao fulani...ni wazi kabisa..Ila Bashiru alivyo mnafiki mkubwa anadai eti ni sera za vyama.

Na wanaohama wote ni weak MPs ambao washasoma kabisa 2020 hawawezi rudi,wamezichanga karata waona heri wachukue hela wajichanganye mapema...Ndio maana utawakuta wanasiasa wa bahati mbaya kama Mtulia,Mollel,Mama wa ACT,etc na watafata other weak people like Mbunge wa Moshi V,Moshi Mjini,Mnyika kapooza sana nina wasiwasi nae nae anazichanga anajua hawezi rudi 2020 anaweza bwaga now,etc..Huwezi kuta strong figures kama Msigwa,Sugu,Lema,Nasari,Selasini,Mbowe,Lissu,Mdee,etc eti wanarudi,they are sure they have muscle for 2020 and beyond....CCM is after weak
 
Wanahama kwa kuwa mwenye chama hayupo.....yupo Nairobi kutibiwa kwa hiyo tusubili arudi.Kuhama vyama kusiwashangaze mbona imeruhusiwa na katiba Hata Magufuli msishangae mwaka 2025 akahamia upinzani😱😱😱😱
 
Chadema ni watu sio miti.so ukisema ttz sio chadema Bali ni watu popo nashindwa kukuelewa kwamba hicho chama kinaundwa na nini.
Chadema kama chama hakina tatizo,kimeingiliwa na viwavi jeshi.
Dawa imepatikana nayo ni DDT hata mayai yake yatateketezwa tu.
 
Kama imeishiwa mbona bado mnaweweseka nayo? Mnaiba kura, mnakamata mawakala, mnapiga risasi, mnawasajili 'makarai' kwa dau kubwa. Huku kote ni kuweweseka, pamoja na uchafu wote huo mnaoufanya bado hamjiamini enyi buku7
 
Chadema kama chama hakina tatizo,kimeingiliwa na viwavi jeshi.
Dawa imepatikana nayo ni DDT hata mayai yake yatateketezwa tu.

Mkuu,ku-subotage opposition haitakua hasara kwa upinzani tu,ni kwa nchi nzima kama taifa na ustawi wa jamii nzima kama functioning society.......

Shida itakua kubwa sana nchi itakua banana republic....tatizo hawa watawala wetu wengi hawana sober minds,ni very erratic leaders na ukiwapa impunity then we are heading to disaster....

Tatizo wanaofanya hizi sabotage wanakaa mahali na kukenua meno as if they have provided service to the country.Wanakata matawi waliyokalia wenyewe tena..bunch of useless sub humans
 
Leta ushahidi basi au JF siku hizi kumekuwa shimo la ramli na story za abunuwasi..
Ramli? We wataka tuamini kuna upendo wa mshumaa hapo. Familia ikwame kwa ajili tu anamuunga mkono Mkullu? Mbona wachekesha.
 
NNachosema ni kuwa yeye alishafukuzwa na CCM na sio kahama kwa khiyari.
Lini CCM ilimfukuza Nyalandu? unataka kuniambia alifukuzwa kwanza then ndio akamua kujiuzulu ..!? unaweza kutupia hata kaushahidi wa hicho unachosema .
 
Back
Top Bottom