Nakubaliana na wewe kuanzia 2020 kama wakiendelea na kasi waliyo nayo sasa hivi!
Hahahahah!kama SIMBA na Yanga vile!Ukweli tunaujua ila hatuutaki mpaka tuone matokeo ya uchaguzi.Chadema inachukua nchi 2015....hutaki unaacha.
Soma alama za nyakati. Tumaini letu kubwa ni katiba yenye kuendana na matakwa yetu watanzania. Tutashinda
Ingawa ni ukweli ulio wazi kwamba Chama cha CHADEMA hakiwezi kushinda Uchaguzi wa Uraisi na Ubunge 2015, lakini ni jambo lililo wazi pia CHADEMA wamefungua njia ya mabadilko nchini mwetu!
Serikali ijayo ya CCM, haiwezi kuwa ya kisanii ukiilinganisha na ya sasa hivi, na nathubutu kusema pia Serikali zilizopita, na sio kwa sababu haiwezekani, bali ni kwa sababu CCM hawana jinsi bali kubadilika kwani kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo watu wanvyozidi kuhoji Uhalali wao wa kuongoza, hivyo basi naweza kusema 2015 ndiyo karata ya mwisho kwa CCM, na kama wasipobadilika basi 2020 au 2025 CHADEMA kama wataendelea na kasi hii hii walionayo sasa hivi ni lazima watashinda Uchaguzi wa Uraisi na Ubunge!
Chadema inachukua nchi 2015....hutaki unaacha.
Mleta mada ni gamba na mnachojidanganya hatuwezi kuwazuia ila hamtaamini 2015 tutakapokuwa maggoni na wezi wa mali za umma watakapokuwa wananyea ndoo!
Nakubaliana na wewe kuanzia 2020 kama wakiendelea na kasi waliyo nayo sasa hivi!
2015 is the end of CCM holding the power of this country,take note of my words
Tatizo ni kwamba hata hiyo KATIBA ili ipite ni lazima CCM waikubali, maana yake ni kwamba ni lazima waisome, waichambue na kisha waamue kama inawafaa ama la, na kama haiwafai haitapita, kwa maana nyingine ni kwamba kwa hali jinsi ilivyo kwa sasa hakuna Chama kinachoweza kuishinda CCM 2015, hata iweje, labda kwa Mapinduzi kitu ambacho pia ni kigumu sana kwa Mazingira yetu!