Mathias Lyamunda
JF-Expert Member
- Apr 4, 2013
- 1,369
- 559
CHADEMA wanapinga kura ya wazi wanatoa hoja kuwa CCM wanataka kuwadhibiti watakaopinga serikali 3 na wanasema CCM wakiwajua hao watawafukuzwa uanachama.
Swali langu linakuwa: CCM wakiwafukuza wanachama si itakuwa faida kwao?CHADEMA wana huruma na CCM KWELI?
Hatuwahurumii ila tunataka wapewe muda wa kufanya maamuzi kwa uhuru..