Nina uhakika unaliwa ---- wewekwani nyie chadema pamoja na mihela yote mnayopata kwa maliberali na mnazowakamua wananchi, mnashindwa kuzitumia kununulia viwanja ambavyo vitatumika kwa ajili ya mikutano yenu? huo ni ushauri wa bure. tengeni fedha kwa kila wilaya ili maeneo yenu hayo ndo myatumie kwenye shughuli za kichama badala ya kulialia pale wenye maeneowanapowakatalia. ni aibu kuona chama kinachojinadi kuwa kinataka kuchukua dola 2015 mpaka sasa hawamiliki hata futi moja ya eneo. makao makuu ya chama wamepanga, ofisi za mikoa ni za kupanga, halikadhalika huko wilayani. kwenye kata, ofisi ni nyumba za wanachama. wakihama chama na ofisi hakuna. mambo hayo yapo hadi huko vijijini.
Utakuwa mke wa mchungaji wewe sio bure...
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.
Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?
Ni barabara kuu/LAMI YA MAGARI
Tutafanyia mikutano yetu barabara kuu, hapa polisi itabidi mtoe maelekezo kwa madereva kubadili njia,
hapo ndo tutajua kuwa nani kaimiliki hiyo barabara manake kila tunapokwenda pamezibwa...
Ndo hivo.
Huyu mkurugenzi wa AICC bado ataendelea kukomaa hata baada ya AICC kuwa ndani ya kata ya CDM?
unatakiwa uwashauri kufungia kufanya mikutano pale ambapo polisi wa chadema walimuua MwangosiAICC wamechukua uamuzi wa busara. ni baada ya CHADEMA kupanajisi kwa kuwaua ndugu zao na kusababisha umwagikaji mkubwa wa damu za watu wasio na hatia. naunga mkono hatua zilizochukuliwa na AICC
Naunga mkono hoja!
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
hata mkifanyia bafuni lakini cha moto mtakiona tu hii nchi haitaki wahuni kwa sasa.
Nini kata! hata kama AICC ingekuwa ndani ya mtungi ni marufuku kufanya mikutano isiyokuwa na tija,narudia tena marufuku!!!Nauliza huyo mkurugenzi wa AICC bado ataendelea kukomaa hata baada ya AICC kuwa kwenye kata ya CDM?
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.
Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?
Ni barabara kuu/LAMI YA MAGARI
Tutafanyia mikutano yetu barabara kuu, hapa polisi itabidi mtoe maelekezo kwa madereva kubadili njia,
hapo ndo tutajua kuwa nani kaimiliki hiyo barabara manake kila tunapokwenda pamezibwa...
Ndo hivo.
Ni ustaarabu wa kidemokrasia baada ya uchaguzi,vyama vyote vinaungana katika maslahi ya kuijenga nchi yao.Lakini utashangaa hiki chama cha wahuni kila kukicha wanaomba vibali vya mikutano na maamdamano yaliyojaa shari na maneno ya uchochezi utadhani chama pinzani ni peke yake hapa nchini.Hivi mkiandamana au kufanya mkutano mnalipwa na wafadhili wenu wasioitakia mema nchi yetu?
Kwa hiyo unataka kusema Chadema ni mbwa?
Ni jambo la ajabu kwa jinsi ccm mnavyoikimbia CHADEMA kwa kila hali(kunyima watu kukutana ni kukimbia)
Mnatukimbia kutoa vibali, kuzuia viwanja, na visingizio kibao.
Mnatukimbia nini kama ninyi siyo wezi? Na mwizi ni kumfungulia mbwa amkimbize.
Kabla ya hapo, mimi ningalifurahi saaana nikitambua hatma ya Meya wa Hong'kong' !!!! Nikishafahamu, nitajua pakuanzia!
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.
Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?
Ni barabara kuu/LAMI YA MAGARI
Tutafanyia mikutano yetu barabara kuu, hapa polisi itabidi mtoe maelekezo kwa madereva kubadili njia,
hapo ndo tutajua kuwa nani kaimiliki hiyo barabara manake kila tunapokwenda pamezibwa...
Ndo hivo.
hata mkifanyia bafuni lakini cha moto mtakiona tu hii nchi haitaki wahuni kwa sasa.
kwani nyie chadema pamoja na mihela yote mnayopata kwa maliberali na mnazowakamua wananchi, mnashindwa kuzitumia kununulia viwanja ambavyo vitatumika kwa ajili ya mikutano yenu? huo ni ushauri wa bure. tengeni fedha kwa kila wilaya ili maeneo yenu hayo ndo myatumie kwenye shughuli za kichama badala ya kulialia pale wenye maeneowanapowakatalia. ni aibu kuona chama kinachojinadi kuwa kinataka kuchukua dola 2015 mpaka sasa hawamiliki hata futi moja ya eneo. makao makuu ya chama wamepanga, ofisi za mikoa ni za kupanga, halikadhalika huko wilayani. kwenye kata, ofisi ni nyumba za wanachama. wakihama chama na ofisi hakuna. mambo hayo yapo hadi huko vijijini.
Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.
We endelea kushabikia usichokijua, wakati wenzako wakiuugua wanatibiwa Ujerumani.
Muulize Lwakatare, ukimaliza kupata majibu utakuja hapa utaandika kwa utulivu na hekima.