CHADEMA-Mikutano itakuwa barabara kuu!

CHADEMA-Mikutano itakuwa barabara kuu!

KirilOriginal

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2012
Posts
2,161
Reaction score
1,147
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.

Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?

Ni barabara kuu/LAMI YA MAGARI
Tutafanyia mikutano yetu barabara kuu, hapa polisi itabidi mtoe maelekezo kwa madereva kubadili njia,
hapo ndo tutajua kuwa nani kaimiliki hiyo barabara manake kila tunapokwenda pamezibwa...
Ndo hivo.

Kabla ya hapo, mimi ningalifurahi saaana nikitambua hatma ya Meya wa Hong'kong' !!!! Nikishafahamu, nitajua pakuanzia!
 
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.

Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?

Ni barabara kuu/LAMI YA MAGARI
Tutafanyia mikutano yetu barabara kuu, hapa polisi itabidi mtoe maelekezo kwa madereva kubadili njia,
hapo ndo tutajua kuwa nani kaimiliki hiyo barabara manake kila tunapokwenda pamezibwa...
Ndo hivo.

kwa nini tusifanyia nyumbani kwa mtei mwaasisi wa chama chetu,
 
mjomba umekosa cha kusema siku zote mnafanyia wapi ? au vurugu ndiyo uhai wa chama?
 
kwa nini tusifanyia nyumbani kwa mtei mwaasisi wa chama chetu,

Naona unakuja kinyumenyume sijui unataka nini! Is just three days tangu nitoke kwenye kibano cha ban manake mccm alikuja kiduwanzi nikampa za macho,

Anyway kama ni kufanyia mkutano ndani ya nyumba tutafanyia Ikulu ya magogoni ile ni ofisi ya wote
siyo pango la wanyang'anyi kama lilivyo kwa sasa.

hata mkifanyia bafuni lakini cha moto mtakiona tu hii nchi haitaki wahuni kwa sasa.
 
Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.
 
Tukisema tukutane uwanja wa mpira ambao tuliujenga sote, maccm wameukwapua,
au tuende Ngarenaro tayari pamesiribwa, labda Soweto japo jina lake lina historia ya maangamizi tangu South Africa, napo AICC wamepewa red alarm kwamba wakikubaliana na CHADEMA kufanya mkutano pale basi wao na CDM lao ni moja. Makanisani na misikitini haifai...
Na siyo jiji la Arusha pekee, ni pote Tanganyika.

Sasa mali ya umma na ardhi isiyokuwa na mwenyewe ni ipi?

Ni barabara kuu/LAMI YA MAGARI
Tutafanyia mikutano yetu barabara kuu, hapa polisi itabidi mtoe maelekezo kwa madereva kubadili njia,
hapo ndo tutajua kuwa nani kaimiliki hiyo barabara manake kila tunapokwenda pamezibwa...
Ndo hivo.

kwani nyie chadema pamoja na mihela yote mnayopata kwa maliberali na mnazowakamua wananchi, mnashindwa kuzitumia kununulia viwanja ambavyo vitatumika kwa ajili ya mikutano yenu? huo ni ushauri wa bure. tengeni fedha kwa kila wilaya ili maeneo yenu hayo ndo myatumie kwenye shughuli za kichama badala ya kulialia pale wenye maeneowanapowakatalia. ni aibu kuona chama kinachojinadi kuwa kinataka kuchukua dola 2015 mpaka sasa hawamiliki hata futi moja ya eneo. makao makuu ya chama wamepanga, ofisi za mikoa ni za kupanga, halikadhalika huko wilayani. kwenye kata, ofisi ni nyumba za wanachama. wakihama chama na ofisi hakuna. mambo hayo yapo hadi huko vijijini.
 
Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.

Nakuunga mkono ila hapo pa makanisa sipo na wewe. kuna makanisa hawakubaliani kabisa na uzinifu wa Dr Slaa na mwenyekiti wake.
 
Naona unakuja kinyumenyume sijui unataka nini! Is just three days tangu nitoke kwenye kibano cha ban manake mccm alikuja kiduwanzi nikampa za macho,

Anyway kama ni kufanyia mkutano ndani ya nyumba tutafanyia Ikulu ya magogoni ile ni ofisi ya wote
siyo pango la wanyang'anyi kama lilivyo kwa sasa.

hahahaaaaaa! eti magogoni? pale hapafanyiwi mambo ya kihuni. utaitishaje mkutano magogoni halafu wanaohutubia ni wazinifu na wahuni? halafu pale hawaingii hovyohovyo isipokuwa kwa kibali maalum kama ilivyotokea wakati viongozi wa chadema walipoenda kutoa mawazo yao juu ya rasimu ya katiba mpya
 
kwanza hujui ulipo,lost hope,sec mind u dat Imagination is more important than knowledge." - Albert Einstein
 
Chama Hicho cha WACHAGA kina nguvu kubwa ARUSHA na MOSHI na maeneo yenye MAKANISA
Mengi.

Umesha kunywa viroba kama kawaida yako sio? sikuzote mambo ya kibaguzi, kuwa mstaalabu.
 
hahahaaaaaa! eti magogoni? pale hapafanyiwi mambo ya kihuni. utaitishaje mkutano magogoni halafu wanaohutubia ni wazinifu na wahuni? halafu pale hawaingii hovyohovyo isipokuwa kwa kibali maalum kama ilivyotokea wakati viongozi wa chadema walipoenda kutoa mawazo yao juu ya rasimu ya katiba mpya

Your're so stupid you threw a rock at the ground and missed.
Njooni kwa hoja zenye mashiko na siyo kuongea hovyo kama kawa yenu maccm,
tukiongelea mambo ya uzinifu maccm mmeoza anzia kwa baba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom