CHADEMA, mbona mnamtetea kiongozi wa CCM?

Ghosryder

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
10,707
Reaction score
4,578
Leo hii CHADEMA kupitia kiongozi wao wa BAVICHA wametoa tamko la kulaani vurugu zilizotokea kwenye mdahalo wa Mh Warioba.

Najiuliza je wana uhusiano gani? Mbona Shibuda anapoegemea upande wa CCM hawatoi matamko? Je wao ndio wako nyuma ya pazia na wanamtumia tu huyu mzee au ameshanunuliwa na CHADEMA akagombee urais kwa tiketi ya UKAWA?
 
Duuh.. Alielewa japo kiduchu anisaidie kunielewesha hapa..!
 
Leo hii chadema kupitia kiongozi wao wa bavicha wametoa tamko la kulaani vurugu zilizotokea kwenye mdahalo wa Mh Warioba
Najiuliza je wana uhusiano gani?;na je mbona Shibuda anapoegemea upande wa ccm hawatoi matamko? je wao ndio wako nyuma ya pazia na wanamtumia tu huyu mzee? au ameshanunuliwa na chadema akagombee uraia kwa tiketi ya ukawa?

Hata angefanyiwa vurugu baba yako wewe katika mazingira kama yale Chadema wangelaani pia.
 
hata wewe ukipigwa na kuzalilishwa tutakutetea bila kujali chama chako.
haki haina chama wala umri.
tunamtetea yeyote yule aliyedhulumiwa haki yake.
 
...cdm inakutetea hata wewe lkn kwakuwa haujimbui si rais kuliona hilo...
 
Hivi huko mashuleni na vyuoni wanafundisha nini hasa? Mleta mada ni mtu au ni Kiatu?
 
U Ccm unakua kama tusi sasa!

Hili swala la katiba ya nchi yetu mnaliona la kisiasa zaidi. Hivi hilo lichama linawafanya nini wanaume wazima!?

Kweli maslahi ya chama cha siasa kije kabla ya maslahi ya nchi!
 
Leo hii chadema kupitia kiongozi wao wa bavicha wametoa tamko la kulaani vurugu zilizotokea kwenye mdahalo wa Mh Warioba
Najiuliza je wana uhusiano gani?;na je mbona Shibuda anapoegemea upande wa ccm hawatoi matamko? je wao ndio wako nyuma ya pazia na wanamtumia tu huyu mzee? au ameshanunuliwa na chadema akagombee uraia kwa tiketi ya ukawa?

kumbe warioba ni kiongozi wa ccm!! ana cheo gani?
 
Kwanza ujitambue wewe ndiye muathirika wa kwanza wa sera za ccm za kutunza ujinga kama mtaji wake mkuu.

Elewa kuna tofauti kubwa sana kati ya vyama na taifa jambo ambalo hata miungu yako wameshindwa kulifahamu ama wanachanganya makusudi kwa kujua kuna watu kama wewe ambao hawawezi kuelewa.

Unapaswa kujua ni kwa kiwango gani CHADEMA kiko juu kwenye masuala yanayogusa taifa na kwamba ni chama makini, chenye uelewa, kuwezo na utashi wa kuthamini na kutumia raslimali zote zilizopo nchini kwa maendeleo ya taifa. Tofauti na ccm ambao wako tayari kuua si intellectual abilities tu bali hata kuondoa uhai wa mtu kwa maslahi ya chama chao.

CHADEMA haiko kama ccm inayokataa kila jambo jema likitoka upinzani na kukumbatia hata mavi maadamu yatoke ccm.

Mdahalo wa jana wala haukuwa wa CDM, ulikuwa ni mkutano huru usiofungamana na chama chochote cha siasa zaidi ya kuangalia mustakabari wa Tanzania. CHADEMA imeingiaje hapa?

Funguka macho kijana. Ccm wanakuzika huku unapumua. Kalaghabahu.

Leo hii chadema kupitia kiongozi wao wa bavicha wametoa tamko la kulaani vurugu zilizotokea kwenye mdahalo wa Mh Warioba
Najiuliza je wana uhusiano gani?;na je mbona Shibuda anapoegemea upande wa ccm hawatoi matamko? je wao ndio wako nyuma ya pazia na wanamtumia tu huyu mzee? au ameshanunuliwa na chadema akagombee uraia kwa tiketi ya ukawa?
 
Grow up or go back to kindergarten; hapa sio swala la uhusiano bali logic na common sense! the stupid psychophants and zealots had no good reason to do what they did! kama walikuwa hawapendi maudhui ya mdahalo kwa nini waende pale kufanya fujo badala ya kwenda kujidunga viroba huko Manzese; where they belong!!

Leo hii chadema kupitia kiongozi wao wa bavicha wametoa tamko la kulaani vurugu zilizotokea kwenye mdahalo wa Mh Warioba
Najiuliza je wana uhusiano gani?;na je mbona Shibuda anapoegemea upande wa ccm hawatoi matamko? je wao ndio wako nyuma ya pazia na wanamtumia tu huyu mzee? au ameshanunuliwa na chadema akagombee uraia kwa tiketi ya ukawa?
 
Kwa vile ninavyowafahamu, Chadema hawaangalii itikadi za vyama. Wanaangalia issue. Hii ni tofauti na CCM ambao wao wanaangalia maslahi finyu ya chama chao. Hoja ikiwa nzuri hata kama inatoka CCM wataiunga. Tatizo ni kwamba sijawahi kuona hoja nzito yoyote kutoka CCM. Upo hapo Ghosryder?
 
Leo hii chadema kupitia kiongozi wao wa bavicha wametoa tamko la kulaani vurugu zilizotokea kwenye mdahalo wa Mh Warioba
Najiuliza je wana uhusiano gani?;na je mbona Shibuda anapoegemea upande wa ccm hawatoi matamko? je wao ndio wako nyuma ya pazia na wanamtumia tu huyu mzee? au ameshanunuliwa na chadema akagombee uraia kwa tiketi ya ukawa?

Kutetea maovu ni kazi kweli-kweli..!!
Maana hata 'boss' wenu Samwel Sitta nae katetea sana maovu yaliotokea Ubungo Plaza.
Mpaka 'povu' linatoka...!!
 
Kikwete anatuma wahuni kumshambulia Warioba lakini na yeye bado mwaka mmoja tu astaafu ajiandae na yeye kupigwa na hawahawa wahuni maana njaa haina subira. Makonda huyo huyo akipewa pesa mwakani ampige Kikwete atampiga tu, si analea watoto wasio na adabu.
 
Mkataba wa warioba na chadema bado upo wala haujavunjika lazima wamtetee tu wanamlipa pesa nyingi sana kufanya kazi yao.
 
Hata angefanyiwa vurugu baba yako wewe katika mazingira kama yale Chadema wangelaani pia.

Chadema hii ninayoijua mimi! thubutu! wamtetee babaangu, hawezekami.Chadema ni chama cha matukio.
 
Kikwete anatuma wahuni kumshambulia Warioba lakini na yeye bado mwaka mmoja tu astaafu ajiandae na yeye kupigwa na hawahawa wahuni maana njaa haina subira. Makonda huyo huyo akipewa pesa mwakani ampige Kikwete atampiga tu, si analea watoto wasio na adabu.
Kwani unadhani jk mjinga kama wewe akimaliza kazi yake wala hutamsikia kuongea ujinga anakwenda zake kukaa na wajukuu zake na kuchunga mifugo wake.
 
Back
Top Bottom